Mchungaji MTIKILA na wanaharakati kumfungulia mashitaka N/W Adamu Malima.

Katika taarifa ya kuibiwa, kuna silaha 2 pia ziliibwa na mojawapo ilikuwa ni SMG. Sasa nashindwa kuelewa ni vipi N/W atembee na SMG wakati alikuwa na silaha nyingine?
Halafu ana-sound arrogant maana katika utetezi wake anadai kuwa aliomba chumba ambachu huwa anafikia. Alijibiwa kuwa kile chumba kilikiuwa kimechukuliwa tayari. Yeye akaagiza huyo mtu atolewe ili yeye aingie. Yaani
:hand:that's PURE ARROGANCE. Mtu atoe hela yake halafu ahamishwe chumba? Mmmh kweli mawaziri wetu wana dharau sana.
The level of arrogance that this young men is portraying through his words, way he speaks and his body language qualify him for psychological treatment. I wonder what it takes to put up with him like a son,brother,husband,coligue etc..on top of that he is a religious fanatic. Anyway that weakness of his has landed him high up in politics of this country. Deputy minister of a sensitive ministry.Shame.

Wakuu hapa Mtikila anataka kuonekana kwenye magazeti tu maana tulishaanza kumsahau. Mbona asimshitaki Ngeleja ambaye kila siku analitia hasara taifa kwa mikataba mipya ya gesi na mafuta na mpango wa dharula wa umeme na wala hajajiuzulu. Mbona asimshitaki Mh.Pinda aliyeruhusu mgomo wa MaDr uendelee eti anasubiri kuona matokeo?
Nchi hii kama ukiamua kuwashitaki wanasiasa unaweza kuwashitaki serikali nzima mpaka pale magogoni

Huoni Haya...Kwani kuna ulazima gani yy kutembea na mali nyingi za Serikali..Hii ni Kashfa..Kama angekuwa Kagame, kazi hana..Hatuitaji usanii wa namna hii.Halafu kwa level yake, ofisi inafanya booking then hotel ina invoice.Sasa hoja eti anaweza kupangiwa safari ya nje ghafla ndo mana kabeba dola, haina logic.Kwani lazima uende (Katibu mkuu, mkurugenzi yuko wapi-hawezi kumwakilisha), nijuavyo mie, Kiongozi yeyote ana ratiba ya safari zake kwa mwezi mzima, ss iweje awe na safari za kushtukiza?There is no logic utembee na mali zenye thamani zote hizo.Sie ndio mwajiri wake, lazima awe na uchungu na aheshimu kodi zetu.

As a leader "YOU NEED THE PINCH OF TAX PAYER RESOURCES"

unajua watanzania ni watu wa ajabu sana malima kaibiwa kiasi gani cha pesa, kama $4000,mbona ni ela za kawaida kabisa mtu kutmbea nazo,sema labda issue ni silaha, na kama anazimiliki kihalali apo amna kesi, akuna sheria anayomzia mtu asitembee na silaha kama anaimiliki kihalali

Teh teh siku ya kifo cha nyani miti yote huteleza mh Malima kubali yaishe CD kakuingiza mjini
Huu ndio ukweli halisi, kapata changu mjanja kamlewesha kakomba alivyoweza! Uliona/kusikia wapi mwizi akaingia mahali akakuta silaha afu akaziacha na kuiba simu?..hahaha.

Malima kajidhalilisha sana jamani angekuwa na akili japo kidogo tu angepiga kimya afe na tai yake shingoni.. Alivyo kilaza amethubutu kuutangazia umma eti kaibiwa na wezi lol.. Aseme vizuri jamani!

unajua watanzania ni watu wa ajabu sana malima kaibiwa kiasi gani cha pesa, kama $4000,mbona ni ela za kawaida kabisa mtu kutmbea nazo,sema labda issue ni silaha, na kama anazimiliki kihalali apo amna kesi, akuna sheria anayomzia mtu asitembee na silaha kama anaimiliki kihalali
Na kwa taarifa yako hakuna mwizi angeacha hizo silaha!....

Nahisi ni demu amemkomba huyu jamaa, maana huo muda wa saa nne mwizi kuvunja dirisha si rahisi. Nahisi waziri alikuwa na demu ameamka saa nne kakuta amekombwa hivyo vitu na ndio maana kaachiwa silaa tu.

I appreciate the command of English and Kiswahili that RADHIA SWEETY has shown. Let her be...language is just a vehicle which carries the massage don't make it a subject. By the way can you use appropriately "tashbia, tashtiti na tashhisi? Wengine tuko fiti hata kwenye fonimu, mofimu n.k

Guys, if you can't speak or write in english, pls, dont. This is not english at all. A language can't carry MASSAGE.

DAH JK anakazi kubwa na hii nchi nina waswas anapoteua mawaziri hapat ushauru kuhusu personal history na attitude za hawa viongozi wake. haiingii akilini eti anatembea na vijisent vyote kwa dharura ya kusafiri kwani nchi hii kuna international Airport ngap kma kusafiri si lazma arudi Dar au MORO wanao uwanja. hizi pesa zilikua kwa ajili ya totoz tu

Mimi nina maswali matatu tu kwa yeyote anayejua.
1. Hivi Tanzania tunaviwanja vya ndege vingapi vya kimataifa na kati ya hivyo Morogoro vipo vingapi?
2. Hivi kwenda Ethiopia (kwa mfano) au nchi zingine mawziri wanakoendaga hakuhitaji visa au kuna utaratibu gani mwingine wa kupata Visa nchi hii zaidi ya ule wa kawaida tuliouzoea?
3. Ni mkoa gani mwingine Tanganyika yetu hii ukiondoa Dar es Salaam kuna ubalozi wa nchi za nje?

Ukipata majibu ya maswali haya ndio utajua yule ni kiongozi wa umma au ni white elephant
he is the damn liar!

tusimlaumu inawezekana wakat anatoa hyo taarfa alipatwa na ugonjwa hatar sana kichwani unaoitwa 'JUSSA'....

Malima hakusema ile silaha kubwa ilikuwa ya aina gani, kasema tu ni muhimu kwake kwa kujilinda. Hivi nami nahitaji kufuata taratibu gani kupata AK 47 kwa kujilinda? Anayefahamu anijulishe tafadhali.

Ongeza na hii:
"Mimi hapa hotelini huwa nina chumba changu ambacho nafikia siku zote; wakaniambia kuna mtu mwingine leo kafikia humo, nikawaambia wamwambie atoke!..ila basi kumbe alikuwemo ndugu yangu Mdoe, basi ikabidi nilale chumba cha chini; ni huyu ndugu yangu Mdoe ndiye kaniponza"...Hii imekaaje!??

Mtikila is a kind of an ambulance chaser and it is not surprising seeing him chasing after this one. It is same Mtikila who scorned Chadema's approach to writing of the new Constitution yet some of Magwand.a members will here heap praise on him for his decision to open a case against CCM's Malima. Knowing that his popularity is already down the toilet, the third-rate politician is attempting but unsuccessfully to be back in the newspapers.
I always read your posts but I have never observed your attention towards adressing the issues on table!!Only attacking personalities., anyway how can you disrespect Mtikila?? can you compare yourself with him?? never!! you are just a mere drop in the ocean, if you are pro ccm it is you contitutional right to exercise but focus on issues not on persons,.how dare you defend corrupt and prostitutes who use our resources to play their dirty games,.I dont want to believe that you are one of them, but your reaction towards isssues related to graft and corruption raise an alarm in my head!!

Back
Top Bottom