Mlengo wa Kati
JF-Expert Member
- Feb 16, 2011
- 2,730
- 492
Chadema haikuwa na mwakilishi sahihi kwenye mdahalo! Size ya Nape na Jussa ni Mnyika au Zitto,babu marando kashindwa hata kuelezea Itikadi ya Chadema
Wewe pamoja na mleta thread' hivi ndo mmeishiwa hivi? Mbona mnajadili watu badala ya hoja? Ama kweli hoja nyepesi zinajadili watu wakati hoja zenye nguvu zinajadili uwezo!Unadhani miaka 50 ya experience ni mchezo, subirini mjifunze ku deal na migogoro ndani ya chama, unadhani la Arusha sterling mwisho ni nani? Muulizeni DR Slaa leo alikuja hapa kutaka kuleta uwongo wake watu wamemshushia fact katoka nduki huko kumsaidia Josephine kufunga diaper.
Nazisoma sifa kemkem za hawa mashujaa wenu lakini hadi sasa hivi sijaona lolote linalohusiana na kichwa cha Mada - ITIKADI ZA VYAMA VYA SIASA NA TANZANIA TUNAYOITAKA"..
Kinachonishangaza nape anasema huwa nanachukua uamuzi mgumu tangia zamani je hili la lowasa na chenge ni uamuzi gani?mbaya zaidi chenge anawajibu gamba lake halivuki kiuno mpaka mtu amvue je nape na ccm kwa ujumla hawaoni wameogopa kuwatimua kwa vile ccm itasambaratika?mlipiga kelele madiwani madiwani kwisha kazi, sasa shibuda, twawauliza lowasa, na chenge vipi?
Mwenyewe mkuu sikuona jibu alilotoa linaendana na swali labda kidogo lile la utajiri wa tz ndo alilokosa mbwembwe kwani lingeibua maswali mengi na kuzidi kuididimiza ccmmi ningeona ni vema nape atoe majibu yanayoendana na maswali anayoulizwa, na sio kujibu kiujanjajanja kuwapumbaza watanzania.
tupe huo uongo na hizo fact au unakurupuka tu unajiandikia unachotaka kisichokua na ukweli ndani yakeUnadhani miaka 50 ya experience ni mchezo, subirini mjifunze ku deal na migogoro ndani ya chama, unadhani la Arusha sterling mwisho ni nani? Muulizeni DR Slaa leo alikuja hapa kutaka kuleta uwongo wake watu wamemshushia fact katoka nduki huko kumsaidia Josephine kufunga diaper.
Nyie magamba humu ndani jaribuni mkumsaidia nape kwanini magufulia anaamua bomoa waziri mkuu pamoja na jk wanamzuia wakat magufuli anatumia sheria na kwanini washindwe kuwatimua chenge na lowasa?Nyie MAGWANDA HUU NDANI MSAIDIENI MARANDO KUJITETEA KWANINI AMEKUBALI KUWA WAKILI WA MAFISAIDI WA EPA???? We Nape wewe....mona umemwadhiri babu wa watu HUJUI HUYO NDIO HIRIZI YA CHADEMA????
Moja, Hongera mama, seems una kipaji cha mipasho, hapo kwenye red panaweza kukupa ajira leo tena au kile kipindi cha mitaarabu cha tbc.
Pili, Mitazamo inaweza kutofautiana. Nape ni mzungumzaji mzuri. Lakini ili uelewe kama anaongea pumba au point ni lazima na wewe uwe unajua mambo, lazima ufahamu wako uwe sawa na wake katika hilo jambo au ufahamu wako uwe mkubwa zaidi katika hicho anachokizungumza, kama wewe mwenyewe kichwani ni mweupe umeumia, na hiki ndicho kilichomkumba nipe tano na kwa hili nitatoa mifano.
1. Nape anasema CCM inaamini na kutekeleza sera za ujamaa, Tofauti kubwa kati ya sera hizi tatu, yaani ubepari, ulibelari na ujamaa ni namna uchumi wa nchi unavoendeshwa, nani anamiliki uchumi. Sifa mbili kubwa za sera ya Ujamaa ni uchumi kumilikiwa na umma na kujikita katika kupunguza tafouti ya kipato kati ya mtu na mtu, Je hiki ndicho CCM wanachosimamia, Nipe tano unaelewa nachozungumza au nshakupeleka kina kirefu? sema tu mama niko tayari kukuelekeza taratibu, sitaki kumuacha mtu nyuma
NOTE: Hakuna Ujamaa wa kisayansi na ujamaa wa kiafrika, hapa msiojua ndio nape anapowapiga bao, mnashabikia tu.
2.Kwamba serikali yake inajitajidi kuwamilikisha wananchi ardhi, yeye akasema eti huku ndio kumilikisha wananchi uchumi, kuna matatizo mawili hapa, moja hii si kweli hata kidogo kwamba serikali inajitahidi kumilikisha wananchi uchumi, Unajua nini kinatokea katika MKURABITA na kinachotokea katika UBINAFSISHAJI na kuna kile kingine wanaCCM wanakipenda sana UWEKEZAJI? kila kimoja ni page nyingi kama nikiamua kuvieleza. Pili, hata kama hii ingekua kweli (Kwamba seikali inajitahidi kuwamilisha watanzania uchumi wao) bado tusingekua tunatekeleza itikadi za ujamaa kwa sababu tungekua tunauacha uchumi wetu mikononi mwa mtu mmoja mmoja, na katika hali hii nguvu ya soko ndio inaamua mambo (huu ni ubepari na sio ujamaa), unakumbuka mwezi wa pili JK alivochemka na kupanga bei ya sukari, leo (miezi sita tu badae) sukari inauzwa sh ngapi?, Unakumbuka kuhusu mafuta mwanzo mwa august leo wiki tatu tu badae mafuta yanauzwaje? nguvu ya soko inaamua mambo na sio order kutoka state house!
Sijaribu kusema ubepari ni mbaya la hasha ila ninapata mashaka kama nape anajua anachokiongea na kama wanaomshangilia wanajua wanachoshangilia.
Mwandhishi wa comment hii ni mchumi kuanzia 2006, anajua vizuri kuhusu UJAMAA, ULIBELARI na UBEPARI, kama tukidiscuss kila kimoja labda utachoka kusoma, ila kwa kifupi NAPE anachanganya sana mambo, kama anashindwa kunifikia anaweza kupata ushauri kwa JUSA bse yeye alionekana anaelewa vizuri tofauti ya hizo itikadi tatu
uko sahihi kabisa mkuuNape + mada = 0 am out!
mmepata uzoefu wa wizi, sio wa kuleta maendeleo yaliyokusudiwa!Unadhani miaka 50 ya experience ni mchezo, subirini mjifunze ku deal na migogoro ndani ya chama, unadhani la Arusha sterling mwisho ni nani? Muulizeni DR Slaa leo alikuja hapa kutaka kuleta uwongo wake watu wamemshushia fact katoka nduki huko kumsaidia Josephine kufunga diaper.
Moja, Hongera mama, seems una kipaji cha mipasho, hapo kwenye red panaweza kukupa ajira leo tena au kile kipindi cha mitaarabu cha tbc.
Pili, Mitazamo inaweza kutofautiana. Nape ni mzungumzaji mzuri. Lakini ili uelewe kama anaongea pumba au point ni lazima na wewe uwe unajua mambo, lazima ufahamu wako uwe sawa na wake katika hilo jambo au ufahamu wako uwe mkubwa zaidi katika hicho anachokizungumza, kama wewe mwenyewe kichwani ni mweupe umeumia, na hiki ndicho kilichomkumba nipe tano na kwa hili nitatoa mifano.
1. Nape anasema CCM inaamini na kutekeleza sera za ujamaa, Tofauti kubwa kati ya sera hizi tatu, yaani ubepari, ulibelari na ujamaa ni namna uchumi wa nchi unavoendeshwa, nani anamiliki uchumi. Sifa mbili kubwa za sera ya Ujamaa ni uchumi kumilikiwa na umma na kujikita katika kupunguza tafouti ya kipato kati ya mtu na mtu, Je hiki ndicho CCM wanachosimamia, Nipe tano unaelewa nachozungumza au nshakupeleka kina kirefu? sema tu mama niko tayari kukuelekeza taratibu, sitaki kumuacha mtu nyuma
NOTE: Hakuna Ujamaa wa kisayansi na ujamaa wa kiafrika, hapa msiojua ndio nape anapowapiga bao, mnashabikia tu.
2.Kwamba serikali yake inajitajidi kuwamilikisha wananchi ardhi, yeye akasema eti huku ndio kumilikisha wananchi uchumi, kuna matatizo mawili hapa, moja hii si kweli hata kidogo kwamba serikali inajitahidi kumilikisha wananchi uchumi, Unajua nini kinatokea katika MKURABITA na kinachotokea katika UBINAFSISHAJI na kuna kile kingine wanaCCM wanakipenda sana UWEKEZAJI? kila kimoja ni page nyingi kama nikiamua kuvieleza. Pili, hata kama hii ingekua kweli (Kwamba seikali inajitahidi kuwamilisha watanzania uchumi wao) bado tusingekua tunatekeleza itikadi za ujamaa kwa sababu tungekua tunauacha uchumi wetu mikononi mwa mtu mmoja mmoja, na katika hali hii nguvu ya soko ndio inaamua mambo (huu ni ubepari na sio ujamaa), unakumbuka mwezi wa pili JK alivochemka na kupanga bei ya sukari, leo (miezi sita tu badae) sukari inauzwa sh ngapi?, Unakumbuka kuhusu mafuta mwanzo mwa august leo wiki tatu tu badae mafuta yanauzwaje? nguvu ya soko inaamua mambo na sio order kutoka state house!
Sijaribu kusema ubepari ni mbaya la hasha ila ninapata mashaka kama nape anajua anachokiongea na kama wanaomshangilia wanajua wanachoshangilia.
Mwandhishi wa comment hii ni mchumi kuanzia 2006, anajua vizuri kuhusu UJAMAA, ULIBELARI na UBEPARI, kama tukidiscuss kila kimoja labda utachoka kusoma, ila kwa kifupi NAPE anachanganya sana mambo, kama anashindwa kunifikia anaweza kupata ushauri kwa JUSA bse yeye alionekana anaelewa vizuri tofauti ya hizo itikadi tatu
Jussa alijitahidi kujibu hoja vizuri ila pia watu wa cuf walikuwa wanauliza maswali kidini sana na kuonesha cuf ni chama cha kidini kabisa!
NOTE: Hakuna Ujamaa wa kisayansi na ujamaa wa kiafrika, hapa msiojua ndio nape anapowapiga bao, mnashabikia tu.
Nadhani wewe ndio mjinga zaidi, kama huwa unaziruka post zangu leo imekuaje umeisoma.
Nikiangalia ID yako wewe ni mchangga vili vile ni katika wale Mateka wa Mbowe.
Tatizo Pro-CDM-JF, wengi ni pumba hawataki watu waikosoe CDM, nakushari usisome posts zangu utakuwa unaumia endelea kuziruka sawa Mangi, Aikambeee