Mbunge Ngassa - Hakuna Kata Ambayo Haijapata Mradi wa Maendeleo Jimbo la Igunga

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
May 16, 2020
1,898
942

MBUNGE NGASSA: "HAKUNA KATA AMBAYO HAIJAPATA MRADI WA MAENDELEO"

"... Ilani ya Chama (CCM) inatekelezwa kwa ufasaha ndugu zangu, Chini ya uongozi wa Mama Yetu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania..."

"... Jimbo letu lina Kata Kumi na Sita, hakuna Kata hata moja ambayo haijapelekewa mradi wa maendeleo. Yanayofanyika hapa Kata ya Mbutu, yanafanyika Kata zingine zote na hii ni kwa Majimbo yote Nchini..."

"... Wananchi endeleeni kutupa ushirikiano na yote tuliyoahidi , tutayakamisha , Tupo nusu ya safari ya Miaka mitano, Tumefanya mengi na makubwa , Tumefungua historia mpya na itakayojitetea muda wa kuomba kura ukifika..."

"... Mimi Mbunge wenu falsafa yangu ni "KAZI NA MAENDELEO" na Rais Wetu Falsafa Yake ni "KAZI IENDELE". Dhamira yetu ni kuona mnasogea mbele kimaendeleo na kuboresha ustawi wa Taifa..."

Nicholaus George Ngassa
Mbunge wa Jimbo la Igunga
 

Attachments

  • WhatsApp Image 2023-07-29 at 07.16.32(1).jpeg
    WhatsApp Image 2023-07-29 at 07.16.32(1).jpeg
    120.4 KB · Views: 2
  • WhatsApp Image 2023-07-29 at 07.16.32.jpeg
    WhatsApp Image 2023-07-29 at 07.16.32.jpeg
    121.8 KB · Views: 2
  • WhatsApp Image 2023-07-29 at 07.16.33.jpeg
    WhatsApp Image 2023-07-29 at 07.16.33.jpeg
    150.4 KB · Views: 1
  • WhatsApp Image 2023-07-29 at 07.16.34.jpeg
    WhatsApp Image 2023-07-29 at 07.16.34.jpeg
    133.1 KB · Views: 1
  • WhatsApp Image 2023-07-29 at 07.16.34(1).jpeg
    WhatsApp Image 2023-07-29 at 07.16.34(1).jpeg
    135.7 KB · Views: 2
Back
Top Bottom