Mbwa wa kizunguu weupe

Kama kuna mtaalam wa mifugo karibu na ulipo kamueleze usipate tabu sana. Kama ni maziwa hayatoki amchome hormone inayohusika na kutoa maziwa (milk let down), kama yanatoka na hataki tu kuwanyonyesha basi hivyo vitoto vitakua vinamuumiza kila akijaribu kuvinyonyesha. Yote kwa yote lishe iimarishwe kwa mama na watoto. Natamani kujua uko wapi, mie niko Mbeya in case uko karibu na maeneo haya zungumza nijue nakusaidiaje.
 
Endelea kuwanywesha maziwa mwenyewe mara nyingi kwenye uzao wa kwanza mbwa anakuwa hana uzoefu mzuri wa kulea watoto wake, kama utawauza hao puppies nicheki pm tufanye biashara mkuu
 
wape maziwa kwa njia mbadala ila mwache alale nao il awape joto kipindi cha baribi kama anawalalia vibaya unaweza kuwatenga kwa kuwaweka kwenye boksi na uwawekee kitambaa safi wanapolala ili wasipate baridi mimi mbwa wangu German Shepherd mmoja ana tatizo kama hilo na akizaa tu uwa namtenganisha na watoto na inasaidia uwa hafi hata mmoja. Pia mwone daktari kwa ushauri zaidi
 
nimefanyia hivyo hivyo nimemtenga mbn
 
Kama kuna mtaalam wa mifugo karibu na ulipo kamueleze usipate tabu sana. Kama ni maziwa hayatoki amchome hormone inayohusika na kutoa maziwa (milk let down), kama yanatoka na hataki tu kuwanyonyesha basi hivyo vitoto vitakua vinamuumiza kila akijaribu kuvinyonyesha. Yote kwa yote lishe iimarishwe kwa mama na watoto. Natamani kujua uko wapi, mie niko Mbeya in case uko karibu na maeneo haya zungumza nijue nakusaidiaje.
nipo dsm mimi
 
nampa chakula kila saa lkn still badoo hanyonyeshi
Kila saa? Mbwa anakula kila saa? Mbwa anakula mara moja kwa siku yaani ukimlisha jioni akashiba ni mpaka kesho jioni tena. Ila hivi vipuppy vinakula mara tatu kwa siku na baada ya hapo utakuwa unavipunguzia kadri ya umri. Siyo mimi ni niliambiwa na Veterinary doctor
 
aha nishaelwa nitafanya ivyoo
 
wape maziwa kwa njia mbadala ila mwache alale nao il awape joto kipindi cha baribi kama anawalalia vibaya unaweza kuwatenga kwa kuwaweka kwenye boksi na uwawekee kitambaa safi wanapolala ili wasipate baridi mimi mbwa wangu German Shepherd mmoja ana tatizo kama hilo na akizaa tu uwa namtenganisha na watoto na inasaidia uwa hafi hata mmoja. Pia mwone daktari kwa ushauri zaidi
ww upo pand zip mkuu ...nimemwekea ameuwa viwili vikabaki vitatu ndoo sijamwekea tena sema vinaafya
 
je wakuu baadaa ya muda gani mbwa huyu atashika mimba maana kazaa trhe kumi na 18 mwezi huu mpka mida gani atashika mimba na kupandikiza ni inakuaje mbaya au sio mbaya na ni shilling ngpi kupandikiza kwa sindano awahi kushika mimba au kama ni mbaya awahi kuwa kwnye hit nifanyaje
 
naombeni msaada nataka nimpandikize na mbegu ya pitbul kwa sindano nitapata wap zinapouzwa msaada wenu plz wakuu
 
Swali lako litakuwa na maana ukiwauliza wazungu kwa sababu umesema mbwa wa kizungu hivyo uenda anawataka wazungu wenzie.
 
Back
Top Bottom