Mbunge wa Sumbawanga Mjini (CCM) avuliwa ubunge na mahakama!

Kama wewe unavyoendelea kulalamika humu JF kila kukicha...tafuta ajira mkuu hakuna chama siasa ambacho kitakupa pesa mafanikio ya maisha ni kupambana binafsi.
Out of topic, sina haja ya ajira mpya niliyonayo inanitosha.
 
Wakuu leo ndiyo kunatolew hukumu ya kupinga matokeo ya ubunge wa sumbawanga mjini wa Aeshy Hilaly Halphany CCM dhidi ya mwalimu Norbet Joseph Yamsebo wa Chadema ambaye anadai kuchakachuliwa katika uchaguzi huo.

Madai miongoni ni pamoja na kutoa rushwa kwa makundi mbalimbali na watu wengi walijitokeza kutoa ushahidi huo na kukiri kuwa ni kweli walipokea vitu mbalimbali ikiwemo fedha, baskeli, pikipiki, vinywaji, kinanda kwa kanisa katoliki, nk kwa sharti la kumpigia kura mbaya zaidi ni kwa mkurugenzi mwanamama kutoa ushahidi wa kupinga ushindi wa mbunge huyo, mkurugenzi huyo alihamishwa muda mfupi mara baada ya matokeo ya uchaguzi kutolewa na kupelekwa wilaya ya Ileje.

Moja ya kituko katika kesi hii mara baada ya mbunge huyo kuulizwa kama anaamini na kusema hajui kama alishinda ila mkurugenzi ndiye anayejua ushindi huo, kimsingi ulinzi umeimalishwa kwani yaweza kuwa mbaya endapo Aeshy atatangazwa mshindi, askali wapo wa kutosha, washawasha na mabomu, lakini kesi hii ilikosa umaarufu kwa kuwa waandishi njaa wote walikuwa upande wa Aeshy mpaka ripota wa ITV Joshua joel update tutawaletea mara kesi itakapoanza....

Kamanda Doma.

UPDATES:
Umati umejitokeza kwa wingi sana na watu wamejaa ndani hivyo imebidi spika zifungwe nje lakini gari la polisi limekuwa likizunguka kuonya juu ya uvunjifu wowote wa amani.

Muda mfupi ujao jaji ataingia ila naona makamanda wengi sana kutoka sehemu mbalimbali wakiwa ndani ya magwanda

Jaji ameingia na kuanza kusoma kesi kwa lugha ya kiingereza na kesi nzima ina takribani kurasa 68

Mawakili wanaendelea kutoa utetezi wao wa mwisho lakini umati uliopo unatisha na Licha yakuonekana wafuasi wengi ni wa Chadema lakini Askari wameondolewa na kuashiria uwezekano wa chadema kushinda kesi.

Hoja za mwisho zinaweza kuwabana Magamba lakini naona Polisi wameanza kumwagika
UPDATES
mashabikina wafuasi wa Chadema wanashangilia nje ya mahakama kwa mbwembwe japo jaji bado hajatoa tamko
UPDATES
HATIMAYE CHADEMA WAIBUKA NA USHINDI NA UCHAGUZI KUTANGAZWA KURUDIWA UPYA BAADA YA BWANA AESHY KUKUTA NA KOSA LA KUTOA RUSHWA KATIKA UCHAGUZI HUO. Chademaaaaaaaaaaaaaaaaa vemaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Malipo yote duniani,ama kweli mwaka huu kiboko siju kama serikali ya jk itamudu gharama za uchaguzi,kwa heri magamba Sumbawanga
 
PEOPLESS!!!Tuhamishie masikio yetu Biharamulo sasa,maana kule Magamba wanaweza fanya hila kule!Segerea hukumu iko wazi kesho kutwa!
 
tbc nao wapuuzi na wanafiki..kwa tundu lissu hawakuriport hata kidogo
 
Kwa mjibu wa TBC - DIRA hakimu wa mahakama ya Sumbawanga Mkoani Rukwa ametoa hukumu ya kumvua ubunge mbunge wa Sumbawanga mjini (Kutoka CCM) kuwa alipata ushindi wa wizi!!
 
Hongera Mahakama kwa kutenda haki...wana Chadema mnatakiwa muheshimu uhuru wa mahakama hukumu zinapotolewa dhidi yenu muwe mnaheshimu maamuzi ya mahakama.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom