TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 24,919
- 11,320
agreed mkuu ila picha tulizoona hazijengi sana kwani audience ninayoiona ni less than 10 peopleya kujenga chama vijijini, kwani kama unafuatilia, CDM hufanya vizuri mijini huku vijijini wakiangukia pua. sasa yeye ameenda kutangaza sera za chama vijijini, wanazengo waielewe. nasisitiza kazi nzuri ameifanya
msome mtamaholo