Mbwa gani mzuri wa kisasa kwa ajili ya ulinzi maeneo ya nyumbani?

Vp kuhusu Golden Retrive?
Golden kwa ulinzi Hapana. Hawa mbwa wanapenda kujichanganya na watu sana. Yaani wanapenda urafiki na watu.
Kama unataka mbwa wa kuiangalia familia yako kama wazungu wanavyofanyaga, acheze na watoto, awaangalie watoto wasiumie nk basi golden ni mzuri na hapo uhakikishe umemtrain tangu kakiwa kadogo maana wana sifa ya kutokuelewa haraka mafunzo halafu wanadeka
 
MBWA ASHAMBULIA WALEZI WAKE: SOMA HAPA
Habari za Asubuhi Team. Usiku wa kuamkia leo Tarehe 8/1/2024 majira ya saa Nne usiku Familia ya Ndugu yetu Nicholaus Kunju ilishambuliwa na Mbwa na kuisababishia madhara Kwenye sehemu mbalimbali za miili yao,walio shambuliwa ni Mke wake pamoa na watoto.Walikuwa Mbwa wawili aina ya Bull dog ambao anawafuga kwa ajili ya ulinzi nyumani kwake Usagara,Mbwa hao walimshambulia binti yake wakati ametoka nje usiku huo wa saa Nne akiwa amesindikizwa na kaka yake mara baada ya uvamizi huo kijana mwingine na mama yao walitoka kutoa msaada la
kini Mbwa hawakuwatii na kuwashambulia wote,wote walioshambuliwa na Mbwa sio wageni kwa Mbwa hao kwani wamekuwa wakiwahudumia kwa chakula.baada Familia huo kujinusuru na kukimbilia ndani Mbwa waliendelea kuwa wakali na hapakuwa na uwezekano wa kuwapatia huduma majeruhi kwani hakuna alieweza kuingia wala kutoka ndani ya uzio.Wakati haya yanatokea Kunju alikuwa kazini zamu ya usiku na alipigiwa simu kujulishwa juu ya tukio huku na kuambiwa mmoja wa majeruhi ana hali mbaya,Tulibahatika
 
Mkuu usifuge kabisa mbwa, mimbwa yenyewe siku hizi sijui inavuta bangi, haichelewi kukushambulia hata wewe mwenyewe.
Jitahidi umiliki cha MOTO kama uwezo upo na systems nyingine za usalama.

Ikishindikana fuga tu german shepherd, ila umakini uwe mkubwa pia uwe na cha moto siku akizingua unamtwanga ya kichwa.
 
Hamna kitu hapo, huyo ni mbwa wa urembo tu..na companion.Kama ni ulinzi -Germany Shephard...(anza na huyu).Ukipiga hatua kiuzoefu..chukua Rotweiler, zaidi Pitbul...

Kama uko nje ya mji una shamba kubwa mifugo, space ya kutosha....Kangal (ingawa nahisi sio wengi Tz).
Pitbull jiandae kisaikolojia kukugeuka hata mmiliki wake. Ni wa hovyo sana GS ndio mbwa wa kuishi nae. Kule Mwanza walishambulia familia, marehemu Mzee Kingunge na walipita nae na akafariki.
 
MBWA ASHAMBULIA WALEZI WAKE: SOMA HAPA
Habari za Asubuhi Team. Usiku wa kuamkia leo Tarehe 8/1/2024 majira ya saa Nne usiku Familia ya Ndugu yetu Nicholaus Kunju ilishambuliwa na Mbwa na kuisababishia madhara Kwenye sehemu mbalimbali za miili yao,walio shambuliwa ni Mke wake pamoa na watoto.Walikuwa Mbwa wawili aina ya Bull dog ambao anawafuga kwa ajili ya ulinzi nyumani kwake Usagara,Mbwa hao walimshambulia binti yake wakati ametoka nje usiku huo wa saa Nne akiwa amesindikizwa na kaka yake mara baada ya uvamizi huo kijana mwingine na mama yao walitoka kutoa msaada la
View attachment 2867101kini Mbwa hawakuwatii na kuwashambulia wote,wote walioshambuliwa na Mbwa sio wageni kwa Mbwa hao kwani wamekuwa wakiwahudumia kwa chakula.baada Familia huo kujinusuru na kukimbilia ndani Mbwa waliendelea kuwa wakali na hapakuwa na uwezekano wa kuwapatia huduma majeruhi kwani hakuna alieweza kuingia wala kutoka ndani ya uzio.Wakati haya yanatokea Kunju alikuwa kazini zamu ya usiku na alipigiwa simu kujulishwa juu ya tukio huku na kuambiwa mmoja wa majeruhi ana hali mbaya,Tulibahatika
Hawa ni mbwa wa aina gani walioshambulia?
 
Hio mimbwa sio, RIP Kingunge
 
Hello ladies and Gentlemen?

Naombeni tushauriane ni mbwa gani mzuri wa kisasa kwa ajili ya ULINZI?

Nataka kufuga hapa nyumbani nishaurini nisije kujichanganya kwa Pitbul na wengineo.
Chukua huyu maana watanzania mnapenda sana mbwa kwa kuiga iga kwenye movie ! Huyu ni mzuri sana kama mmejiandaa kwa mazishi
 
Attachments

  • IMG_1229.jpeg
    IMG_1229.jpeg
    64.4 KB · Views: 5
Back
Top Bottom