Uwezo Tunao
JF-Expert Member
- Nov 14, 2010
- 6,942
- 1,190
Posho Mpya haikubaliki hata ingepata utetezi toka mbinguni!!!!
Kwa akili zao wanadhani hao wanaokwenda kuwaomba msaada ndio watu pekee wenye shida katika majimbo yao! Hivi kila mwenye shida ya kifedha angeamka na kwenda kuomba msaada kwa mbunge wake hizo posho zao hata zingeongezwa kwa asilimia 300% zingetosha kweli! Mbunge wa CHADEMA akiongea upupu kama huo ananisikitisha sana! Hawakuchanguliwa ili wawe wanawasaidia wananchi pesa zao za posho!
source: Habari leo.
Hela yenyewe ya ubunge mbona sio ndefu kiivyo,labda kama una ishu zako zingine,...mshahara take home kilo 8!?
Ukiisoma hiyo habari jinsi ilivyoandikwa na habari leo unaona kabisa kwamba imetiwa chumvi kwa malengo maalum.
Nilichokiona hapo ni kwamba mbunge alikuwa anajaribu kuwapooza madiwani ili wasione kama posho wanazolipwa ni kubwa sana ndipo akafikia hata kuelezea anavyoendesha maisha kwa kutegemea kilimo cha vitunguu badala ya malipo ya ubunge.
Lakini kwakuwa gazeti la serikali linapenda kuchonganisha wabunge wa chadema, basi wakaamua kutia chumvi.
Ninaweza kuiamini habari kama hii kama itakuwa imeripotiwa na gazeti jingine kabisa kama mwananchi ama kukiwepo na picha ya video. Kwakuwa hii habari bado ni tetesi basi kunahitajika ushahidi ili ithibitike na tuweze kumhukumu kwa haki mbunge!
Mkuu, hata uandike maneno gani ukweli utabaki kuwa ukweli tu..
Mbunge wa Chadema posho mpya!
Kama aligombea ubunge kwasababu ya mshahara, then tatizo ni lake, maybe angeacha unbunge alime na nyanya kabisa."Ukifika nyumbani kwangu sina lolote zaidi ya kukutana na harufu kali ya vitunguu, huwezi
kuamini kama ni nyumba ya mbunge wenu.
Kazi kweli kweli, siku hizi uongozi is all about posho tu, and not about what you do for the people who elected you to the office!Madiwani wakaza uzi Hata hivyo madiwani hao bila kuuma uma maneno, walimtaka mbunge huyo akienda bungeni atoe shilingi kwenye mshahara wa waziri husika akishinikiza posho za madiwani ziboreshwe
kwa siku kama posho ya kikao mbali na 80,000/= ya perdiem na 50,000/= ya wese wanapokuwa mjengoni yote hii ikiwapa ulaji wa Tshs.330,000/= kwa siku moja!
Peleka masaburi huko
Huu msimamo wa cdm kuhusu posho, unaonyesha c wabunge wa cdm wamekubalian nao! Utakuwa ni msimamo wa baadhi wa viongozi wa juu wa cdm. Wapo wengi wabunge ndan ya cdm wanapenda posho iongezwe, ila wanaogopa kuongea! Siasa bwama mhhh