Mbunge wa chadema akamatwa na polisi msobemsobe kupelekwa jimboni kwake

Kurunzi

JF-Expert Member
Jul 31, 2009
9,283
9,913
Kuna habari za mbunge wa CDM kukamatwa na polisi na kupelekwa jimboni kwake haijajulikana tatizo ni nini na ni mbunge gani.
Source. Vichwa vya habari nipashe
 
Kuna habari za mbunge wa CDM kukamatwa na polisi na kupelekwa jimboni kwake haijajulikana tatizo ni nini na ni mbunge gani.
Source. Vichwa vya habari nipashe

mbona sijaona neno Msobemsobe kwenye hicho kichwa cha habari?ama na wewe umejivua gamba?
 
Sio lazima uanzishe thread, sasa hapa sisi tusome nini? kweli ujinga nao ni mzigo mzito.
 
Mbunge akamatwa................apelekwa jimbni kwake.............mhhhhhhhh!!!!!!!!!hii kali sana...unauza mwandiko wako tu hapa.......
 
Back
Top Bottom