Je, unajipenda wewe na ndugu zako? Usithubutu kufuga hizi jamii 25 za mbwa, ni HATARI SANA

TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

JF-Expert Member
Dec 1, 2010
5,720
10,216
Fikiri mara mbili kabla hujaamua kufuga mbwa hawa nyumbani kwako.

Airedale Terrier​

Airedale Terriers ni mbwa wanaopenda kujitegemea na kuwa huru. Ni mbwa wenye akili sana lakini ni wasumbufu mno.

Mbwa hawa wanajulikana kama Mfalme wa Uharibifu. Airedale Terriers wanapenda sana kucheza michezo kama vile kuchimba au kung'ata vitu mbalimbali ikiwemo magurudumu ya gari yako, kuchimba ukuta hadi wautoboe nk

Huyu mbwa ni mharibifu na hatari kwa usalama wa mali zako. Jiepushe naye.

1-1.jpg

Pia mbwa huyu hapendi kabisa kuchangamana na jamii nyingine za mbwa.

Rhodesian Ridgeback​

Huyu ni mbwa mwenye asili ya Afrika Kusini mji wa Rhodesian Ridgeback. Mbwa huyu mkubwa mwenye rangi iliyo katikati ya kahawia na wekundu anatumika sana kwa shughuli za uwindaji.
Kinachomfanya mbwa huyu kuwa maarufu hasa kipindi cha ubaguzi wa rangi, ni uwezo wake wa kutambua simba walipo na kupambana nao na kuwaweka salama mabwana mkubwa wake.

BeFunky-collage-4-5.jpg

Kiujumla mbwa huyu ni mkimya, hadi umchokoze ndipo anapoanzisha balaa la kibabe ambalo hamna awezaye kumzuia.

Mbwa huyu usipomfundisha vyema akiwa mdogo, nyumbani pako hapatakuwa salama kwa wageni, kwani kiasili hataki kabisa wageni.

Bergamasco Sheepdog​

Mbwa huyu mwenye manyoya mengi sana na marefu yenye kuziba hadi sura yake, huwa ana pua yenye kamasi nyingi sana zinazomchuruzika kila wakati kiasi cha kuchafua nyumba.

1-14.jpg

Tosa​

Michezo ya kupiganisha mbwa inafanyika sehemu mbalimbali duniani. Japan 🇯🇵 🗾 mchezo huu ni halali na jamii pekee inayotumika ni Tosa. Kwa kuwa asili ya mbwa huyu ni mapambo ya ulingoni ni hatari sana kumfuga nyumbani na ni marufuku kabisa kumfuga nyumbani kwa mujibu wa sheria za Japan.

BeFunky-collage-6-4.jpg

Caucasian Ovcharka​

Jibwa hili kubwa lenye asili ya nchini Georgia, the Caucasian Ovcharka ni jibwa mbavu nene hasa, lenye kimo kama Bujibuji Simba Nyamaume, ni miongoni mwa jamii kubwa za mbwa duniani.

Jibwa hili lisilo na pirika wala papara nyingi, hupenda uvivu na kutumia muda mwingi kulala, ila mgeni akiingia anakuwa kwenye utayari wa hali ya juu wa mapambano.

BeFunky-collage-7-4.jpg

Mbwa huyu hataki kabisa wageni na atafanya kila awezalo ili amdhuru.

Ila mbwa huyu ni mpole sana na ni mwenye upendo sana kwa watu wake wa karibu.

Shar-Pei​

Shar-Pei ana asili ya China ya kale. Walikuwepo China tangu zama na zama, sio mbwa chotara wa maabara, ambapo tangu enzi hizo walitumika kwa shughuli za ulinzi, na ni walinzi hodari haswa. Zama hizo hawa ndio mbwa waliotumika kuwalinda wafalme na makazi yao.

BeFunky-collage-39.jpg

Ukimfundisha kuanzia utotoni anakuwa ni mwana familia mzuri sana. Hatari ya mbwa hawa wanaona nyumbani kwao ndio himaya yao. Sasa kasheshe ni pale wanyama wengine au wageni wanapokuja kuwatembeleeni.
Ukimfuga mbwa huyu hataki kuona hata kifaranga cha kuku kinakatiza hapo nyumbani.

Boerboel​

Boerboel ni mbwa mwingine matata sana mwenye asili ya South Africa, ambako ni mbwa aliyechanganywa mbegu mbalimbali za mbwa tofauti ili kuwadhibiti watu weusi.
Mbwa huyu anafaa kama una nyumba yenye eneo kubwa au shamba, maana wanafaa sana kwa ulinzi wa mifugo na watu aliowazoea .

BeFunky-collage-2-7.jpg

Hatari ya huyu mbwa ni kwamba akikasrishwa hushambulia yeyote aliyepo mbele yake hata kama ni mmiliki wake.

Cane Corso​

Cane Corso ana muonekano wa kutisha lakini ni mbwa anayependa sana kucheza na watoto na kuwalinda vyema watu wa nyumbani kwao.

BeFunky-collage-38.jpg

Tatizo la mbwa huyu mtu yeyote asiye wa nyumbani kwao anamuona kama ni hatari kwa familia, hivyo hushambulia kwa haraka sana. his. Corso anahitaji mafunzo sana kipindi cha utoto wake na kumzoeza kukaa na watu wengi ili akiwa mkubwa asiwe na madhara kwa wageni.

Wolfdog​

Kwenye majimbo mengi ya Marekani huyu mbwa kikawaida haruhusiwi kufugwa nyumbani, wala hatakiwi kupandishwa na jamii nyingine ya mbwa. Wolfdogs ni mbwa chotara wa mbweha na mbwa hivyo ni hatari sana. Asili yake ya mbweha inamfanya asiwe mbwa anayefundishika kirahisi na ni mkatili sana kutokana na asili yake.

BeFunky-collage-1-8.jpg

Belgian Malinois​

Belgian Malinois ni mbwa mzuri sana na anajulikana kutokana na uwezo wake mkubwa wa akili na kufundishika kirahisi ambao umefanya wawe mbwa wanaotumiwa sana na jeshi la Polisi na jeshi pia. Mbwa hawa pia hujulikana kwa jina la Belgian Shepherds, na wamefanana sana na German Shepherds.
Mbwa hawa wazuri kwa kunusa na kuwatafuta wahalifu na pia ni wazuri kwenye shughuli za uwindaji.

BeFunky-collage-36.jpg

Mbwa huyu anapenda sana kurarua na kutafuta. Akifugwa nyumbani atahakikisha amerarua makochi yako na magodoro yote.

Bernese Mountain Dog​

Bernese Mountain dogs are characterized by their black, white, and brown coats and their size. They are one of the bigger dog breeds to be descended from the Swiss Alps. These big dogs love to frolic in the snow and enjoy running around in the great outdoors. They can adjust to living inside with their families, but they prefer to work.
ADVERTISEMENT

BeFunky-collage-1-7.jpg

During the past couple of centuries, Bernese could be seen hooked up to carts and helping their owners haul things like firewood. While they don’t make great indoor dogs, they are more adaptable than some of the other breeds on this list.
ADVERTISEMENT

St. Bernard​

St. Bernards are generally considered to be friendly giants who like to slobber on their owners. Due to their size, they are not well-suited to apartment living but instead need a house with a yard.
ADVERTISEMENT

BeFunky-collage-2-8.jpg

They tend to be unaware of their size, which means they will bump into tables and knock over plants and breakables. As far as children go, St. Bernard’s like to let children climb all over them if they are socialized with children as puppies.
ADVERTISEMENT

Great Pyrenees​

The Pyrenees mountains in Spain are where this large white breed comes from. As they are herding dogs, they love being outside in cold temperatures and rolling around in the snow. They can live inside, but owners must make sure to groom them regularly.
ADVERTISEMENT

BeFunky-collage-4-6.jpg

Their ear hair needs to be trimmed; otherwise, they are prone to very bad ear infections. If the Great Pyrenees is sleeping a lot, it means that it has overheated, so houses can’t be kept really warm.
ADVERTISEMENT

Chow Chow​

Another dog breed with origins in China is the Chow Chow. According to the history of the breed, it is one of the oldest in the world. Chow Chows are characterized by their purple tongues, long shaggy coats, and scrunched-up faces.
ADVERTISEMENT

BeFunky-collage-1-10.jpg

They are incredibly protective, which makes them difficult dogs to have around others. One thing they love is surveying their territory or, in this case, their homes from the comfort of a soft bed or couch.
ADVERTISEMENT

Affenpinscher​

At first glance, the Affenpinscher looks like an adorable stuffed animal. They are known for their playful personalities and confident natures. This little dog has the personality of a big dog and tends to be very territorial.
ADVERTISEMENT

BeFunky-collage-2-10.jpg

If they are playing with their toys, they will not share them with other dogs or children. In some instances, they may become aggressive if they feel like someone is trying to take something that belongs to them.
ADVERTISEMENT

Catahoula Leopard Dog​

With a name like Catahoula Leopard Dog, it’s pretty easy to tell that this breed is a tad on the aggressive side. The Catahoula is tied to the state of Louisiana, where the breed was bred to swim in the bayou and hunt along its shores.
ADVERTISEMENT

BeFunky-collage-1-11.jpg

However, getting a Catahoula that is not blind or deaf can be tricky, as this is a common occurrence amongst them. They also require a lot of training if you don’t want them to hunt everything in the yard.
ADVERTISEMENT

Bullmastiff​

The Bullmastiff is a bit of an intimidating-looking dog, as it is a half Bulldog and half Mastiff. The Mastiff side is easy to see because this dog is huge. A full-grown Bullmastiff weighs around 130 pounds, which means it is not a dog you want jumping on people.
ADVERTISEMENT

BeFunky-collage-3-8.jpg

Due to their size, they are not very good family dogs, as they have the ability to knock children over by accident. They love guarding, though, so if you need a good guard dog that’s going to live outside, the Bullmastiff is an option.
ADVERTISEMENT

Border Collies​

Owning a Border Collie seems like a good idea. They are very intelligent, playful, and love running around. However, as they are used for herding livestock, especially sheep, they do not make the best family pets.
ADVERTISEMENT

BeFunky-collage-4-7.jpg

They require almost constant exercise, toys, agility parks, and more to keep them from getting bored. When they do get bored, they tend to chew, and we don’t mean just their toys but anything they can get their paws on.
ADVERTISEMENT

Chihuahua​

A lot of people think that because a dog is small, it will make a good pet. For the Mexican Chihuahua, this is not the case. They are very noisy little dogs and often bark at anyone that they deem a threat. For some reason, Chihuahuas, in general, do not like small children.
ADVERTISEMENT

BeFunky-collage-41.jpg

They tend to become aggressive when bothered, and while small, they can still bite. If you want a dog that will be loyal to you, and you don’t have any children, then it’s possible to housetrain one.
ADVERTISEMENT

Bull Terrier​

The Bull Terrier is one of the most recognizable dog breeds, thanks to the Target commercials. However, in the past, Bull Terriers were used as hunting dogs and in dog fighting. Unfortunately, that past has made them quite aggressive by nature.
ADVERTISEMENT

BeFunky-collage-1-12.jpg

With the right amount of socialization and training from a young age, Bull Terriers can be family friendly dogs.
ADVERTISEMENT

Fikiri mara mbili kabla hujaamua kufuga mbwa hawa nyumbani kwako.

Airedale Terrier​

Airedale Terriers ni mbwa wanaopenda kujitegemea na kuwa huru. Ni mbwa wenye akili sana lakini ni wasumbufu mno.

Mbwa hawa wanajulikana kama Mfalme wa Uharibifu. Airedale Terriers wanapenda sana kucheza michezo kama vile kuchimba au kung'ata vitu mbalimbali ikiwemo magurudumu ya gari yako, kuchimba ukuta hadi wautoboe nk

Huyu mbwa ni mharibifu na hatari kwa usalama wa mali zako. Jiepushe naye.

1-1.jpg

Pia mbwa huyu hapendi kabisa kuchangamana na jamii nyingine za mbwa.

Rhodesian Ridgeback​

Huyu ni mbwa mwenye asili ya Afrika Kusini mji wa Rhodesian Ridgeback. Mbwa huyu mkubwa mwenye rangi iliyo katikati ya kahawia na wekundu anatumika sana kwa shughuli za uwindaji.
Kinachomfanya mbwa huyu kuwa maarufu hasa kipindi cha ubaguzi wa rangi, ni uwezo wake wa kutambua simba walipo na kupambana nao na kuwaweka salama mabwana mkubwa wake.

BeFunky-collage-4-5.jpg

Kiujumla mbwa huyu ni mkimya, hadi umchokoze ndipo anapoanzisha balaa la kibabe ambalo hamna awezaye kumzuia.

Mbwa huyu usipomfundisha vyema akiwa mdogo, nyumbani pako hapatakuwa salama kwa wageni, kwani kiasili hataki kabisa wageni.

Bergamasco Sheepdog​

Mbwa huyu mwenye manyoya mengi sana na marefu yenye kuziba hadi sura yake, huwa ana pua yenye kamasi nyingi sana zinazomchuruzika kila wakati kiasi cha kuchafua nyumba.

1-14.jpg

Tosa​

Michezo ya kupiganisha mbwa inafanyika sehemu mbalimbali duniani. Japan mchezo huu ni halali na jamii pekee inayotumika ni Tosa. Kwa kuwa asili ya mbwa huyu ni mapambo ya ulingoni ni hatari sana kumfuga nyumbani na ni marufuku kabisa kumfuga nyumbani kwa mujibu wa sheria za Japan.

BeFunky-collage-6-4.jpg

Caucasian Ovcharka​

Jibwa hili kubwa lenye asili ya nchini Georgia, the Caucasian Ovcharka ni jibwa mbavu nene hasa, lenye kimo kama Bujibuji Simba Nyamaume, ni miongoni mwa jamii kubwa za mbwa duniani.

Jibwa hili lisilo na pirika wala papara nyingi, hupenda uvivu na kutumia muda mwingi kulala, ila mgeni akiingia anakuwa kwenye utayari wa hali ya juu wa mapambano.

BeFunky-collage-7-4.jpg

Mbwa huyu hataki kabisa wageni na atafanya kila awezalo ili amdhuru.

Ila mbwa huyu ni mpole sana na ni mwenye upendo sana kwa watu wake wa karibu.

Shar-Pei​

The Shar-Pei has pretty ancient roots. They were first documented in China, where they were revered as guard dogs to the Emperors. Now, they are less used as guard dogs and more often seen as pets.
ADVERTISEMENT

BeFunky-collage-39.jpg

They make decent family dogs, as long as they are raised from a puppy to adulthood around children. However, they will see their home as their territory and may not like strangers or other pets coming onto their land.
ADVERTISEMENT

Boerboel​

The Boerboel hails from South Africa, where it was bred by the Boers as a working dog. They tend to suffer from separation anxiety, which means they need an owner who is always around. If you have an acreage or a farm, then a Boerboel is a good dog to have. It will protect the livestock from predators and anyone else who it sees as a part of its pack.
ADVERTISEMENT

BeFunky-collage-2-7.jpg

This protective instinct also means that the Boerboel can have bouts of aggression, which is something else to be mindful of. This aggression is never towards their owners, though, just someone who they feel is threatening their owner.
ADVERTISEMENT

Cane Corso​

The Cane Corso may look intimidating, but they are generally giant sweethearts to their owners. They love being around children and feeling like they need to protect their human pack. However, that natural instinct to protect means that anyone who is not in the pack could be a potential threat.
ADVERTISEMENT

BeFunky-collage-38.jpg

This can lead to a bit of hostility when guests come over and make any sudden moves appear threatening. The Corso requires a lot of socialization and training as a puppy to avoid these aggressive tendencies.
ADVERTISEMENT

Wolfdog​

It’s actually illegal to breed domesticated dogs with wolves in most states. Wolves are natural predators and are used to being at the top of the food chain. Wolfdogs are the hybrid version of wolves and dogs, and while some of them can be quite friendly, they’re still pretty wild.
ADVERTISEMENT

BeFunky-collage-1-8.jpg

At the end of the day, they are still wild animals, and they can be unpredictable. This is not a dog you want to have around children, as you can’t be sure they won’t bite if provoked..

ADVERTISEMENT

ֿ

Belgian Malinois​

The Belgian Malinois is a beautiful dog known for its intelligence, which has made it well-suited to working as a police dog or with the military. They are sometimes called Belgian Shepherds, as they share common traits with German Shepherds. While they are excellent working dogs, who can sniff out pesky criminals or participate in K-9 search and rescue units, they do not make great pets.
ADVERTISEMENT

BeFunky-collage-36.jpg

This is due to the fact that they need constant stimulation, and if they get bored, they tend to chew. Nobody wants to come home to a chewed-on couch and torn pillows after leaving a Malinois at home alone all day.
ADVERTISEMENT

Bernese Mountain Dog​

Bernese Mountain dogs are characterized by their black, white, and brown coats and their size. They are one of the bigger dog breeds to be descended from the Swiss Alps. These big dogs love to frolic in the snow and enjoy running around in the great outdoors. They can adjust to living inside with their families, but they prefer to work.
ADVERTISEMENT

BeFunky-collage-1-7.jpg

During the past couple of centuries, Bernese could be seen hooked up to carts and helping their owners haul things like firewood. While they don’t make great indoor dogs, they are more adaptable than some of the other breeds on this list.
ADVERTISEMENT

St. Bernard​

St. Bernards are generally considered to be friendly giants who like to slobber on their owners. Due to their size, they are not well-suited to apartment living but instead need a house with a yard.
ADVERTISEMENT

BeFunky-collage-2-8.jpg

They tend to be unaware of their size, which means they will bump into tables and knock over plants and breakables. As far as children go, St. Bernard’s like to let children climb all over them if they are socialized with children as puppies.
ADVERTISEMENT

Great Pyrenees​

The Pyrenees mountains in Spain are where this large white breed comes from. As they are herding dogs, they love being outside in cold temperatures and rolling around in the snow. They can live inside, but owners must make sure to groom them regularly.
ADVERTISEMENT

BeFunky-collage-4-6.jpg

Their ear hair needs to be trimmed; otherwise, they are prone to very bad ear infections. If the Great Pyrenees is sleeping a lot, it means that it has overheated, so houses can’t be kept really warm.
ADVERTISEMENT

Chow Chow​

Another dog breed with origins in China is the Chow Chow. According to the history of the breed, it is one of the oldest in the world. Chow Chows are characterized by their purple tongues, long shaggy coats, and scrunched-up faces.
ADVERTISEMENT

BeFunky-collage-1-10.jpg

They are incredibly protective, which makes them difficult dogs to have around others. One thing they love is surveying their territory or, in this case, their homes from the comfort of a soft bed or couch.
ADVERTISEMENT

Affenpinscher​

At first glance, the Affenpinscher looks like an adorable stuffed animal. They are known for their playful personalities and confident natures. This little dog has the personality of a big dog and tends to be very territorial.
ADVERTISEMENT

BeFunky-collage-2-10.jpg

If they are playing with their toys, they will not share them with other dogs or children. In some instances, they may become aggressive if they feel like someone is trying to take something that belongs to them.
ADVERTISEMENT

Catahoula Leopard Dog​

With a name like Catahoula Leopard Dog, it’s pretty easy to tell that this breed is a tad on the aggressive side. The Catahoula is tied to the state of Louisiana, where the breed was bred to swim in the bayou and hunt along its shores.
ADVERTISEMENT

BeFunky-collage-1-11.jpg

However, getting a Catahoula that is not blind or deaf can be tricky, as this is a common occurrence amongst them. They also require a lot of training if you don’t want them to hunt everything in the yard.
ADVERTISEMENT

Bullmastiff​

The Bullmastiff is a bit of an intimidating-looking dog, as it is a half Bulldog and half Mastiff. The Mastiff side is easy to see because this dog is huge. A full-grown Bullmastiff weighs around 130 pounds, which means it is not a dog you want jumping on people.
ADVERTISEMENT

BeFunky-collage-3-8.jpg

Due to their size, they are not very good family dogs, as they have the ability to knock children over by accident. They love guarding, though, so if you need a good guard dog that’s going to live outside, the Bullmastiff is an option.
ADVERTISEMENT

Border Collies​

Owning a Border Collie seems like a good idea. They are very intelligent, playful, and love running around. However, as they are used for herding livestock, especially sheep, they do not make the best family pets.
ADVERTISEMENT

BeFunky-collage-4-7.jpg

They require almost constant exercise, toys, agility parks, and more to keep them from getting bored. When they do get bored, they tend to chew, and we don’t mean just their toys but anything they can get their paws on.
ADVERTISEMENT

Chihuahua​

A lot of people think that because a dog is small, it will make a good pet. For the Mexican Chihuahua, this is not the case. They are very noisy little dogs and often bark at anyone that they deem a threat. For some reason, Chihuahuas, in general, do not like small children.
ADVERTISEMENT

BeFunky-collage-41.jpg

They tend to become aggressive when bothered, and while small, they can still bite. If you want a dog that will be loyal to you, and you don’t have any children, then it’s possible to housetrain one.
ADVERTISEMENT

Bull Terrier​

The Bull Terrier is one of the most recognizable dog breeds, thanks to the Target commercials. However, in the past, Bull Terriers were used as hunting dogs and in dog fighting. Unfortunately, that past has made them quite aggressive by nature.
ADVERTISEMENT

BeFunky-collage-1-12.jpg

With the right amount of socialization and training from a young age, Bull Terriers can be family friendly dogs.
ADVERTISEMENT

Mchawi lugha
 
Fikiri mara mbili kabla hujaamua kufuga mbwa hawa nyumbani kwako.

Airedale Terrier​

Airedale Terriers ni mbwa wanaopenda kujitegemea na kuwa huru. Ni mbwa wenye akili sana lakini ni wasumbufu mno.

Mbwa hawa wanajulikana kama Mfalme wa Uharibifu. Airedale Terriers wanapenda sana kucheza michezo kama vile kuchimba au kung'ata vitu mbalimbali ikiwemo magurudumu ya gari yako, kuchimba ukuta hadi wautoboe nk

Huyu mbwa ni mharibifu na hatari kwa usalama wa mali zako. Jiepushe naye.

1-1.jpg

Pia mbwa huyu hapendi kabisa kuchangamana na jamii nyingine za mbwa.

Rhodesian Ridgeback​

Huyu ni mbwa mwenye asili ya Afrika Kusini mji wa Rhodesian Ridgeback. Mbwa huyu mkubwa mwenye rangi iliyo katikati ya kahawia na wekundu anatumika sana kwa shughuli za uwindaji.
Kinachomfanya mbwa huyu kuwa maarufu hasa kipindi cha ubaguzi wa rangi, ni uwezo wake wa kutambua simba walipo na kupambana nao na kuwaweka salama mabwana mkubwa wake.

BeFunky-collage-4-5.jpg

Kiujumla mbwa huyu ni mkimya, hadi umchokoze ndipo anapoanzisha balaa la kibabe ambalo hamna awezaye kumzuia.

Mbwa huyu usipomfundisha vyema akiwa mdogo, nyumbani pako hapatakuwa salama kwa wageni, kwani kiasili hataki kabisa wageni.

Bergamasco Sheepdog​

Mbwa huyu mwenye manyoya mengi sana na marefu yenye kuziba hadi sura yake, huwa ana pua yenye kamasi nyingi sana zinazomchuruzika kila wakati kiasi cha kuchafua nyumba.

1-14.jpg

Tosa​

Michezo ya kupiganisha mbwa inafanyika sehemu mbalimbali duniani. Japan mchezo huu ni halali na jamii pekee inayotumika ni Tosa. Kwa kuwa asili ya mbwa huyu ni mapambo ya ulingoni ni hatari sana kumfuga nyumbani na ni marufuku kabisa kumfuga nyumbani kwa mujibu wa sheria za Japan.

BeFunky-collage-6-4.jpg

Caucasian Ovcharka​

Jibwa hili kubwa lenye asili ya nchini Georgia, the Caucasian Ovcharka ni jibwa mbavu nene hasa, lenye kimo kama Bujibuji Simba Nyamaume, ni miongoni mwa jamii kubwa za mbwa duniani.

Jibwa hili lisilo na pirika wala papara nyingi, hupenda uvivu na kutumia muda mwingi kulala, ila mgeni akiingia anakuwa kwenye utayari wa hali ya juu wa mapambano.

BeFunky-collage-7-4.jpg

Mbwa huyu hataki kabisa wageni na atafanya kila awezalo ili amdhuru.

Ila mbwa huyu ni mpole sana na ni mwenye upendo sana kwa watu wake wa karibu.

Shar-Pei​

Shar-Pei ana asili ya China ya kale. Walikuwepo China tangu zama na zama, sio mbwa chotara wa maabara, ambapo tangu enzi hizo walitumika kwa shughuli za ulinzi, na ni walinzi hodari haswa. Zama hizo hawa ndio mbwa waliotumika kuwalinda wafalme na makazi yao.

BeFunky-collage-39.jpg

Ukimfundisha kuanzia utotoni anakuwa ni mwana familia mzuri sana. Hatari ya mbwa hawa wanaona nyumbani kwao ndio himaya yao. Sasa kasheshe ni pale wanyama wengine au wageni wanapokuja kuwatembeleeni.
Ukimfuga mbwa huyu hataki kuona hata kifaranga cha kuku kinakatiza hapo nyumbani.

Boerboel​

Boerboel ni mbwa mwingine matata sana mwenye asili ya South Africa, ambako ni mbwa aliyechanganywa mbegu mbalimbali za mbwa tofauti ili kuwadhibiti watu weusi.
Mbwa huyu anafaa kama una nyumba yenye eneo kubwa au shamba, maana wanafaa sana kwa ulinzi wa mifugo na watu aliowazoea .

BeFunky-collage-2-7.jpg

Hatari ya huyu mbwa ni kwamba akikasrishwa hushambulia yeyote aliyepo mbele yake hata kama ni mmiliki wake.

Cane Corso​

The Cane Corso may look intimidating, but they are generally giant sweethearts to their owners. They love being around children and feeling like they need to protect their human pack. However, that natural instinct to protect means that anyone who is not in the pack could be a potential threat.
ADVERTISEMENT

BeFunky-collage-38.jpg

This can lead to a bit of hostility when guests come over and make any sudden moves appear threatening. The Corso requires a lot of socialization and training as a puppy to avoid these aggressive tendencies.
ADVERTISEMENT

Wolfdog​

It’s actually illegal to breed domesticated dogs with wolves in most states. Wolves are natural predators and are used to being at the top of the food chain. Wolfdogs are the hybrid version of wolves and dogs, and while some of them can be quite friendly, they’re still pretty wild.
ADVERTISEMENT

BeFunky-collage-1-8.jpg

At the end of the day, they are still wild animals, and they can be unpredictable. This is not a dog you want to have around children, as you can’t be sure they won’t bite if provoked..

ADVERTISEMENT

ֿ

Belgian Malinois​

The Belgian Malinois is a beautiful dog known for its intelligence, which has made it well-suited to working as a police dog or with the military. They are sometimes called Belgian Shepherds, as they share common traits with German Shepherds. While they are excellent working dogs, who can sniff out pesky criminals or participate in K-9 search and rescue units, they do not make great pets.
ADVERTISEMENT

BeFunky-collage-36.jpg

This is due to the fact that they need constant stimulation, and if they get bored, they tend to chew. Nobody wants to come home to a chewed-on couch and torn pillows after leaving a Malinois at home alone all day.
ADVERTISEMENT

Bernese Mountain Dog​

Bernese Mountain dogs are characterized by their black, white, and brown coats and their size. They are one of the bigger dog breeds to be descended from the Swiss Alps. These big dogs love to frolic in the snow and enjoy running around in the great outdoors. They can adjust to living inside with their families, but they prefer to work.
ADVERTISEMENT

BeFunky-collage-1-7.jpg

During the past couple of centuries, Bernese could be seen hooked up to carts and helping their owners haul things like firewood. While they don’t make great indoor dogs, they are more adaptable than some of the other breeds on this list.
ADVERTISEMENT

St. Bernard​

St. Bernards are generally considered to be friendly giants who like to slobber on their owners. Due to their size, they are not well-suited to apartment living but instead need a house with a yard.
ADVERTISEMENT

BeFunky-collage-2-8.jpg

They tend to be unaware of their size, which means they will bump into tables and knock over plants and breakables. As far as children go, St. Bernard’s like to let children climb all over them if they are socialized with children as puppies.
ADVERTISEMENT

Great Pyrenees​

The Pyrenees mountains in Spain are where this large white breed comes from. As they are herding dogs, they love being outside in cold temperatures and rolling around in the snow. They can live inside, but owners must make sure to groom them regularly.
ADVERTISEMENT

BeFunky-collage-4-6.jpg

Their ear hair needs to be trimmed; otherwise, they are prone to very bad ear infections. If the Great Pyrenees is sleeping a lot, it means that it has overheated, so houses can’t be kept really warm.
ADVERTISEMENT

Chow Chow​

Another dog breed with origins in China is the Chow Chow. According to the history of the breed, it is one of the oldest in the world. Chow Chows are characterized by their purple tongues, long shaggy coats, and scrunched-up faces.
ADVERTISEMENT

BeFunky-collage-1-10.jpg

They are incredibly protective, which makes them difficult dogs to have around others. One thing they love is surveying their territory or, in this case, their homes from the comfort of a soft bed or couch.
ADVERTISEMENT

Affenpinscher​

At first glance, the Affenpinscher looks like an adorable stuffed animal. They are known for their playful personalities and confident natures. This little dog has the personality of a big dog and tends to be very territorial.
ADVERTISEMENT

BeFunky-collage-2-10.jpg

If they are playing with their toys, they will not share them with other dogs or children. In some instances, they may become aggressive if they feel like someone is trying to take something that belongs to them.
ADVERTISEMENT

Catahoula Leopard Dog​

With a name like Catahoula Leopard Dog, it’s pretty easy to tell that this breed is a tad on the aggressive side. The Catahoula is tied to the state of Louisiana, where the breed was bred to swim in the bayou and hunt along its shores.
ADVERTISEMENT

BeFunky-collage-1-11.jpg

However, getting a Catahoula that is not blind or deaf can be tricky, as this is a common occurrence amongst them. They also require a lot of training if you don’t want them to hunt everything in the yard.
ADVERTISEMENT

Bullmastiff​

The Bullmastiff is a bit of an intimidating-looking dog, as it is a half Bulldog and half Mastiff. The Mastiff side is easy to see because this dog is huge. A full-grown Bullmastiff weighs around 130 pounds, which means it is not a dog you want jumping on people.
ADVERTISEMENT

BeFunky-collage-3-8.jpg

Due to their size, they are not very good family dogs, as they have the ability to knock children over by accident. They love guarding, though, so if you need a good guard dog that’s going to live outside, the Bullmastiff is an option.
ADVERTISEMENT

Border Collies​

Owning a Border Collie seems like a good idea. They are very intelligent, playful, and love running around. However, as they are used for herding livestock, especially sheep, they do not make the best family pets.
ADVERTISEMENT

BeFunky-collage-4-7.jpg

They require almost constant exercise, toys, agility parks, and more to keep them from getting bored. When they do get bored, they tend to chew, and we don’t mean just their toys but anything they can get their paws on.
ADVERTISEMENT

Chihuahua​

A lot of people think that because a dog is small, it will make a good pet. For the Mexican Chihuahua, this is not the case. They are very noisy little dogs and often bark at anyone that they deem a threat. For some reason, Chihuahuas, in general, do not like small children.
ADVERTISEMENT

BeFunky-collage-41.jpg

They tend to become aggressive when bothered, and while small, they can still bite. If you want a dog that will be loyal to you, and you don’t have any children, then it’s possible to housetrain one.
ADVERTISEMENT

Bull Terrier​

The Bull Terrier is one of the most recognizable dog breeds, thanks to the Target commercials. However, in the past, Bull Terriers were used as hunting dogs and in dog fighting. Unfortunately, that past has made them quite aggressive by nature.
ADVERTISEMENT

BeFunky-collage-1-12.jpg

With the right amount of socialization and training from a young age, Bull Terriers can be family friendly dogs.
ADVERTISEMENT

Hao mbwa sio wa nchi zetu,unaookota taarifa za kwenye mitandao unaleta bongo sisi tuna mbwa wetu bana,halafu unatudanganya mbwa kushambulia Simba
 
Kwenye hii list wamekosekana rottweiller na pittbull,hii breed sithubutu kuiweka karibu na familia yangu,mbwa mzuri wa kufuga ni GS tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom