Mdahalo wa ufafanuzi kuhusu utoaji wa Mikopo 2016/2017

Faza maword

Member
Oct 25, 2016
15
2
1c1dc4494347fe4ddc10aa58ca9ebb88.jpg
 
Screenshot_2016-10-28-19-42-52.png
mie nataka aseme kwa ni tupo Cluster 1 na hatujapata mkopo akizingatia hiyo paragraph ya mwisho chini ya "Petroleum and Gas Eng.
 
Nilikuwa niende Mzumbe leo lakini nimeahirisha hadi nimsikie bwana Badru kuhusu hatma ya Diploma Holders.
 
Nasikia wale waliosoma privet wote wanapigwa chini na hata madent wa 2nd year wanachambuliwa walikuwa hawastahili watapigwa chini.
Sina uhakika lakini ni habari za kunyapianyapia mwenye ukweli tupe data
 
Huo ni uongo maana mpaka mwaka huu,hao hao wameosoma private bado wengine wamepata mkopo.Sema labda waliosoma diploma ndio wanaweza enguliwa maana mpaka sasa hakuna diploma hata mmoja aliepata mkopo(ingawa pia hii sina uhakika).
 
Wapo wamepata
 
Back
Top Bottom