Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,012
- 95,358
- Thread starter
- #21
Mke wangu ndiye ubavu wangu.......Babu umenifurahisha sana................................
watu wengine hawajui hao watoto wanaowapenda zaidi ya spouses wao hawakuwepo wakati wanaanza mapenzi yao, hao ni matokeo tu. na mapenzi kwa hizo pande mbili ni tofauti.
Najaribu kuimagine......... asipokuwepo, hawa watoto nilio nao ntawamudu peke yangu?
Lakini watoto wasipokuwepo, I still can make it with my dear wife for nilimpenda bila kujali kama ataniletea hao watoto.