Mbunge huyu anatafuta nini?

Like mother like daughter, Mnamkumbuka Sofia Mwanjelwa wa Maquis na wimbo wake JANE....

Hivi nataka kuuliza hivi ukitaka ubunge ni lazima utoe msaada kwa future Voters wako. Kwani sio RUSHA in Adance.

Ni TABIA MWANJELWA si Sofia.
 
huyu ni mbunge wa viti maalum Mbeya, ila cha zaid ni mke wa MSHUA (JK) usikute katumwa na mzee ajionyeshe ili akimpa uwaziri msishangae?
Aah! Huyu ni mke wa rafiki yangu Mr Machuche. JK pamoja na afya kuwa mgogoro atammudu mama huyu kweli?
 
Kwa taarifa yenu huyu binti angelitaka jimbo la mbeya mjini angeisha libeba toka long time kitambo mdada wa ukweli kwa sisi wana mbeya tuna m solute!
 
kila anaye fanikiwa mke wa mshua? basi mshua anao wengi hadi wa cdm ni mshua kawavusha? ivi mama hajulikani?
 
Ivi kwa mbunge ambaye kila kukicha anapigiwa kelele kuwa analipwa pesa nyingi za walipa kodi anaweza kuiba taulo? acheni siasa zenu za chuki, kwanza mataulo siyanauzwa hadi 1500? au mna lenu jambo semeni wana bidii tuwajadili.
 
Jimbo si mali ya mtu binasi na wala hajavunja katiba kutoa hiyo misaada, hebu anagalu kidogo tuwe tunaona hata mema wayafanyayo na wengine, si anapata posho ya kutosha na hana jimbo la uwakilishi basi muacheni atumie posho yake! Sugu wala usitishike sana wewe kazania mipango yako ya maendeleo kwa wana Mbeya na uwaoneshe kweli ulistahili!
 
Kweli hakuna jema kwa mwana damu mtu kutoa msaada ni kosa? kwani akionekana kwenye media ni tatizo? au akionekana misaada ile inapotea? usimhukumu mtu Waheshimiwa wengine wanapewa ufadhili na watu sasa isipo ruka kwenye media wanaweza kuhis umekula? ivi bila media nanbi angemjua dr, slaa ambaye leo hii ni tumaini la wengi! ikumbukwe ni wengi wamemfahamu kupitia hoja zake through media>
 
Jamani Ivi mtu anapo tekeleza yale aliyo yaahidi ni kujikosha? acheni bwana, Sisy big up usirudi nyuma hayo ni mavuvuzela
 
Wana bidii mmenikumbusha hadithi ya kwenye Bible Musa aliinuliwa na Mungu hivyo nafananisha na Mhe, Mwanjelwa alivyo inuliwa na wakina mama wa Mbeya kwa kupewa uwakilishi hawezi kuondolewa kwa maneno ya kwenye mtandao. IT CAN BE DONE PLEY YOUR PART MY SISTER.
BIG UP SISTER
 
Mhe Mwanjelwa kaza buti. mti wenye matunda ndio unao bondwa mawe. ivi asnaye tumia media ni huyu huyu tu, magazeti yote yanajaa habari zake? achani MAJUNGU
 
Dada kaza buti usirudi nyuma haya ndio mavuvuzela hayataki Mbeya tuendelee BIG UY DADA
 
Huyu dada angelitaka jimbo angeisha lichukua kitambo sana, kwani huyu Mrembo ndiye anaye kubalika hapa MJINI.
 
kaza buti DADA wana Mbeya tuna IMANI na wewe, hao wanao kuponda ni watu wasio na mapenzi mema na Mbeya yetu.
BIG UP sana
 
Kwa taarifa yenu huyu binti angelitaka jimbo la mbeya mjini angeisha libeba toka long time kitambo mdada wa ukweli kwa sisi wana mbeya tuna m solute!
kwa ....,..........sio uongozi.hata ndani ya ccm,ni rushwa tu,walikuwepo bora kuliko yeye.
 
Back
Top Bottom