Mch Gwajima atoa "comments" zake juu ya Baraza la Mawaziri

TAMKO

JF-Expert Member
Oct 11, 2011
1,090
762
Akiongea machache kanisani kwake leo hii kwenye maombi ya kumwombea raisi na nchi mpya katika ibaada iliyofurika watu mbalimbali wakiwemo baadhi ya mawaziri au wawakikishi wao na baadhi ya wabunge walioenda kupata baraka za maombi mch Gwajima alisema.

"Ni kweli mikono ni ile ile, miguu ni ile ile na vidole ni vile vile lakini ikumbukwe kichwa ni tofauti. Ufanisi wa uwezo wa viungo vya mwili unategemea kichwa kilichopo."

Akaongeza pia

"Mabehewa yanaweza kuwa yale yale na Reli ile ile lakini kichwa cha Treni ni kipya. Speed ya mabehewa inategemea uwezo wa kichwa"

"Tumsuport Rais kwa KAZI yake nzuri, ni mapema kulaumu na kushutumu, maendeleo hayaji kwa kubweteka na kulaumu. Kila mtu afanye kazi halali kwa bidii sana. Serikali inayo jali raia wake ni rahisi kwa raia hao kufanikiwa . Asiye na shamba atafute shamba sasa na serikali iweke mazingira bora kwa wananchi wake"

Akaongeza pia

"Tumekuwa na marais wanne waliotutangulia ambao wote wamesoma fani ya "Arts" lakini sasa yupo Rais wa awamu ya Tano ambaye ni Mwanasayansi, mtaalamu wa kemia, anajua reaction na equation.. tumwombee afanye matarajio ya wananchi"
 
Tanzania kwanza. Serikali ikiwa makini itapendwa
 
Gwajima jamani hapendi ujinga mm nilimsikia akisema ktk mahubiri sijui ya lini ila alisema yy binafsi aliandamwa sana kwa kuwa alikuwa anaonya waziwazi sasa alipokuja magufuli nae ndio zaidi na pia akasema anamuombea magufuri kwa kasi hii hii awakomeshe waliozurumu taifa
 
Mzee wa chuga angalia sana maneno yako mkuu yule ni mtumishi wa Munguangalia sa uhalali wa maneno yako yule jamaa alikuwa haielewi serikali ileeeee....sasa rasilimali zipo kwann tuwe na maisha magumu hata hospitalini?

Asante kwa Gwajima kwa comments nzuri
 
Gwajima in Mchungaji asiependa unafki kwenye ukwel anasema na wakivurunda ataongea pia... hii ndo aina ya wachungaji tunaowataka sio wanaosema pokea nyumba cjui safar na kz huna
 
Akiongea machache kanisani kwake leo hii kwenye maombi ya kumwombea raisi na nchi mpya katika ibaada iliyofurika watu mbalimbali wakiwemo baadhi ya mawaziri au wawakikishi wao na baadhi ya wabunge walioenda kupata baraka za maombi mch Gwajima alisema.

"Ni kweli mikono ni ile ile, miguu ni ile ile na vidole ni vile vile lakini ikumbukwe kichwa ni tofauti. Ufanisi wa uwezo wa viungo vya mwili unategemea kichwa kilichopo."

Akaongeza pia

"Mabehewa yanaweza kuwa yale yale na Reli ile ile lakini kichwa cha Treni ni kipya. Speed ya mabehewa inategemea uwezo wa kichwa"

"Tumsuport Raisi kwa KAZI yake nzuri, ni mapema kulaumu na kushutumu, maendeleo hayaji kwa kubweteka na kulaumu. Kila mtu afanye kazi halali kwa bidii sana. Serikali inayo jali raia wake ni rahisi kwa raia hao kufanikiwa . Asiye na shamba atafute shamba sasa na serikali iweke mazingira bora kwa wananchi wake"

Hata Dokta ajue namna gani kuwa mgonjwa yuko hoi bado atanastahili kumfariji.
Vipi Mwakyembe atafungua kesi ya Richmond?.
Tupeanea sana matuimini-ila Baraza la mawaziri kiasi Jp imeshamtia doa!
 
Gwajima mkali.sana viongozi wote wanamnyenyekea na kujiharishia

Mmmhh!!!,jiangalie bhana,km ni mkali kwako sio kwa wote,kwani yeye ni nani am mpaka Viongozi wote wamnyenyekee na kujiharishia kwake???,Inaonyesha wewe una mtindio wa ubongo,Hivi Gwajima ni Mungu mtu au????.
 
Back
Top Bottom