Elections 2010 Mdahalo wa Wagombea vijana Movenpik 25/09/2010

Albedo

JF-Expert Member
Feb 24, 2008
5,559
1,452
Wadau leo Wagombea Ubunge vijana wataumana katika mdahalo unaorushwa moja kwa moja na ITV kuanzia saa moja kamili mpaka saa tatu.

Superman upo ha ha ha

Washiriki ambao wako hewani ni

ZITTO KABWE - CHADEMA
REGIA MTEMA - CHADEMA
JOHN MNYIKA - CHADEMA
JOHN MREMA - CHADEMA
JULIUS MTATIRO - CUF
HALIMA MDEE - CHADEMA
LIMBU LUKAS - CUF
 
Yupo Zito, Mnyika, Regia Mtema, John Mrema, Julius Mtatiro
 
Wajumbe wanajitambulisha kwa ufupi na kueleza sababu za wao kujitosa kuwania ubunge, Amenza Mtatiro, akafuatia Mnyika na sasa ni mwakilishi mwingine wa CUF, narekodi audio kama ikiwa fresh nitaiweka hapa just after mdahalo
 
Anasema baada ya kuona watu wa Kilombero wana raslimali nyingi lakin i Kilombero ni Maskini sana, baada ya kutafakari akagundua kwamba Tatizo ni Uongozi, anaelezea kupanda kwa ghara za maisha hasa bei ya sukari ambako kiwando kiko Kilombero, anaelezea tatizo la Umeme pamoja na Kilombero kuwa na Vinu wiwili vya kutengeneza Umeme
 
Sasa ni Zitto kabwe:

Anashukuru kwa mdahalo huu! Changamoto mbalimbali zinazoikabili nchi

Anaelezea madaraji katika Nchi, Matajiri na Maskini, Shule za Maskini na Shule Tajiri, Ukuajia wa Uchumi hauendani na Kipato cha mwanachi.
 
Halima Mdee ameingia na Mjumbe mwingine wa CUF anaitwa Limbu wanaingia Ukumbini
 
Mpaka sasa hakuna aliyeongelea kuhusu mabadiliko ya Katiba
 
Back
Top Bottom