Mbunge wa Arusha Mjini (Godbless Lema) njiani kuelekea Igunga

YAP! YAP! YAP! Jembe jingine hilo katika mapambano kwali haliogopi polisi wa MAGAMBA. Duh! natamani hata mimi niende Igunga kwani mambo ni bomba kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!

Ni hayo tu!!
 
Duh! CDM sasa hii ni too much. Mbona Ka- Mbwa kenyewe kadogo tu! Sasa mbona naona kama mnataka kutumia Anti-Balistic Missiles kwenye Vita ya Kitoto! Silaha mnazopeleka Igunga ni kali mno! Punguzeni hasira, magamba wameshaomba radhi jamani.

Ushindi wa Ingunga ni mwanzo wa safari kuelekea 2015.
 
Utabiri wa Nape unatimia sasa, Wenje, Lema n.k, CDM inapeleka hadi wasaidizi wa ofisi Igunga.
 
Kweli mkuu sijiamini naogopa machafuko mimi pamoja na wapenda amani wa taifa letu.
Wewe na wahuni wenzako wa CDM mmezoe kupigana mapanga, kubaka na kumwagia watu tindikali, tunawaomba sana msifanye uhalifu nchi yetu ni ya amani

hupiganii/ wala hutetei amani ya nchi bali unakusudia kusema utulivu wa nchi.

mie utulivu unafikia kikomo, kilichopo sasa ni kupambana tu. Igunga wameonesha mfano mdogo tu kwa kurusha mawe ari la gamba moja hivi aliyetukana huko igung
a
 
Huyu kijana Mheshimiwa Lema noma, CCM hawana amani na mbunge huyu wa CDM wanampata pata!!!!!!!!!!!! Ameamua mapambano hadi kieleweke!!!!!!!!

Tafadhari mpambanaji GL wetu uwe makini, tunamwomba Mungu Baba akutangulie huko Igunga uendako!!!!!!!!
 
Utabiri wa Nape unatimia sasa, Wenje, Lema n.k, CDM inapeleka hadi wasaidizi wa ofisi Igunga.

kama ni mpambanaji haina shida. waende tu wakalikomboe jimbo lilotekwa kwa miaka kibao bt nothing potential to his people
 
Ni kweli Lema anaelekea Igunga, yupo na vijana 300 wengine wamepanda Fuso za CDM wanakwenda kuongeza nguvu. sijui nani analipa gharama za chakula na Malazi kwa hawa vijana zaidi ya 300 hadi kufikia jana hali ni mbaya sana kwa CDM.
Zile issue za Tindikali pamoja na ya kutaka kumbaka DC walizofanya wahuni wa CDM zimefanya wapenda amani Igunga kuwachukia sana CDM.
Kwa kweli hii dhambi ya ubakakaji na ya Tindikali itaendelea kuwatafuna kama Kansa
Hivi ile issue ya kusarandia mke wa kada wa CCM na kampeini manager wa maghamba's imeishia wapi??????? Huyo Bwn kazimwa na michuzi ya watu kama rits, maana maghamba kwa rushwa hamjambo!!!!!!!! Taadhari wana Igunga wakubwa wa CCM ni hodari kwa kusarandia wake za watu, chunga wake zenu!!!!!!!!!!
 
nnapomwona 2 sehemu yoyote ile najua nguvu ya uma ipo mahali hapo..kila la kheri
 
Ni kweli Lema anaelekea Igunga, yupo na vijana 300 wengine wamepanda Fuso za CDM wanakwenda kuongeza nguvu. sijui nani analipa gharama za chakula na Malazi kwa hawa vijana zaidi ya 300 hadi kufikia jana hali ni mbaya sana kwa CDM.
Zile issue za Tindikali pamoja na ya kutaka kumbaka DC walizofanya wahuni wa CDM zimefanya wapenda amani Igunga kuwachukia sana CDM.
Kwa kweli hii dhambi ya ubakakaji na ya Tindikali itaendelea kuwatafuna kama Kansa
Hivi wewe ritz hizo habari za fuso, vijana mia tatu (300) sijui wanakwenda Igunga umezipatawapi????????
 
Ni kweli Lema anaelekea Igunga, yupo na vijana 300 wengine wamepanda Fuso za CDM wanakwenda kuongeza nguvu. sijui nani analipa gharama za chakula na Malazi kwa hawa vijana zaidi ya 300 hadi kufikia jana hali ni mbaya sana kwa CDM.
Zile issue za Tindikali pamoja na ya kutaka kumbaka DC walizofanya wahuni wa CDM zimefanya wapenda amani Igunga kuwachukia sana CDM.
Kwa kweli hii dhambi ya ubakakaji na ya Tindikali itaendelea kuwatafuna kama Kansa
Naenda igunga kwa gharama zangu.Kulipiwa ni utovu wa maadili .
Ni ccm tu wanaolipiwa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom