Mwandishi Teddy Kilanga amefanyaje huko Simiyu?

Jun 20, 2023
54
51
Kuna Taarifa za mwandishi wa Habari wa ITV mkoa wa Simiyu anashikiliwa na jeshi la polisi kituo kikuu cha polisi Bariadi.
Kwa wale waandishi mlioko hapo kituo cha polisi tupeni mrejesho ni nini hasa kilichopelekea kukamatwa na kuswekwa polisi
 
bila shaka hapo atakuwa amejiingiza kwenye maslahi ya thithiemu.

kayatimba
 
Back
Top Bottom