Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 67,977
- 95,297
- Thread starter
- #81
Ni ukweli unaouma sana! Sina cha kuongeza nyumba kubwa. Khaa!Nadhani ni nature kama kuku na vifaranga vile.
Bond ya kubeba kiumbe miezi tisa na kunyonyesha mwaka miaka; ina mconnect mama na mtoto kwa njia ya hajabu. Kids are miraculous gift to every mother.
And sometimes I feel like I love my husband more and more when I feel like he loves our kids because they are everything to me.
Na kama kuku na vifaranga wake nitamchukia yeyote atakayechukia watoto wangu.
Kwa hiyo naweza kusema ukitaka mwanamke akupende basi penda watoto wake. Kama in any way iwe ni kweli au a mistake mkeo akahisi umeanza kuchukia watoto jua mapenzi yake kwako yatakoma. A bridge to woman's heart is her kids, whereas a bridge to a man's heart is the wife (or any lover) maana si wote wana mapenzi na wake zao.
Najaribu ku-imagine jinsi navyompenda Mama Matesha wangu kumbe yeye akili yake yooote iko kwa Matesha kwanza then ndo anifikirie mie....... Naanza kupata sababu nyingine kwanini wanaume karibu wote walio kwenye ndoa huwa wanacheat!! You dont love us the way we love you, and what do you expect?