Mbunge wa mafia autema ubunge?

kubenea kwishiney hana ubavu wa kugonga nyoyo ya wakazi wa mafia hata wakampa ubunge
 
Mafia inaweza kwenda upinzani pale tu watakapo kubali kusimamisha mgombea mmoja. ila kama wataenda kama TLP tutaishia kupata kura 18..jimbo nzima.
 
Wana JF nasisitiza tuzipokee taarifa kama hizi positively kuliko kuanza kuponda. Huyu mtu apongezwe kwa kuwaachia wengine wajaribu kinyume ili na majimbo mengine waige mfano wa mbunge wa Mafia. Kama tunatukana kila kiti then sisi siyo great thinkers. Nawasilisha

hii point, kumtetea MKAPA ulichemka
 
huyu kasoma halama za nyakati kwani anajua atoboi akiingia ulingoni kotokana kushindwa kuwajibika kuwaongoza watu waliompa ajira
 
kafanya jambo la busala sana hanafaa kupogezwa sana ameona mbali sana kama mkadi .hata mmoja ukutekelezeka basi ajiondoe tu aina maana yoyote kuwa kiongozi .katumia hekima na busala
 
mkuu sio shule tu. hata chuo kimoja ameshindwa kuanzisha. lkn kwa kuwa amejua upepo wa vijana, ameamua kukaa chonjo

Pamoja nakwamba nawachukia sana magamba lkn kwahili kama nikweli nampongeza sana kwaupande wangu kama mimi naeka ushabiki pembeni kwanza.mh amechukua uamuz wabusara kabisa.mt mwenye akili pevu anatakiwa kuona busara zake wala sidhani kua nisawa kumpa lawama kwahayo ambayo aloshindwa kuyafanya.ijulikane kua mbunge nimwakilishi 2 bungeni hana fedha wala hatoi fedha mfukoni kwake ajenge barabara au maendeleo mengine ya jimbo anachofanya nikuomba serikali itoe fedha ya kuendeshea miradi iliyoahdiwa.upo uwezekano wakuomba na asipewe kipaumbele badalayake akawa mt wakupewa ahadi za hapa napale kama ilivyo kawaida yaserikali ya magamba.huyu mimi namuona nimzalendo kwahatua alochukua pengine ameona ubabaishaji tumpongeze kwa maamuzi yake haya
 
Tatizo ukanda wa pwani watu bado wanaiamini Ngangari wakati imeshazikwa.Hawajaamini kuwa dunia nzima inaimba CHADEMA CHADEMA........PEOPLES POWER
 
Maumivu ya kicchwa huanza polepole, amenusa Arumeru huyo, na magamba mengine yaige mfano huu jamani, miaka nenda rudi umo tu na huna maendeleo yoyote ambayo hata umesababisha tu.......kwa kweli niliposikiliza hotiba pal Arumeru nusura nitokwe machozi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom