Mbunge huyu wa CHADEMA azidi kuimaliza CCM huko Iringa vijijini

mh ila kweli jaman yule mchungaji peter msigwa yeye ndie alitakiwa awe mstari wa mbele ila mpaka leo huyu mama ndio anang'ara iringa mi nadhan 2015 huyu mama ajaribu kusimama kwa lukuvi (ISMANI) atashinda tu kule coz sahizi chiku abwao ni mbunge wakuteuliwa so nafananisha safari yake na kamanda,mheshiwa Bi.halima mdee...... MTAZAMO WANGU.
 
ccm inabomolewa na kuelimisha wana nnchi hayo masipika nikutangazia ujumbe/elimu nahiyo suzuki inamuwezesha kuwafikia watu huko vijijini nakutowa elimu

haina gharama za kiuendeshaji kama hiyo migari wanyopenda wahindi-nissan/landcruiser vx
 
..Kwenye kumwaga Mijihela hapo ndio pananipa utata..na hata hao wapokeaji walivyokaa mkao wa kusubiri!!..Anyway..Siasa si hasa!!

Hapo ulipoweka red mwenyewe umepasoma vizuri?au ulikuwa unaweka urembo tu?any way inawezekana uelewa wako ni mdogo,au huwa unapitisha macho tu badala ya kusoma.
 
mbona roho inaniambia kuwa pilitiki ndo huyo mbunge!!!!

Kila wakati tunarudia kosa lile lile; badala ya kujadili hoja tunajadili watu. Suala kwamba nani ka-post lina umuhimu kweli? Muhimu ni hoja iliyopo mezani hata kama "umegundua" ka-post Chiku Abwao mwenyewe!
 
cha msingi ni what mama is doing for CDM, hayo mengine ya alivovaa, anavyoonekana kwenye picha, kizuzuki anachotumia nk hayana tija. Hapo hagawi pesa bali anauza uniform za CDM ile pesa kidogo itakayopatikana itumike kuimarisha chama katika ngazi ya kata.

Yes, i agree " Botton - Top approach" imetumia mama, mwendo mdundo.
 
haina gharama za kiuendeshaji kama hiyo migari wanyopenda wahindi-nissan/landcruiser vx
Duh! Humu ndani watu mmejaa ushabiki kweli. Huyu mama ana VX Land Cruiser Mbili moja Mpya nyeupe na nyingine Dark Blue na hata huko alikwenda na VX lake ila alipotaka kupiga Picha ndiyo hivyo tena akatumia usanii wa kupigia picha kwenye hako ka- Suzuki ili aonekane "mpiganaji" na mzalendo kama Nyerere.

Kama Chiku hakuwa na VX lake kwenye shughuli hiyo aliyeweka bango aje atuambie. Na wengine wetu tumeshasahau kwamba huyu dada alishawahi kufanya kazi karibu na Mrema kwa hiyo hayo ya kusukumana kwenye magari ni aina yao ya "siasa"
 
We Abwao ni Mwanasiasa machachari wa siku nyingi na CCM wanamwogopa sana. Ndio waanzilishi wa Upinzani Tanzania ila tu hakuwa mweupe hivyo sijui CDM wanampa nini siku hizi maana ngozi yake imekuwa kama ya Marehemu TX-Moshi William!

Hakuna wataalam wa ngozi huko CDM! maana afya ya viongozi wetu pia ingepewa kipaumbele kwanza ili waweze kutuhudumia miaka mingi na kwa nguvu zaidi.
 
Dada huyu kwa Korogo maana ukisema mkorogo utakuwa umeushusha hadhi, hawezekani.
 
Back
Top Bottom