Uandishi unaweza kukwaza, lakini between lines kuna nondo za kufa mtu..nimezipendaHuu ni uandishi gani sasa? tutasomaje namna hii?
<br />Ndungai amefanya vizuri sana kuutangazia umma wa watanzania kuwa yeye ana chuki binafsi na CDM hivyo watu hawatatilia maanani maamuzi yake ya kishabiki kuikandamiza CDM bungeni , kwa ujinaga wake alivyokuwa anatoa mipasho huku akipigiwa makofi na wajinga wenzake wa magamba alifikiri ndiyo anaibomoa CDM kumbe alikuwa anajibomoa yeye na chama chake cha kifisadi.
...Nadhani watu wasiwe na hofu kuhusu wabunge kutandikana mangumi. Siku zote inapofikia hapo ujue kweli watu wako serious na kinachojadiliwa. Sasa kama mtu anaonekana kupinga mambo ya msingi bila ya sababu ya maana kwa nini asichezee kichapo? ili na wengine wajifunze??............Tanzania ya sasa bila kuwastuastua hawa wazee wa magamba nchi wanaimaliza na wala hakuna anayejali.............LISSU: Bunge la vyama vingi, popote Duniani ni bunge la mivutano na kelele kwa sababu wanawakilisha maslahi tofauti. Watz watazoea, kwani hawajafikia kurushiana ngumi.
<br />...Nadhani watu wasiwe na hofu kuhusu wabunge kutandikana mangumi. Siku zote inapofikia hapo ujue kweli watu wako serious na kinachojadiliwa. Sasa kama mtu anaonekana kupinga mambo ya msingi bila ya sababu ya maana kwa nini asichezee kichapo? ili na wengine wajifunze??............Tanzania ya sasa bila kuwastuastua hawa wazee wa magamba nchi wanaimaliza na wala hakuna anayejali.............
<br /><br />...Nadhani watu wasiwe na hofu kuhusu wabunge kutandikana mangumi. Siku zote inapofikia hapo ujue kweli watu wako serious na kinachojadiliwa. Sasa kama mtu anaonekana kupinga mambo ya msingi bila ya sababu ya maana kwa nini asichezee kichapo? ili na wengine wajifunze??............Tanzania ya sasa bila kuwastuastua hawa wazee wa magamba nchi wanaimaliza na wala hakuna anayejali.............