Mbunge wa CCM ahusishwa na njama za mauwaji ya mbunge Chegeni

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,149
Maskini wee wameanza kumalizana wenyewe kwa wenyewe
mmh kma hivi huyu jamaa kafika mbali anyway kwa ufupi tu habari kamili nunua tanzania daima ili wapate mshaara wa kulipa wafanyakazi wao

mbunge wa ccm jimbo la busega mkoani magu mh dk titus mlengeya ametajwa kuwa mhusika mkuu katika njama za mauwaji ya mbunge wa zamani wa jimbo hilo mh chegen zilizofichuliwa na wasamaria wema hivi karibuni akiongea na gazeti la td jeshi la polisi limeoiomba na kuitaka ofisi za bunge kumuachia aje maramoja kujibu shutuma zake kwa mahojiano na jeshi hili..

Mkuu huyo wa polisi amesema kufuatia mahojiano na waliokamatwa karibu theluthi tatu wamemtaja mbunge hjuyo kama mhusika na hivyo jeshi kuona umuhimu wa kumhoji akiwa anasubri tar 6 kesi kuanza kussikilizwa

rco wa mwanza alipoulizwa alikiri kuitwa kwa mbunge huyo na kusema kweli tumemuita na tunasubiri kama atakuja aspikuja tunapeleka mbele hili swala kwa hao wakubwa zake akuna kuangaliana vyeo kwenye mtu anaehusika na mauwaji..kama kweli akija tutamhoji tukiona anafaa tunamuunganisha na wenzake na swala la vikao bunge linatumiwa barua..sheria aibadili ndugu iko pale pale hata awe nani...alienda mbali rco huyo
hata yeye binfsi kanipigia kaomba anajipanga kuja mwanza alisema rco huyo na kusema anasubiri ushirikiano atakaotoa...kazi kwao ushirikiano upi aanautaka rco huyu hilindio swali langu la muhimu kwa leo

ccm mmeanza kuuana wenyekiti wa sserikali za mitaa kule mbeya sumu inawafwata mpaka kwa wabunge mmh haya kazi ipo
 
Du hii ni kali, ila kama ni kweli basi huenda chegeni kuwepo kwake ni kikwazo kwa Mlegea kufanya shughuli zake za ubunge na huenda Chegeni alikuwa ni threat tayari kwa jamaa. I know Titus personally alikuwa mfanyakazi wa TANAPA na ni kada wa CCM wa muda mrefu
 
hizi dhambi nyingine mungu atusamehe sana.........kuua kwa sababu ya madaraka....
 
Lakini kwa mwanza kuua for anything looks a custom, tukumbuke kesi ya meya wa jiji la mwanza.
 
Lakini kwa mwanza kuua for anything looks a custom, tukumbuke kesi ya meya wa jiji la mwanza.

mwanza isomeke CCM kwani hata kule mbeya ameuawa mwenyekiti wa CCM wilaya, Kolimba, Kombe unaweza kuongezea.......JK alisema ccm hawawezi kuachiana glass za maji mezani watatiliana sumu ndiyo HAYA
 
Back
Top Bottom