Mbunge Selasini apata ajali mbaya! Akimbizwa hospitali, watatu wafa papo hapo akiwamo mamake

Nampa pole sana, na ninaomba kwa Mungu ili apone haraka kwa ajili ya kuendelea na majukumu yake ya kuwawakilisha bungeni watu wa Rombo.
 
Aksante Kaka Invisible kwa taarifa.
Pole sana Mh. Selasini kwa kumpoteza Mama pamoja na wengine waliokuwa nawe na pia ninakutakia kila la heri na upone haraka.
ciao
 
Poleni sana kwa wahusika wote. Maombi kwa walioumia ili wapate nafuu haraka.

Inasikitisha sana.
 
Mungu amponye wakati wa kampeni alipata ajali mbaya sana akavunjika mkono wa kulia unamsumbua mpk sasa RIP mama joseph
 
Nimesikia pia Radio Sunrise wameripoti hiyo ajali, tunamuombea kwa Mungu apone mapewa.
 
Mbunge wa Rombo, Mhe. Joseph Selasini kapata ajali mbaya sana muda si mrefu.

Ajali hiyo imemtokea akiwa safarini toka Arusha kwenda Rombo na ni eneo la Bomang'ombe mjini.

Watu watatu akiwemo mamake mzazi wamekufa papo hapo.

Mhe. Selasini amepekimbizwa Hospitali ya wilaya ya Hai pale Bomang'ombe; hali yake si nzuri.

MUNGU apumzishe mahala pema peponi roho za waliopoteza maisha katika ajali hiyo-RIP. Mungu amponye haraka Mh. Selasini na awape moyo wa uvumilivu na subra katika kipindi hiki cha msiba kwa wana familia wote wa wafiwa. POLENI SANA
 
kwa taarfa niliyoipata, ajal hyo imetokea bomang'ombe mbele ya chuo cha Hai Vocational Training Center [HVTC]. ......Pole mh. Kwanza kwa kuumia na pili kwa kuwapoteza uliokuwa nao. Tunakuombea upone haraka...
 
Loh, pole mbunge wangu. Ajali ya pili hii, nyingine ilikuwa wakati wa kampeni 2010... Poleni wafiwa, Mungu awatie nguvu!
 
inasikitisha sana. pole sana Mbunge Mungu akujalie upone haraka. r.i.p mama.
 
Duh!
Poleleni sana familia ya wafiwa na waluojeruhiwa.
This is sad, ajali jama!!
 
Pole sana Mh. Selasini na R.I.P mama Selasini. Kwa kweli inasikitisha sana!!!!!

Mkuu Invisible tunashukuru kwa taarifa maana taarifa yako haina ubabaishaji.
 
Mbunge wa Rombo, Mhe. Joseph Selasini kapata ajali mbaya sana muda si mrefu.

Ajali hiyo imemtokea akiwa safarini toka Arusha kwenda Rombo na ni eneo la Bomang'ombe mjini.

Watu watatu akiwemo mamake mzazi wamekufa papo hapo.

Mhe. Selasini amepekimbizwa Hospitali ya wilaya ya Hai pale Bomang'ombe; hali yake si nzuri.
Pole sana na Mungu awalaze mahali pema peponi wote waliotwaliwa, Amen
 
Pole sana mbunge wetu, tunakuombea upate ahueni mapema na Mungu akupe nguvu ya uvumilivu.

KILA JAMBO HUJA KWA SABABU ILIYOKUSUDIWA!
 
Back
Top Bottom