Mbwa bora kwa ajili ya ulinzi

Vieloon

JF-Expert Member
May 5, 2012
1,520
694
Jipatie mbwa bora kwa ulinzi wa mali na familia yako. Mbwa wetu wanapatia mafunzo maalumu ya utii na ukali tangu wakiwa wadogo, kuanzia umri wa miezi mitatu.

Tunazo aina bora kwa ulinzi:
1) Germany Shepherd
2)Rottweilers
3)Boerboel
4)Pitbulls

Pia tunatoa ushauri juu ya ufugaji bora wa mbwa, lishe na mafunzo.

Kwa maelezo zaidi na picha tembelea page yetu ya instagram: King_Dawgz
Simu: 255745791975
Barua pepe: kingsdwagz@gmail.com



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie kuweka bei hadi mtafutwe?

Au ndo yaleyale nikija nikakuuliza sh ngap wewe unanijibu kwani una sh ngap
Usiwe una kurupuka kuweka comment kila uzi, uwe unasoma kwnza unaelewa, kwa akili yako unafikiri kila tangazo lazima liwe na bei? Elewa kwnza lengo la tangazo ndo ukurupuke kukoment..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anazingua.....
Sinpendi mpwa ila Kuna hao wanaitwa American Pitpull wamejazia mikono Kama wanapiga chuma/gym Ni wanavutia na kutisha/ulinzi tosha kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu hapa
IMG-20190328-WA0022.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muhuni sana huyo anaweza akawatafuna nayama hata watoto aisee
Hah hah hapana mkuu, huyu mbwa kweli anajeuri kiasi na zaid sifa ya ujeuri inampata kutoka na mwonekano wake... Ila ni mbwa rafiki sana kwa watu, hasa ukimsocialize angali mdogo, Mbwa huyu ni kwa ajili ya dog fighting hivyo si adui mkubwa kwa watu km wengi wanavyofikiri. Japo akiamua ameamua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu natafuta Ruttweiler mdogo wa bei ya kawaida .... hata kama siyo pure nitashukuru
 
Hawa Majahili sasa si wanawapa Mbwa sumu na kuwaua.

Mnanihakikishiaje kwamba hilo halitonikuta kwa Mbwa wangu?
 
Back
Top Bottom