Mchumba wangu ni mzuri sana

Jiamini kaka, wazuri wengi wapo wametulia kwenye ndoa zao, inaonekama unashindwa kujiamini wewe
 
duh! Nimewaelewa waungwana. Ni kweli uzuri ni machoni pa mtu lakini kuna glowing beauty. Anyway I just wanted to share with great thinkers, kwa yeyote aliye au anaye experience kama navyojisikia nitashukuru kunipa supportive advice.
Kuhusu show off au mr. Handsome, hakuna umuhimu wa mimi kushow off tena kwa post. Nimeshare na watu ninaowaamini.

Jiamini u r the only one to her
Wala usipoteze au kujipa presha bure kuwa kuna watu wanamtanani
Wewe kama anakupenda ni wewe onyesha upendo wa dhati kwake na amini u r the only man to her
Hayo mengini ni presha tupu
 
WanaJF hii kitu inaniumiza kidogo kidogo ingawa navumilia. Mpenzi wangu ambaye nimekaa nae miaka mitatu ni mzuri mno kwa sura mpaka naogopa. Ana kama mvuto fulani na kama kawaida wanaume kutongoza lazima.
Nimejitahidi kujifanya sina wivu lakini wapi. Tutaoana soon Mungu akijaalia na ananipenda sana.
Waungwana nisaidieni, naumia kimoyo moyo.

....sasa kinachokuumiza ni huo uzuri wake au huko kutongozwa?
 
WanaJF hii kitu inaniumiza kidogo kidogo ingawa navumilia. Mpenzi wangu ambaye nimekaa nae miaka mitatu ni mzuri mno kwa sura mpaka naogopa. Ana kama mvuto fulani na kama kawaida wanaume kutongoza lazima.
Nimejitahidi kujifanya sina wivu lakini wapi. Tutaoana soon Mungu akijaalia na ananipenda sana.
Waungwana nisaidieni, naumia kimoyo moyo.

Mkuu ..naogopa kukushauri..lakini Anyway..I will give it a shot..

Mimi binafsi naona unakosea sana kujenga akili yako kama unampenda mpenzi wako kwa sababu ya uzuri wa sura.. May be I am wrong..lakini... kama utaendelea kujenga hiyo dhana na akili yako.. ni rahisi hiyo akili yako hapo baadaye kukusaliti kwani ipo siku itakupa comparison na mwingine na kutoa maksi nyingi kwa huyo mwingine wa mtaani..ukiingia kwenye huo mtego umekwisha..

Kumbuka sura, maumbile na miili yetu inabadilika kwa muda mfupi.. maisha ya ndoa yana kupanda na kushuka....sasa ndugu yangu ukipenda sura ..halafu ukafika siku ile ambayo maisha yameshuka kwa ka-bump ndogo..hutakawia kuona changudoa ni mzuri..Ushauri wangu.. mpende huyo binti kwa vyote..tafuta na invent chochote..sauti, figure, akili, yaani changanya vyote..ili hapo baadaye kimoja kikipungua na ..kingine kinafidia..gap..
 
Sasa siutafute mbaya ukae kwa amani kama huyo hakupi amani? Mwanaume halafu unakuwa hujiamini
 
WanaJF hii kitu inaniumiza kidogo kidogo ingawa navumilia. Mpenzi wangu ambaye nimekaa nae miaka mitatu ni mzuri mno kwa sura mpaka naogopa. Ana kama mvuto fulani na kama kawaida wanaume kutongoza lazima.
Nimejitahidi kujifanya sina wivu lakini wapi. Tutaoana soon Mungu akijaalia na ananipenda sana.
Waungwana nisaidieni, naumia kimoyo moyo.

Kwanza we una umri gani????? maana unayoyaandika inaonyesha aidha umri umeenda zaidi au ni mtoto kabisa?
 
Kila mtu ni mzuri kwa mpenzi wake.
Bibi kidude pia mzuri kwa mmewe.
 
jaman jaman jaman sasa katika hili usaidiwe nini?
wakusaidieK ukukodishia komesha security wamlinde?
wakusaidie kwa kukuambia achana nae?
AU KAKA UMELETA TAARIFA TU TUJUE MCHUMBA AKO NI MZURI..UONEKANE UMEOPOA NAWEWE?

CZ SJAONA SHDA YEYOTE KATKA ILO

wengne ohh mimi handsma demu wako anaogopa braaaabra ....
wengne ohh demu wangu mzuri sana......ana mvuto....ivi nan ana demu asiyekuwa na mvuto/mzuri?

unachokiona kwako kizuri/kinavutia ..si lazima kiwe ivo kwa wote..
..labda.wenzako wanaulizana ahh uyu nae kafata nini kwa uyu demu..mbona mbaya ivi?mvuto nehii...

ANYWAYS HONGERA KWA KUOPOA ..KITU CHENYE MVUTO KM SUNSHINE....

mwambie amuache...
 
Mbona mnamjibu Tigga Mumba kama mwanaume?
Mi TM naemjua ni mdada jasiri mno aliishi kama MKIMBIZI na kama cjakosea aliolewa na John Vata! Anyway... Labda ni majina tu yamefanana!
 
Jamani ila kuna wanawake/wanaume ni wazuri hata kama kuna usemi uzuri ni subjective. Kuna watu kila mtu anakubali kuwa wana mvuto unakuta ni msichana akipita hata wasichana wenzie lazima wageuke. Wapo watu wa hivyo ila ni wachache kwa hiyo mtoa mada ana haki ya kusema wife to be ni mzuri.

Ushauri wangu ni kuwa kama tabia yake ni nzuri kama yeye mwenyewe usitie shaka; ila kama ni mapepe jua hata ukimtia hiyo mimba akishazaa ataendelea kugawa. Maana in most cases hao wanawake/wanaume wazuri kupitiliza utulivu unakuwa zerooo. Ila kama umebahatika kukutana na mtulivu usitie shaka.

Nina uncle wangu alioa mke mwenye uzuri wa hajabu yani alikuwa ni gumzo la mtaa. Afu ana roho nzuri ambayo sijawahi kuona. But alikuja kufa kwenye MV bukoba kila mtu aliamini usemi kuwa vizuri havidumu (but am not saying kuwa wazuri watakufa ila nasema kuna wazuri ambao na tabia zao ni nzuri pia).
 
duh! Nimewaelewa waungwana. Ni kweli uzuri ni machoni pa mtu lakini kuna glowing beauty. Anyway I just wanted to share with great thinkers, kwa yeyote aliye au anaye experience kama navyojisikia nitashukuru kunipa supportive advice.
Kuhusu show off au mr. Handsome, hakuna umuhimu wa mimi kushow off tena kwa post. Nimeshare na watu ninaowaamini.

Take it easy as long as she is yours, na umesema mwenyewe anakupenda sana! Maelezo yako yanaonyesha uko INSECURE...Yaani unaona kama vile you don't deserve her kitu ambacho ni kibaya sana endapo atagundua. Anaweza kukunyanyasa sana kisaikolojia. Jiamini na mambo yatakuwa sawa tu!
 
Tigga Mumba unaposema mpenzi wako ni mzuri unamlinganisha na nani ? inawezekana kabisa mimi nikamwona mbaya,kuna dada wanamwita Fideline ye anadai ni mwana mitindo mi namwona mbaya sana lakini kuna watu mjini wanakwambia hamna mzuri kama yeye,nadhani hapo umenielewa.
 
.....Ila mkuu kuna wanawake ambao wako generally accepted kwamba ni wazuri, mfano wa akina Kim Kardashian au yule mtawala wa Misri - Cleopatra. Ukisimama kukana kwamba si mzuri watu wanaweza kukushangaa mkuu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom