Mdahalo: Kids Vs Spouses

MTM ngoja niende taratibu kuna kitu nahitaji kujifunza hapa .............si unajua sie wengine wagumu kuelewa inahitaji shule ya miaka kunielewesha sentensi moja.

halafu wewe..........

endelea tu kuchunguza wanaume, usije ukawa unataka kuleta povu home tu
 
Mzee mwenzangu DC Retired Gen 1947 hapo juu,

Nakupigia saluti!

Hata kama wameamua kuhamishia mapenzi yetu kwa watoto wetu, sie tuendelee kuwapenda, kuwajali na kuwaheshimu. Ndio wajibu wetu kama wanaume.

Ila wakinamama hawa wangepata nafasi ya kukutana na mama yangu mdogo ambaye ni mjane labda wangeweza kunisaidia kuwelewa hii kauli yake ambayo huwa anaisema kila siku anapomkumbuka marehemu mmewe. Namnukuu
"Ni heri ningewakosa hawa watoto kuliko ninavyomkosa Willy (mmewe), Ningejua angekufa mapema namna hii nisingekubali kuolewa naye. Ukiwa na mme umpendaye sana, usiombe kuwa mjane". Mwisho wa kunukuu, na ikumbukwe si kwamba ana shida ya fedha, basi tu upweke.......

R.I.P Willy ....Mama Mdogo Inha lillha wa inha halia rejoun.
 
nn bado kuna ambacho sijaelewa hivi huwa hatuwezi kusifia hata mume wa jirani,wa mdogo ,mjomba wako kwa jinsi anavopenda na kujali familia yake .............is that the same love are we talking here?


Kupenda watoto ni kweli kunajumlisha kuwa provider.

Sasa kuwa na abusive husband but loving daddy ni issue nyingine na ni very rare; abusive husbands wengi huwa hawana mapenzi kwa watoto.

Ila nakubali kuwa wapo watu ndoa ziliwashinda sababu ya differences ambazo zaweza zisiitwe 100% abusive; ila kwa kuwa ex ana mapenzi bado na watoto hao watu wanabaki kuwa life time friends. That includes my dad and mum. Mama mpaka kesho ahachi kumsifia baba kuwa ni perfect dad na anadiliki hata kututambia kuwa hakuna aliyepata mume mwenye mapenzi na watoto kama baba yetu; which is true.

It is strange kuwa wote wawili baba na mama hawaishi kusifiana japo wameachana; ila nimegundua we are connecting them; they are good friends because we are their heart beats.
 
It is the same love that we are talking about here.

Afu inawezekana haya mambo yanategemea pia na makuzi yetu. Mimi na dada zangu huwezi kutuambia kitu kuhusu watoto; though nadhani ni natural to all mothers.

Kaka yetu nadhani amekuwa influenced na baba yeye ni baba wa aina yake na wifi yetu is so lucky to have him.

Yani kaka huwa anaweza kuja kututembelea na mtoto wa miezi sita anamfunga kwenye kiti chake garini hao wanachanja mbuga. Akilia anampa maziwa ya chupa; akijichafua anamsafisha mwenyewe wala haombi msaada. That is exactly how our dady raised us.


Tofauti na ma brothermen wengi ambao wanataka kubeba watoto wakiwa kimya; wakilia au wakijichafua wanawarudisha kwa mama zao; kaka yangu ana take full charge. Utamsikia mkewe tumwache huyu mtoto atatusumbua; kaka anasema aachwi mtu.
nn bado kuna ambacho sijaelewa hivi huwa hatuwezi kusifia hata mume wa jirani,wa mdogo ,mjomba wako kwa jinsi anavopenda na kujali familia yake .............is that the same love are we talking here?
 
.................btw, what is love??

Does love transcend meaning? Is it a feeling beyond our rational quest for knowledge. Can we know what the meaning of love is via an explanation of words or rather can we only know love through its experience. Love is ecstatic, blissful, benign and essentially good in nature. It is also "right" where hate is "wrong" and therefore entails a concept of ethics and morality. Love it might be put forward has many forms. Family love, Romantic love, Erotic love, even Universal and Filial love. These might be numbered amongst our first conceptions of what the meaning of love entails.
Family love, the love of a mother for her son, a father for his daughter, of parents for their children, is for the child, the very first instance of experiencing feelings of love from another human being. It encompasses nurturing & care which is generally but not always typical of the love that can be found within ones family. Older siblings will often care for the younger ones & children in there adult years will then reverse the care and nurture their parents in old age. Ones grandparents and ancestors often held in reverence and great esteem are all part of the long line of family tradition and Family love.
Romantic love, the love the majority of us are all searching for occurs when as young adults we first discover our attraction to and for others. It is in the form of a longing for the beloved, the object of our devotions. It stirs within the heart and often defies explanation. Romantic love is a service beyond that of a parent to child and it often occurs as one human beings selfless actions towards another (or others). In these instances one would do anything for the benefit of ones beloved, including the ultimate sacrifice of dying to protect ones love. Romantic love exists between people of opposite and the same sex or even both sexes and is boundless in forms of expression and fulfillment.
Erotic love on the other hand though intimately linked to romantic love has its fulfillment through physical expression touching, kissing, sexual arousal & action. It runs the gambit of experimentation and risk. It is passionate and lustful, beautiful and profound in its own right.
Then of course we have Universal love which could be regarded as the one and only true expression of love. It encompasses compassion and an empathy for all life, including the human, animal and natural worlds. This is a spiritual love or at the very least it is humanitarian in nature. Mercy, forgiveness, and philanthropy are all aspects of a this particular meaning of love.
Filial love is similar in nature to both Family and Universal Love. It is the love found between friends but also amongst siblings and in ones peer group. Comradery and companionship are its key components and it can often replace and be even more important then both Family & Romantic love if one is unfulfilled in these areas.
Finally we might have a love of things, like a love of food, sport, music, culture, knowledge, technology, business, adventure or travel. This is really a passion for something, a desire perhaps, but a form of love nevertheless. Love such a simple word yet with a thousand expressions and forms therefore has many meanings. The meaning of love is multiple in nature an hence also rather complex.
From the above examples we gain an inkling into the essence of the meaning of love, it is a starting point from which to move forward. Ultimately when we ask ourselves and each other, what is love? We must consider these various possibilities and place our own will, desires and understanding of who we are, into the greater context of our place within the world.
Liam Kumar
 
Unajua wababa wengi hawajuhi ni jinsi gani mapenzi ya wake zao yanapungua baada ya kuzaa; ni kwa sababu ya doubt ya wamama wengi kama kweli unawapenda watoto wao.

Mfano unakuta mbaba amemshika mtoto mchanga; mtoto ameshanyonya hana njaa; mtoto anaanza kulia; wote husband na wife wanajua mtoto analia kwa sababu ya labda usingizi maana hana njaa.
Afu unasikia njoo mchukue mwanao ananisumbua; what a statement??? Mwanamke atafurahi kama uta take trouble ya kumbembeleza mtoto wako; ni kipimo cha penzi lenu wewe kuwapenda watoto na si kuwaona kero.
 
Mkuu Aspirin,awali ya yote naomba nikiri kwamba sina sifa ya kusema chochote kwenye huu uzi for the simple reason kwamba trend ya uzi huu inaonyesha mnaongelea a perfect monogamous family ie baba,mama ,watoto,under one roof,in which hakuna nyumba ndogo,mke wa pili wala so called 'watoto wa nje',ndo mana nikasema sina sifa ya kuongea hapa. Nevertheless ngoja niibie,here are my observations:
1. Hata katika so called 'perfect family' kuchorana kupo,usisahau mkeo ana ndugu zake ambao kila kukicha wanamsomesha namna ya kukudili,..'unasikia mama Riziki,wanaume hawaaminiki'...etc,shangazi wa mkeo huyo.
2. Kwa wahaya siku ya harusi bibi harusi huwa anaimbiwa..'baro ti sho'...maana yake..'mmeo sio baba yako'...meaning mmeo kamwe hawezi kukupenda kama baba yako.
3. Leo hii Aspirin we ni wa maana kwa mkeo kwa kuwa unamtunzia watoto,subiri uzeeke,watoto wamalize shule wahamie Houston,Reading ,Nairobi etc na wawe na kipato kizuri,utaniambia, huyo mama Kayai wako atakuwa anakuaga anakwenda tembelea watoto Los Angeles miezi sita mzee hajarudi,tunayaona haya kila siku.Jiulize watoto wangapi walioko majuu ambao huwa wanawakaribisha Ulaya baba zao.
4. Be careful ndugu yangu unapoelekea uzeeni,zipo cases nyingi za mama kushirikiana na wanae wakubwa wakamuua baba ili wachukue mali maana wanaona anawazengua,sijawahi sikia watoto wanashirikiana na baba kuua mama.

.......ninayo mengi ya kukueleza Aspirin katika hili na yote ni mambo hai ambayo yanatokea katika familia,ila kwa leo tuishie hapa....
ushauri wa bure...jiandalie maisha yako ya uzeeni as best as you can .Don't ever rely on so called 'love' and it is better uki assume kuwauzeeni hutakuwa na wa kumtegemea wala wa kukupenda kama unavyodhania kwa sasa,akitokea kuwepo alhamdulilah...

nawasilisha
nisalimie Darlingtone,mwambie i love her for what she is
Wako
Bishanga Abashaija.
 
Wife/Spouses come first for the most issues because the health of marriage is what keeps the family together. If you keep kids above the wife/spouse all the time you are more likely to loose the wife/spouse to someone who puts him/her first. Then everybody gets a raw deal. The kids run close second and their needs are considered in our decisions

Tasa hapa atasemaje? Nafikiri kila mtu ana uzito kwa wakati wake. Kwangu mimi kids are more than anything!!
 
Ulichosema kina ukweli japo unauma sana; watoto na mama wana bond ya hajabu; including nyie waume zetu kwani mna mama pia.

Ikitokea ukamwacha mama yao jua watoto wata prioritize zaidi kupeleka msaada kwa mama yao; wewe utaambulia makombo. Better way ni kuzeeka pamoja.

Mkuu Aspirin,awali ya yote naomba nikiri kwamba sina sifa ya kusema chochote kwenye huu uzi for the simple reason kwamba trend ya uzi huu inaonyesha mnaongelea a perfect monogamous family ie baba,mama ,watoto,in which hakuna nyumba ndogo,mke wa pili wala so called 'watoto wa nje',ndo mana nikasema sina sifa ya kuongea hapa. Nevertheless ngoja niibie,here are my observations:
1. Hata katika so called 'perfect family' kuchorana kupo,usisahau mkeo ana ndugu zake ambao kila kukicha wanamsomesha namna ya kukudili,..'unasikia mama Riziki,wanaume hawaaminiki'...etc,shangazi wa mkeo huyo.
2. Kwa wahaya siku ya harusi bibi harusi huwa anaimbiwa..'baro ti sho'...maana yake..'mmeo sio baba yako'...meaning mmeo kamwe hawezi kukupenda kama baba yako.
3. Leo hii Aspirin we ni wa maana kwa mkeo kwa kuwa unamtunzia watoto,subiri uzeeke,watoto wamalize shule wahamie Houston,Reading ,Nairobi etc na wawe na kipato kizuri,utaniambia, huyo mama Kayai wako atakuwa anakuaga anakwenda tembelea watoto Los Angeles miezi sita mzee hajarudi,tunayaona haya kila siku.Jiulize watoto wangapi walioko majuu ambao huwa wanawakaribisha Ulaya baba zao.
4. Be careful ndugu yangu unapoelekea uzeeni,zipo cases nyingi za mama kushirikiana na wanae wakubwa wakamuua baba ili wachukue mali maana wanaona anawazengua,sijawahi sikia watoto wanashirikiana na baba kuua mama.

.......ninayo mengi ya kukueleza Aspirin katika hili na yote ni mambo hai ambayo yanatokea katika familia,ila kwa leo tuishie hapa....
ushauri wa bure...jiandalie maisha yako ya uzeeni as best as you can .Don't ever rely on so called 'love' and it is better uki assume kuwauzeeni hutakuwa na wa kumtegemea wala wa kukupenda kama unavyodhania kwa sasa,akitokea kuwepo alhamdulilah...

nawasilisha
nisalimie Darlingtone,mwambie i love her for what she is
Wako
Bishanga Abashaija.
 
Vipi kuhusu wababa nao kuwapenda watoto wao kuliko wake zao? Manake wengine tupo tunaowapenda watoto wetu kuliko hata sisi wenyewe.
 
1. The best thing a dad can do for his children is to love his mother biblically
2. The best thing a mother can do for her children is submit to her husband biblically
3. The best thing parents can do for their children......the best way to love their children.....is to make a solid biblical home and to have them faithfully devoted to GOD.

Na hili ndilo neno la Mungu.................:poa
 
Mpaka hapa nilipofikia nimejifunza somo moja gumu na linaloumiza sana.

kwamba wanaume na wanawake ni vitu viwili tofauti kabisa katika maisha ya mapenzi na upendo.

Nilichokuwa nakijua na ambacho naamini mpaka sasa kinaendelea

Mke anampenda mmewe saaaaana, pale wanapokuwa hawajapata watoto/mtoto
Mme anampenda mkewe sana pale wanapokuwa hawajapata watoto/mtoto

Nilichojifunza leo kwa mstuko

Mme anampenda mke hata kama ameshapata mtoto/watoto
Mke anampenda sana mtoto/watoto akishapata mtoto/watoto. Mme anakuwa namba mbili.

Swali kwa wanawake:
Ni kitu gani hasa kinawafanya mhamishie mapenzi yenu kwa watoto na kuwaweke waume zenu namba 2? Hapa tu-assume hakuna ubaya wowote uliotendewa na mmeo.

Inauma sana aisee!

Babu na mzee mwenzangu,

Ama kweli elimu haina mwisho....Hivi hayo ndo unayajua leo????

Hakuna mama anayesingiziwa mtoto ndugu yangu na hiyo wanaliweka katika matendo.....

Ila wasamehe bure, ni hormone ndio zinazofanya hivyo. Na ndio maana hawaamini kwamba unaweza kwenda nyumba ndogo halafu ukabaki na upendo wa 100% kwa mama watoto wao.....We are soul-mates but from different planets!!
 
Hilo la baba kuwapenda watoto tumeshakubali lipo; ila kusema ni kuliko wake zao ni ngumu mpaka wakiri wenyewe kama wewe ulivyosema hapa.

Na kama kuna kuchagua kwa kweli napenda mwanaume anayependa sana watoto wake na sita bother hata kucomplain au kupima kama am the first or second. As long as unapenda watoto am sooo happy because I love them too.

Vipi kuhusu wababa nao kuwapenda watoto wao kuliko wake zao? Manake wengine tupo tunaowapenda watoto wetu kuliko hata sisi wenyewe.
 
Hilo la baba kuwapenda watoto tumeshakubali lipo; ila kusema ni kuliko wake zao ni ngumu mpaka wakiri wenyewe kama wewe ulivyosema hapa.

Na kama kuna kuchagua kwa kweli napenda mwanaume anayependa sana watoto wake na sita bother hata kucomplain au kupima kama am the first or second. As long as unapenda watoto am sooo happy because I love them too.

Well, I love mine more than I even love myself!

And just to put it into perspective, I really do love myself.
 
Back
Top Bottom