MDAHALO: Tundu Lissu vs Job Ndugai kama ilivyoonyeshwa na Star TV

SWALI LA MCHANGIAJI KWA NDUGAI. Wakati wa kupitisaha bajeti kuna wakati muda unapokuwa mdogo, mbunge anauliza swali theni wazirianajibu but mbunge hapati tena muda wa kuhoji kama waziri alichosema waziri,je hii ni haki?

kila kitu ni makubaliano ya wabunge wenyewe,anajibu kihuni jamaa then anaondoka
 
There are currently 192 users browsing this thread. (66 members and 126 guests)
 
Ila jamaa katumia ile nafas kuwaponda chadema?!! Inabid tindu nae, alipize. Mana ndugai hakufuata kanun.
 
LISSU: Bunge la wakaati huu halina mbunge makini kama mimi, anasema mabunge ya vyama vingi yanaushindani mkubwa ila hatuta fika kwenye makonde,
 
Mbunge manyanya anazimiwa mic kwa kutoa hotubabadala ya kuuliza swali,then anaomba kuendelea na anaruhusiwa,mahubiri ni mengi sana
 
Kwa maoni yangu wabunge wasingepewa nafasi kuuliza maswali kwani wao wanayo nafasi hyo bungeni.
 
mcangiaji anaomba wabunge wasichangie kwani wanawabaniawatu waliotoka mbali kama Dar,
 
Kubenea katwanga maswali baabkubwa... Ndugai najua atajiumauma tu!
 
jamani sautiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiimaiki mbovuuuuuuuuuuuuuuu
 
Back
Top Bottom