Mbunge mwingine afariki

Ni Mheshimiwa Jeremiah Sumari. R.I.P tutakukumbuka kwa weledi wako katika utendaji bungeni na serikalini
 
mwaka huu serikali lazma ifilisike hata ikitetewa na tendwa
=kafulila
=rashid hamad
=uzini
=sumary
=..........
=...........
=............
kura moja ccm wananunua laki 3 na bado miaka4.
 
Ameteseka vya kutosha muache apumzike (rip kin'gan'ganizi wa ubunge)
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom