Kanyafu Nkanwa
JF-Expert Member
- Jul 8, 2010
- 849
- 103
Kuna tetesi kuwa mbunge mwingine ambaye amewahi kuwa naibu waziri amefariki! Wenye news turushieni
Ameomba ajuzwe kama huna jibu vuta subira akijibiwa utatambua. R.I.P Hon Jeremiah SumariSasa hizi habari gani bana hebu lete habari inayoweza eleweka
mwaka huu serikali lazma ifilisike hata ikitetewa na tendwa
=kafulila
=rashid hamad
=uzini
=sumary
=..........
=...........
=............
kura moja ccm wananunua laki 3 na bado miaka4.