Nyota Ndogo
Senior Member
- Aug 7, 2011
- 150
- 33
Jamaa kabanwa sana
jamaa ana ukwasi; ila ni jiniasi kiaina.
Jamaa kabanwa sana
Swali: Kampuni yenu haina wanasheria mpaka mkaenda blindly kumpa pesa mtu binafsi (kuonyesha kwamba issue ni ya Kitapeli) na cheki iliandikwa transportation charges na sio cheki ya Hisa
Jibu: tupo covered kisheria tumeandikiwa barua ambayo ni legal binding na wamefata barua ilivyosema walipe wapi. hawakufata kauli ya Iddi Simba bali barua ilivyosema[/QUOTE
my Question:
kama walikua guided na barua na ni legal binding kwa nini wamefungua kesi (desemba 2010) ya kudai hiyo pesa ilipwe kwenye akaunti sahihi? kwa nini walio'instruct kwa kutumia hiyo barua wasiwajibike? kwa nini wawajibike wao Simon group wakati wao walielekezwa?
Tapeli..... Yesyaani mjadala ni.mkali na mzuri huyu jamaa wa simon group ni tapeli na mbabaishaji tu....
liverpool na sunderland ngapi ngapi?
chadema shingoo ndefu wanaangalia tv. utadhani wamelizua wao. kila wanachozua wao hutupwa kapuni. ccm bana kwa mbinu. eti halafu iguse ikulu.
chadema shingoo ndefu wanaangalia tv. utadhani wamelizua wao. kila wanachozua wao hutupwa kapuni. ccm bana kwa mbinu. eti halafu iguse ikulu.
Jamaa anasema uda haina faida kwa watanzania.
aah. kadi ya cdm. rangi gani na inalama gani? maana kuna tetesi kuna alama imejificha humo, iangalie vizuri