Mbunge huyu wa CHADEMA azidi kuimaliza CCM huko Iringa vijijini

ya kujenga chama vijijini, kwani kama unafuatilia, CDM hufanya vizuri mijini huku vijijini wakiangukia pua. sasa yeye ameenda kutangaza sera za chama vijijini, wanazengo waielewe. nasisitiza kazi nzuri ameifanya
agreed mkuu ila picha tulizoona hazijengi sana kwani audience ninayoiona ni less than 10 people

msome mtamaholo
 
picha hazimpambi huyu mama, kwanza zinaonyeshwa anasukumwa kwenye gari (mrema, jairo), anagawa pesa (JK na wenzake), very minimal audience (nape), mkorogu umedunda (Anne Kilango malecela)

Lets share her success na sio picha ambazo ziko kama amepiga John Guninita

Hivi MTM umewahi kukaa na kujiuliza kwa nini dada zetu wanatumia mkoroga?
from marxist point of view, kila kitu ni zao la jamii. Na jamii inaweza kuamua vitu hivyo viwepo au visiwepo.
Wanaume wengi wameonesha waziwazi kuwapenda zaidi wanawake weupe. Hivyo, mwanamke mweusi, hujitahidi katika kuhakikisha kumpata mwanamme anaweka mazingira yale yatakayo muuza kirahisi.

ikumbukwe kuwa, tangu mwanamke kuasi na kufuata maelekezo ya nyoka(shetani) alilaniwa kuwa na tamaa zaidi kwa mwanaume, means anaweza fanya lolote lile hata kujidhuru ili mwanaume ampende. Maeneo ya usukumani, wazazi wakizaa mtoto wa kike cheupe, wanaanza kutabiri idadi ya ngo'mbe watakazopata atakapovunja ungo. na kweli wapenda cheupe wataanza kujipendekeza kwa familia hiyo, ikiwezekana na kutoa mahali kabisa wakati ndo kwanza katimiza mwaka mmoja binti huyo.

Nina imani kuwa, wanaumme tukisimama na kuwapenda wanawake weusi, hawa waliojikoboa watajipaka hata oil chafu ili wawe weusi, wauzike.
 
mtamaholo

wewe ni muungwana na nimekusoma... iwapo sisi wanaJF tungekua kama wewe, basi tungekua mbali sana

Nimeheshimu sana ushauri wako na kuukubali kabisa, pamoja na hayo nadhani sisi tusioishi iringa ni vyema tukaona madawati, matrekta, vocha za mbolea hazijaibiwa, mipango ya maendeleo iko wilayani na pia mihutasari ya vijiji inafanyiwa kazi vyema

You have earned my reputation and i pray that you live long to realise our dream

pamoja sana brother
 
mkuu uko vyema

yani umerudia tena post yangu

I salute u

take it from me... i took the post kisiasa ila umeniweka sawa
 
Vema sanaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!! Kwa kweli wabunge wetu wengine CDM, njia sahihi ndio hii hapa ya Kamanda Chiku huko Iringa.

isiwe kwa walio wabunge tu, hata wale waliosimama wakati wa uchaguzi 2010 wakashindwa, waanze mikakati ya kujijenga huko vijijini na si waliogombea tu, bali hata wenye mapenzi mema na mabadiliko ndani ya nchi yetu, tupatapo nafasi tutangaze sera mbadala kwa wanakijiji, nadhani unaweza kwenda kule huna kitu lakini kuna watu utawakuta wana nia ya kubadilika watachanga michango ya kusimamisha ofisi za chama huko.
 
mkuu uko vyema

yani umerudia tena post yangu

I salute u

take it from me... i took the post kisiasa ila umeniweka sawa

kaka nimekusoma. na huu ndio uungwana, nikuhakikishie tu kwamba kila mtu ana mawazo yake. kutofautiana kimawazo ni mwanzo wa kupata elimu na maarifa zaidi.

MTM nakufahamu hapa JF, uliandika vile ili kujaribu kuibua mjadala na kuangalia kama watu wanafikiri kweli au ndo ushabiki mbele.
mwanzoni nilitaka nikujibu, TEGEMEA KUTUKANWA NA WADAU. Lkn nikatafakari nikaahirisha kuandika vile, nikaanza kuandika kile kinachoonesha japo kufikiri kidogo.
nashukuru tumeelewana na hatujazua mjadala na wana JF labda mpaka Mwita2005, Rejao, Rtz, Faiza foxy na wengine. wanaweza kubadili trend ya thread hii kabisa.
 
agreed mkuu ila picha tulizoona hazijengi sana kwani audience ninayoiona ni less than 10 people

msome mtamaholo

Mkuu usisumbuke sana na idadi ya watu, kazi ni kubwa sana kuieneza Chadema hasa vijijin ukizingatia propaganda za ccm kuwa upinzani ni vurugu na vita! Taratibu dawa itaendelea kuingia!
 
Well done Chiku,

Huu moto unatakiwa usambae nchi nzima kwa maana ya kila mkoa,wilaya,kata,vijiji na vitongoji. Hii itakuwa ni kete nzuri sana kwa CHADEMA kabla ya kuingia kwenye uchaguzi mkuu wa 2015.

Tunaomba uongozi wa juu wa CDM ulione hili na ulifanyie kazi haraka iwezekanavyo ili mwaka 2015 Chama cha Wanamagamba kikae pembeni maaana tumeshachoshwa na SIASA ZAO UCHWARA.

Big up Chiku Abwao.
 
mtamaholo

wewe ni muungwana na nimekusoma... iwapo sisi wanaJF tungekua kama wewe, basi tungekua mbali sana

Nimeheshimu sana ushauri wako na kuukubali kabisa, pamoja na hayo nadhani sisi tusioishi iringa ni vyema tukaona madawati, matrekta, vocha za mbolea hazijaibiwa, mipango ya maendeleo iko wilayani na pia mihutasari ya vijiji inafanyiwa kazi vyema

You have earned my reputation and i pray that you live long to realise our dream

Pongezi kwa hekima kutowa maoni na kupokea umeonyesha ukomavu
 
picha hazimpambi huyu mama, kwanza zinaonyeshwa anasukumwa kwenye gari (mrema, jairo), anagawa pesa (JK na wenzake), very minimal audience (nape), mkorogu umedunda (Anne Kilango malecela)

Lets share her success na sio picha ambazo ziko kama amepiga John Guninita
jamani iacheni suzuki ichane mbuga vijijini kupeleka ujumbe wa ukombozi wa chadema na siyo kuangalia mtu amevaa nini au amejipaka nini hiyo sio muhimu. kuhusu audience hiyo siyo hoja hata nyerere alianza na watu wachache kabla ya kupata wengi kwahiyo kwetu sisi hata kama akiweza kumbadili akili mwanakijiji mmoja kwetu ni faida kwani moto siku unahanza na kijiti kimoja mpaka unaangusha msitu mzima.
 
Yule mchungaji Msigwa amesinzia sana
Jimbo la Iringa mjini bora angesimamishwa huyu mama.
 
Ngoja Mwenezi azipate hizi taarifa - wiki ijayo tu, anapeleka kikosi kazi yaani Origino Ze komedi na TOT kuibomoa kambi yote ya CDM.
 
Back
Top Bottom