Mbwa wa kizunguu weupe

gilbsonassan

Member
Jul 2, 2015
56
9
Mimi nina mbwa wang ndoo amezaa mara yake ya kwanza sasa sema hataki kuwanyonyesha watoto wake anawalalia tu amezaa vitoto saba kala kimoja kingine kimekufa ...naombeni msaada wenu ili mbwa wangu awanyonyeshe watoto wake wasife
 
1477031377407.jpg
 
kila siku nampa maziwa lita mbili lkn hataki kunyonyesha hali alikula kimoja ambacho kilikuwa kinaulemavu alivyokizaa mjombaa
 
mkuu mi nahsi labda hao watoto wake wanamng'ata mama yao kipindi cha kuwanyonyesha that's anaogopa kuwanyonyeshaa

ukiona imeshindikana tafuta ile ya kunyonyeshea watoto utumie kuweka maziwa then uwape
 
yaan kazaa tu alivyomaliza tu amewalalia watoto hata hawanyonyeshi mpka nimewapora watoto hao kwake
 
mkuu mi nahsi labda hao watoto wake wanamng'ata mama yao kipindi cha kuwanyonyesha that's anaogopa kuwanyonyeshaa

ukiona imeshindikana tafuta ile ya kunyonyeshea watoto utumie kuweka maziwa then uwape
lakin hali watoto ndoo uzuri wake
 
Ni uzao wake wa kwanza?
Kama ni uzao wake wa kwanza hiyo ni kawaida sana kwa wanyama wote ata binadamu. Uzao wa pili atanyonyesha mwenyewe.
Endelea kutumia hiyo njia mbadala kuwalisha hao watoto.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom