Mnamwonea. Ni mahakama pekee yenye mamlaka kusema mtu ni mwizi. Kwa kweli kwa wamama wa viti maalum ni mmoja wa wanaoonekana wapo.
Ni juma la pili sasa Mbunge wa viti Maalum kutoka Mbeya Dr.Mary Mwanjelwa akijaribu kutafuta "Media Attention"toka kwenye Runinga,Magazeti na sasa kwenye blogs juu ya michango anayotoa kwa jamii mara yupo Hospitali akitoa magodoro mara sijui anasalimiana na nani,mara anatembelea wafungwa hivi nini hasa anataka kutuonyesha kuwa yeye anajali sana jamii au anampango wa kujizolea umaarufu wa kisiasa ili aonekane anafaa kwa cheo fulani!Yatosha tu kujitolea kimya kimya sio mpaka uwe na misururu merefu pamoja na waandishi wa habari kila upitapo hebu tumia elimu yako vizuri na sio kujitafutia umaarufu kwa njia hii

Alikiri mwenyewe na kuomba asamehewe kwani "alipitiwana shetani" tu ingawa ilikuwa mara ya pili na walimaliza nje ya mahakama. so its confirmed ni mwizi!
Ni juma la pili sasa Mbunge wa viti Maalum kutoka Mbeya Dr.Mary Mwanjelwa akijaribu kutafuta "Media Attention"toka kwenye Runinga,Magazeti na sasa kwenye blogs juu ya michango anayotoa kwa jamii mara yupo Hospitali akitoa magodoro mara sijui anasalimiana na nani,mara anatembelea wafungwa hivi nini hasa anataka kutuonyesha kuwa yeye anajali sana jamii au anampango wa kujizolea umaarufu wa kisiasa ili aonekane anafaa kwa cheo fulani!Yatosha tu kujitolea kimya kimya sio mpaka uwe na misururu merefu pamoja na waandishi wa habari kila upitapo hebu tumia elimu yako vizuri na sio kujitafutia umaarufu kwa njia hii
anampango wa kugombea ubunge kutipia ccm hajui kuwa MWAN'GONDA bado ana nguvu ktk jimbo la Mbeya ndani ya CCM
huyu ni mbunge wa viti maalum Mbeya, ila cha zaid ni mke wa MSHUA (JK) usikute katumwa na mzee ajionyeshe ili akimpa uwaziri msishangae?jamani wengine hatumjui, anatoka chama gani?