Mchungaji MTIKILA na wanaharakati kumfungulia mashitaka N/W Adamu Malima.

Mudada ya mujini ni noma! Anahitaji somo la kula 'changu'
(1) asikujue wewe ni nani (jina/cheo)
(2) asijue unakolala (acha huko laptop, simu, switch ya gari, wallet, pete, saa) - unamla kwingine then unarudi kulala kwingine
(3) usimzoee, asikuzoee (unamlipa then kila mtu na lake)
(4) usitumie condom (unanunua pipi then unaila ndani ya ganda - ujinga!)
(5) usimwamini hata siku moja kwa lolote kwa chochote!
 
Hivi ni sehemu gani ya nchi hii bidhaa haziuzwi kwa hela ya madafu mpaka uwe na USD! Tukisema kwamba hizo USD alikuwa amehongwa na "Mwekezaji" fulani ili mambo yake yawe safi, tutakuwa tunakosea? Zichunguzwe hizo USD alikozipata ambazo hakuweza kuziweka bank kwa muda huo mpaka zinaibiwa, ndipo mtajua madudu ya viongozi wa Magamba. Kama kwa Kagame, jamaa saa hizi angekuwa ndani ananyea mtondoo.
 
Mtikila is a kind of an ambulance chaser and it is not surprising seeing him chasing after this one. It is same Mtikila who scorned Chadema's approach to writing of the new Constitution yet some of Magwand.a members will here heap praise on him for his decision to open a case against CCM's Malima. Knowing that his popularity is already down the toilet, the third-rate politician is attempting but unsuccessfully to be back in the newspapers.

Mh! Kumbe Radhia Sweet ni Dume! LoL
 
sikua na jua kwamba jamaa aliibiwa fedha nyingi kiasi hiki! inamaana waziri hajui matumizi ya benki? atatushawishije kuwa fedha hizo hazikuwa za rushwa ndo maana hazikupita bank
 
Kuna jamaa ananinong`oneza kuwa shehe Yahaya hayupo.Jamaa atapataje pete zingine...Na kabaraza kanaweza vunjwa na Mr JK
 
Kauli hiyo aliitoa huku akijua kabisa idadi kubwa ya wanahabari wetu (hasa wa tv) ni makasuku, hawachunguzi ila wanaambiwa waseme nn.

Tuna kazi kubwa na ni bahati nzuri JK anajionea mwenyewe watu anaokaa nao jikoni na sebuleni
 
mh, mimi ninachokiona katika kauli ya mh. waziri ni kwamba alikua katika hali ya kuhamaki kwamba si rahisi kwa mtu ambae anajishughulisha na mambo ya wizi kuingia kwa mtu kuiba halafu anaikuta silaha anaiacha!! kwa kweli utaungana na mh. waziri kwamba kwa mwizi tena ambae amefikia hadi hatua ya kumuibia waziri ambae kwa nchi kama zetu ni mtu mkubwa haipingiki, kuwa na silaha ni mtaji.........ni hayo tu!!!
 
Kwa hili Mtikila akijipanga vizuri lazima awe kwenye FRONT PAGE.
Karibu ningemsahau kama yupo huyu mzee wetu.
 
Huyu kama changudoa kampa majamboz hadi kapigwa vitu vyote hivyo je dawa ya penzi kweli ametumia???
ANGALIZO: akapime ngoma asije akaua mke.
 
Back
Top Bottom