Mbunge Joseph Mbilinyi (SUGU) ataka TRA wamtoze kodi RICK ROSS show ya leo...

...suala Ro$$ anatakiwa kulipa kodi au la
...habari ya pub za vumbi, second car, anatambuliwa na serikali yao, ana bima yanatoka wapi?
 
Kaka Sugu,sio mara moja kufika hao jamaa wa mamtoni .lkn baada ya bifu yako na Guge umekua ukikomalia sana ishu zake,hiv hamja maliza bifu lenu tu? Wakati mupo washkaji hukuyasema au ndo mke mukiachana ndio unamtangazia kuwa kikojozi?noma!
 
Kwel TZ dhaifu kuanzia juu mpaka chin....Sugu kaweka mada sensitive sana afu mtu anakuja na ushabiki wa ajabu kweli....dah bas bhana! But we need changes in our thinking!
 
Hapa ni sawa na ku-compare maembe na machungwa. Tanzania siyo Marekani. Halafu usishangae Rick Ross keshalipwa in full mshiko wake kabla hajatia mguu Bongo kupitia transactions za benki za Marekani.

Isitoshe bila shaka Rick Ross atalipa kodi ya mapato ya Marekani kutokana na hii concert, jee Sugu alishawahi kulipa "kodi ya taifa letu" baada ya kufanya show Marekani?

Aseee!!!!
 
Sijui unatumia nini kufikiri?
 
Hata Rick Ross atakuwa ameshangaa kuondoka na Pesa yote bila hata kukatwa kodi,
Na Wazir mzima kakaa ofisin kwake anapiga promo kabisa inarudiwa mara kumi kumi...
 
JF wapumbavu tumeanza kuwa wengi. Kwenye hli jukwaa huwa tunajadili issues na sio watu. Hapa la muhimu ni kujadili alichokiongea Sugu. Sasa wengi humu tunazidi kujadili mtu badala ya hoja.
Kuna tangazo la Guinness huwa linasema ''THERE'S A DROP OF GREATNESS IN EVERY MAN''

Nadhani tuanzie hapo na tukumbuke kuwa kila kitu uwa kina mwanzo. na ndo maana wakina Zitto wanakazania hata kazi za wasanii wetu zisambazwe na Posta na ziwekwe sticker za TRA ili mapato ya kodi yapatikane. Sasa mtu akija kulalamika eti kwa nini hawakuanza enzi za wakina Complex na uswahilini matola ntaona kuwa mtizamo wake ni wa kuzimu

umeona eeh, yaani watu wameiacha topic kabisa. Hawajui hata mtu anaeonekana si mwerevu machoni pa wengi anaweza kuwa na mawazo mazuri na yule mwerevu anaweza toa pumba.
Back to topic, wazo la kukatwa kodi wasanii wakipiga show kwetu lifanyiwe kazi.
 
mr 2 anataka kujifananisha na rick ross. wakati anafahamu kabisa tofauti iliyopo kati ya concert zake yeye za kwenye vi pub marekani na hela yenyewe inaishia mfukuno na kwenda kununua used car . na rick ross. tena mwenzake serikali inamtambua na inamlinda akija hapa hadi ubalozi wake unapata taarifa. na ana bima . mr 2 acha wivu na chuki kwa clouds waliomleta .
kama mkulima muuza machungwa wa muheza.lushoto na kwingineko analipa kodi kwani huyo madevu the boss.,asilipe kodi?! Sugu yupo sahihi kwa wazo lake ,nyie kwa ulimbukeni wenu wa kubabaikia vya marekani basi mnasapoti kila kitu.
 
Ndiyo huyu Mbunge amenena, lakini nchi hii wageni huwa hawahusiki na kulipa kodi, labda kwa zile zinazoingiza ktk account zao Uswiss na kwingineko
 
Tusilaumu tu hao watu wa nje kutokutoa kodi, maana mfumo mzima wa kutoa/kufuatilia kodi ni mbovi nchini. Wengi wa wafanya biashara na wanamuziki wa nchini wanataoa kodi inavyotakiwa? ...hao wabunge nao hatuna uhakika kama wanalipa kodi ipaswavyo, wana miradi mingi, magari ya kifahari...je wanalipa kodi?

Nchi za nje wanakatwa wananchi wao na wageni kodi kwa sababu mfumo wao si rahisi kukwepa, ila kwetu sisi ni rahisi sana kukwepa kodi bila TRA kukufuatilia/kufahamu.
 
mazee mbona mnashambulia mtu badala ya kuangalia uzito wa hoja aliyotoa,
hata kama yeye hajawahi kulipa kodi lakini ameona eneo ambalo serikali yetu inapoteza kodi,
jinsi ambavyo wafanyakazi tumebebeshwa zigo la kodi wakati kuna maeneo mmbadala kama hayo,
je sugu kakosea nini kushauri?
 
Nasikitika kuwaambia kesha sepa na hajalipa kodi.
Labda akija next time
 
Kwenye ukurasa wake wa Facebook kaandika hivi RICKY ROSS ANAKUJA,SAWA HAINA SHIDA...ILA TUNATAKA KUJUA AMELIPWA KIASI GANI NA ATAKATWA KIASI GANI KIBAKI KWENYE KODI YA TAIFA LETU KAMA AMBAVYO MIMI NIKIENDA KUFANYA SHOW/CONCERT MAREKANI NAKATWA KODI NA SERIKALI YAO...

Point,Nafikiri Kamishna wa TRA ameshapata ujumbe huo tunaomba alifanyie kazi haraka.
 
Nilivyosikia Mzee Mtikila akisama "saa ya ukombozi ni sasa" nikadhani ilikuwa karibu sana lakini tangia wakati huo mpaka sasa imekuwa ngumu sana kuwakomboa Watanzania maana hata pale ukweli unapowekwa wazi wanasita kuukubali!
Hebu angalia comments za hawa Watanzania wenzetu wanavyoiangalia hoja ya Mh. Mbilinyi na baadhi ya hizi comments! (hiyo yenye red inakuwa kama angalizo).
Kweli kama mmeshindwa kumuelewa katika suala hili mtamuelewa wapi!??? Pia binafsi nilishaamini kuwa watu tuliopo hapa jf hata kama tunakuwa na uelewa mdogo lakini tunajitahidi kuwa watu wenye kufikiri, ila kama mambo ndio haya basi safari ya kuikomboa hii nchi bado ni ndefu.
Walaaniwe wote na hasa viongozi waliochangia na wanaoendelea kuchangia kudumaza akili zetu
Kwel TZ dhaifu kuanzia juu mpaka chin....Sugu kaweka mada sensitive sana afu mtu anakuja na ushabiki wa ajabu kweli....dah bas bhana! But we need changes in our thinking!
Kaka Sugu,sio mara moja kufika hao jamaa wa mamtoni .lkn baada ya bifu yako na Guge umekua ukikomalia sana ishu zake,hiv hamja maliza bifu lenu tu? Wakati mupo washkaji hukuyasema au ndo mke mukiachana ndio unamtangazia kuwa kikojozi?noma!
Huyu sugu apunguze roho ya kwanini.. ajue pesa anayolipwa ili iweje??!
Hili jamaa bana sijui likoje..yaaani yeye kila siku makelele tu na clouds..
Hapa ni sawa na ku-compare maembe na machungwa. Tanzania siyo Marekani. Halafu usishangae Rick Ross keshalipwa in full mshiko wake kabla hajatia mguu Bongo kupitia transactions za benki za Marekani.
Isitoshe bila shaka Rick Ross atalipa kodi ya mapato ya Marekani kutokana na hii concert, jee Sugu alishawahi kulipa "kodi ya taifa letu" baada ya kufanya show Marekani?
mr 2 anataka kujifananisha na rick ross. wakati anafahamu kabisa tofauti iliyopo kati ya concert zake yeye za kwenye vi pub marekani na hela yenyewe inaishia mfukuno na kwenda kununua used car . na rick ross. tena mwenzake serikali inamtambua na inamlinda akija hapa hadi ubalozi wake unapata taarifa. na ana bima . mr 2 acha wivu na chuki kwa clouds waliomleta .
 
......nasikitika kuona we mpaka sasa bado unashindwa kujitambua, show ni kitu gani bwana zaidi ya pato la taifa: Sugu ametukumbuka tunaka kuona kiasi atakacho katwa Rick Ross kama Kodi kwa kufanya biashara/kazi nchini.

Ndio narudia Sugu achana na Rick Ross na uwafuatilie kina Mwasiti, Dayna, Fid Q, Quick Rokar, Country Boy, Darasa, Sheta, Mabeste, Juma Nature, Nuru, Ommy Dimpoz, Diamond.......

wamelipa kodi kiasi gani hawa?
 
isije ikawa na wewe ni miongoni mwa wale waliolemazwa na misaada kiasi cha kufikia kuamini kuwa ndio suluhu ya matatizo yetu na ni lazima rais asafili kuiomba. Kwa taarifa ni kuwa wanaotupa misaada wamefikia hata hatua ya kuwatoza makahaba (!!!) kodi nasi tunashindwa kumuunga mkono mtu anayetetea kodi iliyo wazi na halali kama hii.
Kwani wabunge walivyokuwa wanaongelea usimamizi wa kazi za wasanii na kuziwekea stickers za TRA wewe ulidhani walikusudia nini!?
Tambua nafasi yako kama mwananchi mzalendo

Kwa nini uzalendo usianzie na kuwatoza kodi wasanii wa ndani badala ya kumng'ang'ania mnyamwezi ambaye anakuja dar mara moja kwa mwaka?
 
Back
Top Bottom