Mchungaji MTIKILA na wanaharakati kumfungulia mashitaka N/W Adamu Malima.

nilivyo elewa ana maanisha expensive. kama mwizi akiuza atapata pesa yakutosha, ukitaka kuhakikisha nenda duka la silaa

Kwanini ziwe expensive?Unamaanisha mwizi angeuza bastola moja angeapata mtaji wa maisha?Na huyo mnunuzi angenunua kwa madhumuni gani?THINK TWICE!

Mimi nina maswali matatu tu kwa yeyote anayejua.
1. Hivi Tanzania tunaviwanja vya ndege vingapi vya kimataifa na kati ya hivyo Morogoro vipo vingapi?
2. Hivi kwenda Ethiopia (kwa mfano) au nchi zingine mawziri wanakoendaga hakuhitaji visa au kuna utaratibu gani mwingine wa kupata Visa nchi hii zaidi ya ule wa kawaida tuliouzoea?
3. Ni mkoa gani mwingine Tanganyika yetu hii ukiondoa Dar es Salaam kuna ubalozi wa nchi za nje?

Ukipata majibu ya maswali haya ndio utajua yule ni kiongozi wa umma au ni white elephant

hivi alitarajia kahaba achukue silaha apeleke wapi?? kahaba anataka pesa tu sio mambo mengine ya ki-masababuri, wapo kikazi zaidi kama kitu hakina dili la chapchap anaachana nacho. ndio maana alijua kama pete ni mtaji wa haraka sana kwa sonara akaamua kumvua waziri oete zake

Jamaa mzembe hela za madafu zaidi ya kuhonga wapiga kura na machangu Moro hazina kazi nje.
Moro mji kasoro Bahari kuna hizi stori sana.Km utasikia Gamba kalizwa na changu,ukisikia (viagra wanazokula+vidawa vya Bush/Clinton+Diabetis+BP zao) basi huwa pia wanafia ktk gemu.Utasikia Mchekini vizuri anaweza kuwa kapigwa na kachangu...on no ..kalichomoa kakatoa masharti jamaa akiwa na mzuka ,kampatia ili stim zisikate, kuja shtukia kuwa kuna vitu muhimu pia akachomekea katokwa ili kuua so kwa office na mamsapu nyumbani.
Kajamaa hakajui ktk ATM (VISA/MASTER CARD etc) zinasolve akiwa nje.Tena ni dili kwa vile utachukua hela ya nchi husika au hard currencies ukitaka.Hawa jamaa wazito kufikiri sana,ndio maana tukiwatuma mitambo nje ya nchi,wanaenda angalia rangi na size wananunua wakidhani ni ya kisasa.:hurt::hurt:
Kauli ya kubabaisha hasa ni pale aliposema
"mda wowote naweza kupigiwa simu na kuambiwa nikamuwakilishe Mh Ngeleja nje ya nchi that why natembea na vijisenti kidogo vya emergency pamoja na nguo"

Sasa kama huyu anaibiwa na changu,na ndo huyohuyo anaetusainia mikatab tena miktab nyetu,wakja wasomi c watamwbia na p¤@bu zake hyu.'wrng pple choose wrng leaders'kaz mnayo

Wakati akifafanua ule mkasa uliompata,mh Naibu waziri Malima aliropoka kauli ya kutisha ambayo haiwezi kupita hivihivi bila kupingwa.Akishangaa kwanini mwizi wake hakuiba silaha alisema na ninamnukuu kwa herufi kubwa,,,alisema" ZILE SILAHA NI MTAJI TOSHA KWA MAISHA".Tafsri yake ni kwamba waziri ama anahalalisha matumizi ya silaha(ujambazi)kujipatia mtaji ama anashawishi watu tutafute bunduki maana ni mtaji wa maisha ama yeye mwenyewe anatumia bunduki kama mtaji wa maisha.Na kama hizo ndio fikra zake basi hii nchi haina viongozi.

Hapo anaweza kuwa anamaanisha kwa watu wenye shughuli hizo zile silaha ni mtaji wa maisha. Sikupenda general presentation yake kwani amebwabwaja tu, lakini huwezi kusema kwamba naibu waziri kusema silaha ni mtaji wa maisha kwa majambazi si sawa.

Pamoja na ughali wa silaha--no way zikakuta thamani ya vitu vilivyooondoka.Pengine ingekuwa ya dhahabu au madini/vyuma ghali kam akina ghaddafi...jamaa alikuwa anapunguza makali ya uzembe na ujinga ktk masikio ya watanzania kwa kutumia kauli ya kijinga zaidi...Km kunya shambani kwa mtu ,halafu kujarifu ficha kinyesi kwa Kukata mazao yake na kufunikia kimba...Pia waandishi waliomhoji hawakuwa na kiwango wala ujasiri wa kuuliza maswali provocative palepale.Akijibu kizembe aondoke akiwa km uchi..angetia akili.Kwanza kajamaa kakiongea bungeni ni mipete kibao, kanvyojiweka unaona km kametoka ktk bao au kwa mganga wa kienyeji
nilivyo elewa ana maanisha expensive. kama mwizi akiuza atapata pesa yakutosha, ukitaka kuhakikisha nenda duka la silaa

Kauli ya kubabaisha hasa ni pale aliposema
"mda wowote naweza kupigiwa simu na kuambiwa nikamuwakilishe Mh Ngeleja nje ya nchi that why natembea na vijisenti kidogo vya emergency pamoja na nguo"

'Like father like son'.... kama baba yuko hivyo mtoto naye lazima awe hivyo hivyo..

Like father like son........mtoto wa nyoka ni nyoka hata kama amejivua gamba................................lol

Hata mimi ningependa kujua kuwa je Tanzania raia anaruhusiwa kumiliki assault rifle?

Sent from my GT-I9100 using Tapatalk

Mtikila is a kind of an ambulance chaser and it is not surprising seeing him chasing after this one. It is same Mtikila who scorned Chadema's approach to writing of the new Constitution yet some of Magwand.a members will here heap praise on him for his decision to open a case against CCM's Malima. Knowing that his popularity is already down the toilet, the third-rate politician is attempting but unsuccessfully to be back in the newspapers.
I tend to agree with your line of thinking with an exception that instead of associating Mtikila's popularity with his particular action see the need for us citizen to do something to shame this shameless deputy Minister

Kuna taarifa zimezagaa kuwa mwanaharakati wetu mzee Mtikila baada ya kukaa kimya mda mrefu amesema ataungana na wanaharakati wengine kumfungulia kesi ya uzembe na kuchezea mali za serikari mh. Adamu Malima.

Anasema ktk dai lake la msingi Mtikila amesema kuwa
1. Ni ubadhilifu wa mali ya umma kwa kiongozi kama yule kutembea na mali zote zile hlf adai ameibiwa
2. Hakubaliani hata kidogo na maelezo ya mh. N/W kuwa aliacha vitu vyote chumbani yeye akaenda sebuleni kuangalia TV. Iweje jasho la mtz litumike kulipia chumba cha laki 4 ambacho hakina hata TV?
3. Anaudanganya umma, anapoteza muda wa viongozi wengi kufuatilia suala lake wakitumia hela ya serikali.

My note: TUMPE USHIRIKIANO.

1. Adam alichukua 'Suite' ya Nashera Hotel, na sio chumba kama wengi wanavyodhani.
2. Anamiliki Pistol na Shotgun, sio SMG wala AK 47.
3. Kadhia hii bado polisi wanaifatilia na kwa taarifa yao nikuwa baadhi vitu vilivyoibwa vimepatikana.
Kwa hiyo Mtikila yeye ameshafanya na kukamilisha uchunguzi wake binafsi na kufikia uamuzi huo?

wabongo bwana shule yenyewe umesomea kayumba! Lakini vingereza viingi!!!!,
lakini sikushangai bado unasumbuliwa na ukoloni mambolea. Ukikuwa utaacha.
Vp hiyo umeipenda? Ntarudi badae, mkutano wa chadema ukiisha.
I appreciate the command of English and Kiswahili that RADHIA SWEETY has shown. Let her be...language is just a vehicle which carries the massage don't make it a subject. By the way can you use appropriately "tashbia, tashtiti na tashhisi? Wengine tuko fiti hata kwenye fonimu, mofimu n.k

Katika taarifa ya kuibiwa, kuna silaha 2 pia ziliibwa na mojawapo ilikuwa ni SMG. Sasa nashindwa kuelewa ni vipi N/W atembee na SMG wakati alikuwa na silaha nyingine?
Halafu ana-sound arrogant maana katika utetezi wake anadai kuwa aliomba chumba ambachu huwa anafikia. Alijibiwa kuwa kile chumba kilikiuwa kimechukuliwa tayari. Yeye akaagiza huyo mtu atolewe ili yeye aingie. Yaani that's PURE ARROGANCE. Mtu atoe hela yake halafu ahamishwe chumba? Mmmh kweli mawaziri wetu wana dharau sana.

Back
Top Bottom