MDAHALO: Tundu Lissu vs Job Ndugai kama ilivyoonyeshwa na Star TV

Lissu: Wabunge wa CCM hawatakiwi kuacha kazi yao ya Ubunge wa kuikosoa na kuisimamia serikali.
 
TL, wabunge wa CCM hodari wa kutoa shukurani kwa wake, watoto, wajukuu, kumpongeza Rais na kusema naunga mkono mia kwa mia badala ya kutoa hoja.
 
Hali ni tete, mdaharo ni mapambano kati ya ccm na cdm.ndugai anaponda sana na anasema kuwa ataendelea kuwatoa nje watovu wa nidhamu.
 
haaaa kumbe wabunge wanaangalia maslahi ya chama chao kwanza, jimbo, taifa afu wao wenyewe hayo ndo majibu ya Ndugai
my take: kumbe sisi wapiga kura ni second priority kwani nani amewachagua ni chama au?
 
LISSU: Wabungewalitolewa kwa kutoasauti lakini kwenye sheria hakuna sheria inayowataka watu wakiwasha mic watolewe nje,so inabidi atumie mbinu nyingine kuwaadhibu na si kuwatoa nje.
 
invisible imekuaje no umeme au?

Iringa Mjini na taarifa toka songea zinasema kule nako jenereta imeishiwa mafuta hivyo hakuna umeme. tuna wasiwasi ni mchezo mchafu maana hata juzi na jana wakati wa mjadala wa bunge walizima. oh my tanzania
 
Uchache wa wabunge wa upinzani unazuia kupitisha hoja zao? TL: ni bora kuwa na Hoja yenye nguvu kuliko kuwa na wabunge wengi wasio na hoja.
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom