Mdahalo: Kids Vs Spouses

Babu umenifurahisha sana................................
watu wengine hawajui hao watoto wanaowapenda zaidi ya spouses wao hawakuwepo wakati wanaanza mapenzi yao, hao ni matokeo tu. na mapenzi kwa hizo pande mbili ni tofauti.
Mke wangu ndiye ubavu wangu.......

Najaribu kuimagine......... asipokuwepo, hawa watoto nilio nao ntawamudu peke yangu?
Lakini watoto wasipokuwepo, I still can make it with my dear wife for nilimpenda bila kujali kama ataniletea hao watoto.
 
Kusema ukweli babu ukisoma vizuri ule mdahalo wa kwanza utaona kuwa tulikuwa tunazungumzia vitu tofauti. Watoto wanayo nafasi yao kama watoto na huwezi kuwalinganisha/judge kwa vigezo vya spourse. Katu hatuwezisema mapenzi yako kwa mke/mume ni zaidi kuliko kwa watoto au mapenzi yako kwa watoto ni zaidi ya kwa mke/mume kwani utakuwa unalinganisha aina tofauti za upendo.

Nilikuwa tu najaribu kuwaza kwa nguvu na ni mara nyingi tunasikia wanawake wakilaumiiwa kuwa wakishapata watoto huhamishia mapenzi kwa watoto na kuwasahau wababa hali inayopelekea wababa kuseek other camps kwa ajili ya fidia. The same applies kwa wamama. Unapokutana na mtu ambaye mistakenly anachanganya upendo wa watoto na ule anaopaswa kumpa spouse wake ni wazi mahusiano yatakuwa na mushkeli na katu, nasema katu hutoeleweka iwapo utamweleza mwenzio LIVE and ON A SERIOUS NOTE kuwa unawapenda watoto zaidi ya unavyompenda yeye au ukamwonyesha kwa matendo asiumie (hata kama hatokuonyesha kuwa ameumia).

Wanawake wengi tunajinyima haki zetu, wengi tukishapata watoto na Mr akawa anawajali sana watoto kuliko anavyokujali wewe mama, tunatend kuridhika kuwa .......ah lakini anawajali watoto, anahakikisha wanakula, wanakwenda shule nzuri, analipa ada , inatosha hata kama kwangu hanionyeshi mapenzi naridhika. This is WRONG. Wewe kama mke unayo haki yako kupendwa, kujaliwa na kufurahishwa. Sio usubstitute upendo wako kwa kuwa anawapenda watoto. Sijui lakini I just feel kuwa its not right na wala hatutokuwa tunatumia scale sahihi kulinganisha watoto na spouses wetu.

Hivi tulishajiuliza utajisikiaje inapotokea Mke ambaye anao watoto wake (hukuzaa naye) halafu akakupa na ku7kuonyesha live kuwa anawapenda wanae zaidi ya anavyokupenda wewe kama spouse wake? Will you be comfortable with that? I think confessions nyingine ni bora zikaungamiwa tumboni kwa kweli. Its a damage in the relationship.

Ni mtazamo wangu tu huu, and not under the influence of any alcohol.
 
Babu nna swali kuhusiana na mada...
What if you current partner is not the biological parent of you child(ren) and the two of you don't share a child(ren)??
Bado utampenda yeye zaidi ya watoto wako??Given hapa mnalinganisha mapenzi ya watoto na wenza!!!

Binafsi naamini mapenzi ya mzazi kwa mtoto ni tofauti na mapenzi ya mke kwa mume/mume kwa mke/wapenzi.
Kwahiyo sio rahisi kusema nampenda mwanaume/mwanamke zaidi ya watoto wangu kwa sababu mapenzi yao sio sawasawa. Ila ikitokea circumstance where you have to choose one..for whatever reason ndo unaamua yupi ni muhimu zaidi kwako/yupi unamthamini zaidi. Na kwangu binafsi definately watoto...
Mwanaume anaweza kwenda akapata mwanamke mwingine wa kumpenda na atakaempenda astahilivyo ila siamini kwamba ni rahisi kwa watoto pia.
 
Hahaha........dah! Shem umenishtua kama nlivokushtua kwenye sredi ya Nyumba ndogo LOL............. Ngoja niendelee kuwasoma na wengine.

Hivi shem kuwabeba tumboni kwa nine months ndo kunamtoa ndugu yangu kwanye namba moja? looooooooo

Motherhood... Motherhood kwa alie bahatika kupitia hii shem ndo aweza nielewa what i mean... Sio kwamba tu ya kubeba.. But the fact kwamba ni mengi twapitia toka hicho kiumbe kitunge... Kikue mpaka uakajaliwa kujisungua - one is bound to be binded. Sina maana simpendi baba yao... God i love him... Mungu mwenyewe ajua...
 
Mke wangu ndiye ubavu wangu.......

Najaribu kuimagine......... asipokuwepo, hawa watoto nilio nao ntawamudu peke yangu?
Lakini watoto wasipokuwepo, I still can make it with my dear wife for nilimpenda bila kujali kama ataniletea hao watoto.
ha haaaaaaaaaaaaaaa....................... "nice to meet u"
 
Babu nna swali kuhusiana na mada...
What if you current partner is not the biological parent of you child(ren) and the two of you don't share a child(ren)??
Bado utampenda yeye zaidi ya watoto wako??Given hapa mnalinganisha mapenzi ya watoto na wenza!!!

Binafsi naamini mapenzi ya mzazi kwa mtoto ni tofauti na mapenzi ya mke kwa mume/mume kwa mke/wapenzi.
Kwahiyo sio rahisi kusema nampenda mwanaume/mwanamke zaidi ya watoto wangu kwa sababu mapenzi yao sio sawasawa. Ila ikitokea circumstance where you have to choose one..for whatever reason ndo unaamua yupi ni muhimu zaidi kwako/yupi unamthamini zaidi. Na kwangu binafsi definately watoto...
Mwanaume anaweza kwenda akapata mwanamke mwingine wa kumpenda na atakaempenda astahilivyo ila siamini kwamba ni rahisi kwa watoto pia.

Aksante Lizzy for this post!
 
Motherhood... Motherhood kwa alie bahatika kupitia hii shem ndo aweza nielewa what i mean... Sio kwamba tu ya kubeba.. But the fact kwamba ni mengi twapitia toka hicho kiumbe kitunge... Kikue mpaka uakajaliwa kujisungua - one is bound to be binded. Sina maana simpendi baba yao... God i love him... Mungu mwenyewe ajua...

Tunaelewa AshaDii na ndio maana tunasema hizi ni pendo mbili tofauti. Parental love kwa watoto ni beyond explanation kweli kabisa BUT spouse love nayo ni ya aina ya pekee
 
Kusema ukweli babu ukisoma vizuri ule mdahalo wa kwanza utaona kuwa tulikuwa tunazungumzia vitu tofauti. Watoto wanayo nafasi yao kama watoto na huwezi kuwalinganisha/judge kwa vigezo vya spourse. Katu hatuwezisema mapenzi yako kwa mke/mume ni zaidi kuliko kwa watoto au mapenzi yako kwa watoto ni zaidi ya kwa mke/mume kwani utakuwa unalinganisha aina tofauti za upendo.

Nilikuwa tu najaribu kuwaza kwa nguvu na ni mara nyingi tunasikia wanawake wakilaumiiwa kuwa wakishapata watoto huhamishia mapenzi kwa watoto na kuwasahau wababa hali inayopelekea wababa kuseek other camps kwa ajili ya fidia. The same applies kwa wamama. Unapokutana na mtu ambaye mistakenly anachanganya upendo wa watoto na ule anaopaswa kumpa spouse wake ni wazi mahusiano yatakuwa na mushkeli na katu, nasema katu hutoeleweka iwapo utamweleza mwenzio LIVE and ON A SERIOUS NOTE kuwa unawapenda watoto zaidi ya unavyompenda yeye au ukamwonyesha kwa matendo asiumie (hata kama hatokuonyesha kuwa ameumia).

Wanawake wengi tunajinyima haki zetu, wengi tukishapata watoto na Mr akawa anawajali sana watoto kuliko anavyokujali wewe mama, tunatend kuridhika kuwa .......ah lakini anawajali watoto, anahakikisha wanakula, wanakwenda shule nzuri, analipa ada , inatosha hata kama kwangu hanionyeshi mapenzi naridhika. This is WRONG. Wewe kama mke unayo haki yako kupendwa, kujaliwa na kufurahishwa. Sio usubstitute upendo wako kwa kuwa anawapenda watoto. Sijui lakini I just feel kuwa its not right na wala hatutokuwa tunatumia scale sahihi kulinganisha watoto na spouses wetu.

Hivi tulishajiuliza utajisikiaje inapotokea Mke ambaye anao watoto wake (hukuzaa naye) halafu akakupa na ku7kuonyesha live kuwa anawapenda wanae zaidi ya anavyokupenda wewe kama spouse wake? Will you be comfortable with that? I think confessions nyingine ni bora zikaungamiwa tumboni kwa kweli. Its a damage in the relationship.

Ni mtazamo wangu tu huu, and not under the influence of any alcohol.
Dah! mjukuu mtiifu umemaliza! Ngoja kwanza nikapate maji ya kunywa! Aliyekuamsha leo akuamshe na kesho pia!
 
Children benefit from knowing their parents love not only them but each other. Their sense of security grows as they see parents loving each other, when your were dating your spouse/wife you put them first. It shouldn't change when you have children
 
Tunaelewa AshaDii na ndio maana tunasema hizi ni pendo mbili tofauti. Parental love kwa watoto ni beyond explanation kweli kabisa BUT spouse love nayo ni ya aina ya pekee
Mjukuu mtiifu hebu naomba unitabanalishe endapo itatokea hii aliyosema Lizzy kwenye bold hapo...........utamchagua yupi?

Ila ikitokea circumstance where you have to choose one..for whatever reason ndo unaamua yupi ni muhimu zaidi kwako/yupi unamthamini zaidi
 
Babu nna swali kuhusiana na mada...
What if you current partner is not the biological parent of you child(ren) and the two of you don't share a child(ren)??
Bado utampenda yeye zaidi ya watoto wako??Given hapa mnalinganisha mapenzi ya watoto na wenza!!!

Binafsi naamini mapenzi ya mzazi kwa mtoto ni tofauti na mapenzi ya mke kwa mume/mume kwa mke/wapenzi.
Kwahiyo sio rahisi kusema nampenda mwanaume/mwanamke zaidi ya watoto wangu kwa sababu mapenzi yao sio sawasawa. Ila ikitokea circumstance where you have to choose one..for whatever reason ndo unaamua yupi ni muhimu zaidi kwako/yupi unamthamini zaidi. Na kwangu binafsi definately watoto...
Mwanaume anaweza kwenda akapata mwanamke mwingine wa kumpenda na atakaempenda astahilivyo ila siamini kwamba ni rahisi kwa watoto pia.
Dada yangu Lizzy hebu soma hii sentensi ya Mbu hapa chini halafu unisaidie kuifafanua. Labda mie sijaielewa vizuri.

"I love my kids more than their mum, period!
unconditional love!"
 
Mjukuu mtiifu hebu naomba unitabanalishe endapo itatokea hii aliyosema Lizzy kwenye bold hapo...........utamchagua yupi?
Babu kwa kuwa nilishasema kuwa ni different kind of love: Hiyo circumstance ndiyo itakayoamua but uamuzi hautobase kwenye kupenda upande mmoja zaidi ya mwingine.
Mf. Unaambiwa wakwe hawataki uolewe/oe mmwenzio kwa kuwa tayari una watoto/mtoto! - this is beyond: ni wanao huweziwatupa au kuwachinja kisa unampenda huyo mwenzio. So unakuwa forced kumwacha si kwa kuwa humpendi au upendo wako kwake ni mdogo kulinganisha upendo wako kwa wanao Bali tu kwa kuwa HUWEZI ULINGANISHA. Its just that its not right hata kulinganisha.

Kila upande unayo thamani yake ambayo haizidi/ wala haipungui kwa kulinganisha na uwepo wa upande mwingine.
Ingekuwa ni sawa jamani si wengine tungeamuaga tu kuwa uko na wanao wanakufulfill basi huhitaji Spouse?! (Kwa wale ambao hamkuwapata pamoja)
 
Dada yangu Lizzy hebu soma hii sentensi ya Mbu hapa chini halafu unisaidie kuifafanua. Labda mie sijaielewa vizuri.

"I love my kidsmore than their mum, period!
unconditional love!"

"I love my kids more than their mum, period!
unconditional love!"
 
Dada yangu Lizzy hebu soma hii sentensi ya Mbu hapa chini halafu unisaidie kuifafanua. Labda mie sijaielewa vizuri.

"I love my kids more than their mum, period!
unconditional love!"

Babu hivi tangu lini nimegeuka DADA???Just curious...maana I didn't get the memo!

BTT....
Namwelewa Mbu kwamba yeye watoto wake comes first...ni muhimu zaidi..ana wathamini zaidi. Na iwapo akahitajika kuchagua kati ya mama na watoto atachagua watoto. Swala la mapenzi bado siamini kwamba unaweza kulinganisha kati ya watoto na mwenzi...unachoweza kulinganisha ni umuhimu wao/thamani yao kwako na mengine kama hayo.Ila mapenzi ya mzazi kwa mtoto/mtoto kwa mzazi/ mzazi na mwenzi/mtoto na mwenzi hayalinganishiki.

Na hii inatokana na kwamba watoto ni sehemu ya wewe...hata ufanye nini hawawezi kuacha kua watoto wako...hata wawe vipi bado wataendelea kua watoto wako. Ila mke/mume anaweza kuacha kua wakwako wakati wowote ule.Iwe unampenda au humpendi!!!
 
Babu unajua wife/spouse lazima wawe trunk na watoto ni branches, kwa maneno mengine kwa lugha ya malkia wa Uingereza ni kwamba parents should be the center of the family and always work together. Unfortunately sometimes one parent is an idiot and then, as a parent you must protect your child
 
Babu kwa kuwa nilishasema kuwa ni different kind of love: Hiyo circumstance ndiyo itakayoamua but uamuzi hautobase kwenye kupenda upande mmoja zaidi ya mwingine.
Mf. Unaambiwa wakwe hawataki uolewe/oe mmwenzio kwa kuwa tayari una watoto/mtoto! - this is beyond: ni wanao huweziwatupa au kuwachinja kisa unampenda huyo mwenzio. So unakuwa forced kumwacha si kwa kuwa humpendi au upendo wako kwake ni mdogo kulinganisha upendo wako kwa wanao Bali tu kwa kuwa HUWEZI ULINGANISHA. Its just that its not right hata kulinganisha.

Kila upande unayo thamani yake ambayo haizidi/ wala haipungui kwa kulinganisha na uwepo wa upande mwingine.
Ingekuwa ni sawa jamani si wengine tungeamuaga tu kuwa uko na wanao wanakufulfill basi huhitaji Spouse?! (Kwa wale ambao hamkuwapata pamoja)
Kajukuu hapa tunaongelea Mmeo uliyezaa naye Watoto Wako!...........Please!

Let me put like this: Inapotokea mmeo na mwanao (wa kuzaa na mmeo) lets say wanaumwa na wote wanahitaji kuwekewa figo. Utajitolea figo lako moja kwa nani?
 
Babu hivi tangu lini nimegeuka DADA???Just curious...maana I didn't get the memo!

BTT....
Namwelewa Mbu kwamba yeye watoto wake comes first...ni muhimu zaidi..ana wathamini zaidi. Na iwapo akahitajika kuchagua kati ya mama na watoto atachagua watoto. Swala la mapenzi bado siamini kwamba unaweza kulinganisha kati ya watoto na mwenzi...unachoweza kulinganisha ni umuhimu wao/thamani yao kwako na mengine kama hayo.Ila mapenzi ya mzazi kwa mtoto/mtoto kwa mzazi/ mzazi na mwenzi/mtoto na mwenzi hayalinganishiki.

Na hii inatokana na kwamba watoto ni sehemu ya wewe...hata ufanye nini hawawezi kuacha kua watoto wako...hata wawe vipi bado wataendelea kua watoto wako. Ila mke/mume anaweza kuacha kua wakwako wakati wowote ule.Iwe unampenda au humpendi!!!
Hahahaha......mshiki bana. Haya na huyu hapa MTM.

Kwa wanangu, nothing comes before them, i can take bullets...

Huoni huyu naye anataka kutueleza jinsi anavyowapenda wanae kuliko mkewe? Hivi imefikia hatua ya "nothing comes before our kids?" Kwamba mama tupa kule, watoto leta hapa?

40 Reactions
Reply
Back
Top Bottom