Mdahalo wa UDA Live on Star TV: Updates

Simon Group in biashara nyingine kampuni nyingine kama nne (jamaa kasema kama sikosei)

kwahiyo it means hana uhakika kuna kampuni ngapi????

My take huyu jamaa atashinda na kama atashindwa atakwenda mahakamani na kulipwa fidia kubwa tu

Sasa anatoa sababu za wao kuweka mkwanja kwa idi simba

1. eti kwa vile mchakato ulikua bado, na hivyo hiyo pesa haikua ya UDA
2. Kwa sababu hakuna mtu hapa dar es salaam asiyejua integrity ya idi simba

unacheck sababu za Simon Group kuweka mkwanja kwa jamaa? and you still think they are serious investors?

Kusema sema sheria kila sentensi jamaa amejipanga...., kwahiyo mwisho wa siku hapa ni mahakamani na ninavyoijua Bongo huenda jamaa akalipwa fidia ya kufa mtu

Kisena atakuwa tayari kusurrender kama pesa yake itarudishwa na Idd Simba kupelekwa mahakamani

kwanin iwe ngumu mzee Lion kuRUDISHA HELA ZA KOMITI MENTI?

Hahaha majibu Jamani.

uwezo wa simon group kuendesha UDA

Kisena - tunayo mipango ya kununua mabasi 150; mabasi kama Ikarusi

tumefungua kesi mahakamani kudai fedha zilizoingizwa kwenye account ya Idd Simba ziende kwenye akaunt sahihi, ya UDA.kesi ipo mahakama kuu tangu desemba 2010, kama kuna harufu ya rushwa hapo, ktk maalipo hayo, sisi tusingefungua hiyo kesi- R. Kisena.

Simon Group ina Pesa zake au Pesa za Kukopa.....

Watatumia pesa yao kuingiza mabasi nchini (sio mkopo)

Kisena - anatoa historia ya UDA ya kuuza asset zake na kununua mabasi ambayo huwa yanakufa..., mfano wa asset walizouza ni sehemu yenye Machinga complex

Kwahiyo UDA haina uwezo wa kukopa tena

Tupeni nafasi wananchi wa Dar tupeni Nafasi..... Kisena

UDA, machinga complex, ardhi ktk jiji la Dar yote ni madudu yatokanayo na viongozi wetu tuliowachagus wenyewe. Nafikiri kuwajibika ndio litakuwa suluhisho sahihi. Maana tusiwawajibisha jamii itaendelea kuamini kuwa uongozi ktk TZ si kwa ajili ya watanzania bali ni kwa ajili ya viongozi wenyewe. TZ mpya itajengwa na viongozi bora na si bora viongozi...Natuuua hapa

Sasa anatoa sababu za wao kuweka mkwanja kwa idi simba

1. eti kwa vile mchakato ulikua bado, na hivyo hiyo pesa haikua ya UDA

2. Kwa sababu hakuna mtu hapa dar es salaam asiyejua integrity ya idi simba

unacheck sababu za Simon Group kuweka mkwanja kwa jamaa? and you still think they are serious investors?

Kisena kanishangaza sana kivip wamdai Iddy simba zile fedha kupitia mahakama wakati walikubariana.

• Thanks
Reactions: FJM
Swali:unasema wewe umenunua UDA: Je umenunua na wafanyakazi wa UDA : Jibu Ndio

Swali: Unakumbuka UDA ana kesi na wafanyakazi mpaka sasa Jibu: Ndio kanunua na Kesi

tumefungua kesi mahakamani kudai fedha zilizoingizwa kwenye account ya Idd Simba ziende kwenye akaunt sahihi, ya UDA.kesi ipo mahakama kuu tangu desemba 2010, kama kuna harufu ya rushwa hapo, ktk maalipo hayo, sisi tusingefungua hiyo kesi- R. Kisena.

Jamani, Mzee Simba si alisema hayo mamilioni ni 'consultancy fee' na sio malipo ya UDA? Who is telling the truth hapa?

Kikao walichokaa watu bila Share Holders na Simon Kujipa Madaraka...

Kisena.. tulifata sheria

Back
Top Bottom