Mchungaji aliyepigwa Kigoma kisa Kamchape ulikuwa wakati sahihi kuonesha nguvu za Mungu sio kupiga simu Polisi

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Mar 24, 2018
21,340
51,891
Kwema Wakuu!

Tukio la kupigwa kwa mchungaji na wanakijiji kisa Watoa uchawi maarufu kama Kamchape limezidi kudhihirisha dini na uchawi kwa sehemu kubwa ni utapeli.

Hakukuwa na sababu ya Mchungaji kuwazuia hao waganga kuja kutoa Uchawi. Zaidi hakukuwa na sababu hata moja ya kupiga simu polisi. Nguvu za kiroho hazipelekani Polisi.

Ilikuwa ni ishu ya Mchungaji kuonyesha nguvu za Mungu (miungu) anayoiamini na kuwahubiria watu kila siku. Mchungaji kama mwakilishi wa mungu wake katika eneo hilo alipaswa afanye jambo ambalo lingekuwa ushuhuda mzuri kwa haohao Kamchape na wasioamini katika imani na mungu wake.

Ilikuwa ni ishu ya kumuuliza mganga kuwa anafanya mambo hayo kwa Mamlaka ipi(mungu yupi) kisha aombe waonyeshane uwezo. Kwamba yupi ni mwenye nguvu.

Watu wa Kigoma wanayohaki ya kuamini mambo ya Uganga kwa sababu huenda ndio wenye nguvu na ndio unaowasaidia. Huwezi kumwambia mchungaji ambaye hakusaidii chochote. Yeye kila siku anadai anamtumikia mungu lakini nguvu za huyo mungu wake hajawahi kuzidhihirisha.

Mchungaji au Kuhani au nabii hawezi peleka mashtaka serikalini. Kama ilivyo Mganga, mchawi, mlozi hawa hawawezi peleka mashtaka Polisi au mahakamani. Wakati wanatumikia falme za kiroho.

Kitendo cha mchungaji wako au mganga wako kupeleka mashtaka mahakamani au polisi ni udhihirisho wa wazi kuwa huyo Mungu (miungu) yake haina nguvu.

Ukimkosea mchawi yeye atadili na wewe kichawi na shtaka lake atapeleka uchawini kama akikushindwa. Manabii, Makuhani, mitume ukiwakosea ni aidha wadili na wewe kwa uwezo wao au wakushtaki kwa miungu yao. Ili uhenyeshwe.

Serikali za kidunia ndio hupeleka mashtaka kwa miungu ikiwemo waganga na wachawi, au miungu lakini ukiona miungu inahitaji msaada wa serikali jua hapo kuna utapeli Mkubwa. Watu wanafanyiwa ulaghai.

Karibuni.
 
Huyo mganga angepata adhabu kubwa sana kama huyo mchungaji angeomba usaidizi kwa Mungu. Angeweza kushusha moto ukamuangamiza huyo mganga na wafuasi wake.
 
Unaposema hivyo ukumbuke mwaka jana Yesu naye alikwepa kusulubiwa akakimbilia polisi hapo Kenya
 
Wachungaji gani? hawa, mataperi, wazinzi, wezi na washirikina?...
Watakuja juu lakini ukweli utabaki ukweli

SmartSelect_20240315_211439_Samsung Internet.jpg
 
Huyo mganga ni mvamizi kwa mchungaji kwa hiyo ni lazima afikishe uvamizi huo polisi. Mambo mengine si ya kiimani na hufikishwa serikalini kuamuliwa

Jambo la kiimani kufikishwa serikalini huoni walakini?
Ila jambo la serikali kupelekwa kwenye mizimu, madhabahuni, vilingeni ni ishu ya kawaida
 
Huyo mchungaji anatumia nguvu za Giza kuvuta waumini thus aliogopa kuumbuka.
Kama alikuwa safi ilitakiwa aache nguvu zipimimane
 
Mtumishi unachanganya mambo,kapeleka police jinai yaani shambulio na sio ishu za kiroho,KAZI ya police ni kuhakikisha usalama na amani .
Kesi pale sio ishu ya kiroho
 
Kwema Wakuu!

Tukio la kupigwa kwa mchungaji na wanakijiji kisa Watoa uchawi maarufu kama Kamchape limezidi kudhihirisha dini na uchawi kwa sehemu kubwa ni utapeli.

Hakukuwa na sababu ya Mchungaji kuwazuia hao waganga kuja kutoa Uchawi. Zaidi hakukuwa na sababu hata moja ya kupiga simu polisi. Nguvu za kiroho hazipelekani Polisi.

Ilikuwa ni ishu ya Mchungaji kuonyesha nguvu za Mungu (miungu) anayoiamini na kuwahubiria watu kila siku. Mchungaji kama mwakilishi wa mungu wake katika eneo hilo alipaswa afanye jambo ambalo lingekuwa ushuhuda mzuri kwa haohao Kamchape na wasioamini katika imani na mungu wake.

Ilikuwa ni ishu ya kumuuliza mganga kuwa anafanya mambo hayo kwa Mamlaka ipi(mungu yupi) kisha aombe waonyeshane uwezo. Kwamba yupi ni mwenye nguvu.

Watu wa Kigoma wanayohaki ya kuamini mambo ya Uganga kwa sababu huenda ndio wenye nguvu na ndio unaowasaidia. Huwezi kumwambia mchungaji ambaye hakusaidii chochote. Yeye kila siku anadai anamtumikia mungu lakini nguvu za huyo mungu wake hajawahi kuzidhihirisha.

Mchungaji au Kuhani au nabii hawezi peleka mashtaka serikalini. Kama ilivyo Mganga, mchawi, mlozi hawa hawawezi peleka mashtaka Polisi au mahakamani. Wakati wanatumikia falme za kiroho.

Kitendo cha mchungaji wako au mganga wako kupeleka mashtaka mahakamani au polisi ni udhihirisho wa wazi kuwa huyo Mungu (miungu) yake haina nguvu.

Ukimkosea mchawi yeye atadili na wewe kichawi na shtaka lake atapeleka uchawini kama akikushindwa. Manabii, Makuhani, mitume ukiwakosea ni aidha wadili na wewe kwa uwezo wao au wakushtaki kwa miungu yao. Ili uhenyeshwe.

Serikali za kidunia ndio hupeleka mashtaka kwa miungu ikiwemo waganga na wachawi, au miungu lakini ukiona miungu inahitaji msaada wa serikali jua hapo kuna utapeli Mkubwa. Watu wanafanyiwa ulaghai.

Karibuni.
Mchungaji alijibu mapigo kutokana na kina kamchape walivyoenda. Walienda ''physically'' kutaka kumdhuru kwa kutumia kipigo, hivyo mchungaji ni lazima ajitetee kwa kuzuia kipigo kwa njia ya polisi. Kina kamchape wangekuwa wametumia ''nguvu za kiganga'' kutaka kumdhuru mchungaji basi naye angejibu kwa kutumia ''nguvu za miujiza''. Ninachotaka kusema hapa ni kuwa nguvu za kiganga/kichawi hujibiwa kwa nguvu za kiimani/ki-Mungu, na nguvu za kutumia kipigo hujibiwa kwa nguvu za kuzuia kipigo.
 
Kisa cha Eliya na Jezebel unakijua mkuu?
 
Alitakiwa aombe moto ushuke kutoka mbinguni uwaangamize kama alivyofanya Eliya Mtishbi
Kuna vitu majibu yake hutokea baadaye .Sio lazima hapo hapo

Mfano Yesu alihukumiwa na Warumi kupitia Ponsio Pilato
Na Askari wa Dola ya Kirumi si.kuwa tu walimpiga kipigo Cha nguvu Yesu Bali waliua kabisa
Yesu hakuita moto ushuke uwameze askari wa Kirumi

Wakati ule ,Yesu anasulibiwa Dola ya Kirumi ndio ilikuwa inatawala Dunia nzima Warumi wakitawala Bara lote la Ulaya na Asia huko

Kisasi kilikuja baadaye Sasa hivi hakuna Taifa kubwa lenye nguvu la Dola ya Kirumi .Italia palipokuwa makao makuu ya Dola ya Kirumi Italia Haina nguvu Tena ya kijeshi Wala Nini ipo ipo tu

Moto kushuka sio lazima wakati huo huo mwingine hufuata baadaye na huo Huwa mkali hasa.Mfano Yuda Iskariote alimsaliti Yesu na Yesu akamwambia wewe Yuda utanisalituli.Wala hakuita moto umtafune akamsaliti kweli moto ulimfuata Yuda baadaye ukakatisha uhai wake

Hiyo inaitwa kisasi ni Cha Bwana

Huyo mchungaji kapigwa sana,kachomewa Mali zake Mleta mada usimdhihaki Huwa Kuna moto huja nyuma baada ya tukio la mtu wa Mungu kuonewa na kulba walioonea na washabiki wa kuonewa Kwake utakukuta na wewe shauri Yako.Yeye mchungaji hajaita motokamwachia Mungu ndiye alipe kisasi kwani kisasi ni Cha Mungu..Mleta mada unajiingiza kwenye 18 za kisasi Cha Mungu utakiona live kikifanyoka kwako bila chenga na ndipo utajua kuwa kukrbehi watu wa Mungu wanapoonewa iwe na kamchape au yeyote ni hatari Kwa anayekebehi

Kisasi Cha Mungu na kiwr juu Yako Kwa Jina la Yesu

Mungu atakapokuwa akimwaga gadhabu yake Kwa hao kamchape asikusahau na wewe Kwa Jina Yesu
 
Kuna vitu majibu yake hutokea baadaye .Sio lazima hapo hapo

Mfano Yesu alihukumiwa na Warumi kupitia Ponsio Pilato
Na Askari wa Dola ya Kirumi si.kuwa tu walimpiga kipigo Cha nguvu Yesu Bali waliua kabisa
Yesu hakuita moto ushuke uwameze askari wa Kirumi

Wakati ule ,Yesu anasulibiwa Dola ya Kirumi ndio ilikuwa inatawala Dunia nzima Warumi wakitawala Bara lote la Ulaya na Asia huko

Kisasi kilikuja baadaye Sasa hivi hakuna Taifa kubwa lenye nguvu la Dola ya Kirumi .Italia palipokuwa makao makuu ya Dola ya Kirumi Italia Haina nguvu Tena ya kijeshi Wala Nini ipo ipo tu

Moto kushuka sio lazima wakati huo huo mwingine hufuata baadaye na huo Huwa mkali hasa.Mfano Yuda Iskariote alimsaliti Yesu na Yesu akamwambia wewe Yuda utanisalituli.Wsla hakuita moto umtafune akamsaliti kweli moto ulimfuata Yuda baadaye ukakatisha uhai wake

Hiyo inaitwa kisasi ni Cha Bwana

Huyo mchungaji kapigwa sana,kachomewa Mali zake Mleta mada usimdhihaki Huwa Kuna moto huja nyuma baada ya tukio la mtu wa Mungu kuonewa na kulba walioonea na washabiki wa kuonewa Kwake utakukuta na wewe shauri Yako.Yeye mchungaji hajaita motokamwachia Mungu ndiye alipe kisasi kwani kisasi ni Cha Mungu..Mleta mada unajiingiza kwenye 18 za kisasi Cha Mungu utakiona live kikifanyoka kwako bila chenga na ndipo utajua kuwa kukrbehi watu wa Mungu wanapoonewa iwe na kamchape au yeyote ni hatari Kwa anayekebehi

Kisasi Cha Mungu na kiwr juu Yako Kwa Jina la Yesu

Mungu atakapokuwa akimwaga gadhabu yake Kwa hao kamchape asikusahau na wewe Kwa Jina Yesu

Dola la rumi bado linatawala dunia kupitia Roma.
 
Alitakiwa aombe moto ushuke kutoka mbinguni uwaangamize kama alivyofanya Eliya Mtishbi
Hilo Yesu alishalikataa, wanafunzi wa Yesu walipomuuliza tuite moto kama Eliya....Yesu akawaonya akawaambia hamjui ni roho wa namna gani mliyenaye
 
Hamsomi biblia inafundisha Nini nendeni mkaangalie hata muvi ya yesu alipokutana na shetani

Back
Top Bottom