Mbwa wa kizunguu weupe

Mimi nina mbwa wang ndoo amezaa mara yake ya kwanza sasa sema hataki kuwanyonyesha watoto wake anawalalia tu amezaa vitoto saba kala kimoja kingine kimekufa ...naombeni msaada wenu ili mbwa wangu awanyonyeshe watoto wake wasife

Mfunge kamba miguuni maana hamna jinsi
 
mlishe akishba funga mikono ,miguu na mdomo na kiuno sehemu lete watoto wanyonye usiwe mtu wa mchezo mchezo
 
Back
Top Bottom