Mchumba wangu anashida pindi anapokutana na jambo gumu katika mawazo(stress) huzimia

Jolvin J Lug

New Member
Jun 1, 2019
2
1
Habari za majukumu na JF.

Nina mpenzi wangu ambae nampenda pia nae ananipenda. Na tumekua na mahusiano yaliyodumi kwa muda wa mwaka mmoja Mara kadhaa ameniomba nimpelekee moto nimekua nikimzungusha kwa sababu mi nimuathithika wa Virus vya Ukimwi na yeye anajua.

Hatimae siku moja nikafanya nae mapenzi na bila kutumia kondomu kwa sababu yeye mwenyew alikataa kabisa akidai hatafaidi na sababu nyingi.

Basi baada ya tendo la ndoa nlienda CTC nakumubea dawa za kumzuia asipate na maambukizi pamoja na mimba. Sasa na anaendelea kutumia dawa. Yeye anadai tarehe zake hedhi zimepita haoni Siku zake.

Je nifanyaje ukizingatia na tatizo alilonalo na sio tamanio lake kua na ujauzito sababu bado anaishi na wazazi
 
sasa tatizo la kizimia mbona silioniii naona mambo ya kumpelekea motooo tuuu
 
Back
Top Bottom