Mbunge asema sheria ya ndoa ibadilishwe ili watoto waolewe, Je ni mawazo yake au katumwa?

Heshima kwako Mkandara.

Leo nimejifunza jambo kubwa sana na pengine ni vizuri wakawepo waIslam wenye mtazamo na uwezo kama wako kwa faida ya jamii yetu.Hakika kabla sijasoma andiko lako nilikuwa najua uIslam unaruhusu ndao ya wasichana wadogo 9 years ......Jana niliposoma hoja za mheshimiwa nilijua anatetea mafundisho ya dini yake.

The Quran does not state a specific legal age of marriage, however it does give a guideline and mentions situations and conditions that should be considered before marriage:

  • Determining mutual attraction/compatibility [2:221, 2:235, 30:21, 33:52]
  • Ascertaining whether the potential partner is of similar beliefs/faith [2:221, 60:10]
  • Discussion of and agreeing to the level of dower and other terms (if any) [4:4, 4:24]
  • Understanding and mutual acceptance of marriage as a solemn/strong oath/contract [4:21, 2:232, 2:237, 24:33]
  • If male, capable of providing for the family/household [2:228, 2:233, 4:34, 65:6]
  • To have physically matured / post-puberty [4:6, 24:31, 24:58-59]
 
hawa wawakilish wa zanzibar ni bure kabisa wanawaza kuoa vibint vidogo na kutoa talaka wakielezwa mambo ya muhimu kuhusu katiba na muungano wanaishia kutukana.
Utamaduni wa Zanzibar ni tofauti sana na Watanganyika hivyo haishangazi kuona kwamba tunamitazamo tofauti kuhusu maisha yetu. Huu uwakikishi wa zanzibar kwenye Bunge la muungano uangaliwe upya unatuchanganya na huu si uchochezi kama Celina Kombani anavyofikiria.
 
Huyo mbunge kuna katoto anakamendea tena huko huko Dodoma sasa anaanza kujidefence mapemaaaaaaaa,, naomba vyombo vyas uslama vimfuatilie huyo mbunge mwehu
 
Heshima kwako Mkandara.

Leo nimejifunza jambo kubwa sana na pengine ni vizuri wakawepo waIslam wenye mtazamo na uwezo kama wako kwa faida ya jamii yetu.Hakika kabla sijasoma andiko lako nilikuwa najua uIslam unaruhusu ndao ya wasichana wadogo 9 years ......Jana niliposoma hoja za mheshimiwa nilijua anatetea mafundisho ya dini yake.

The Quran does not state a specific legal age of marriage, however it does give a guideline and mentions situations and conditions that should be considered before marriage:

  • Determining mutual attraction/compatibility [2:221, 2:235, 30:21, 33:52]
  • Ascertaining whether the potential partner is of similar beliefs/faith [2:221, 60:10]
  • Discussion of and agreeing to the level of dower and other terms (if any) [4:4, 4:24]
  • Understanding and mutual acceptance of marriage as a solemn/strong oath/contract [4:21, 2:232, 2:237, 24:33]
  • If male, capable of providing for the family/household [2:228, 2:233, 4:34, 65:6]
  • To have physically matured / post-puberty [4:6, 24:31, 24:58-59]
Ulikuwa unataka kusema nini? maana hueleweki.
 
Naomba wanazuoni wa kiislamu wanielimishe kama kweli huo ndio msimamo wao kabla sijachangia.
Kama sio dini inavyoelekeza JE,ni msimamo wa Zanzibar?
Kama sio msimamo wa Zanzibar je ni wa chama anachokiwakilisha?
 
Na jee umeshafikiria watoto wa umri huohuo na madarasa hayohayo wanaotiwa mimba bila kuolewa inakuwaje?

Wanaume waliowatia mimba watafungwa 30yrs kwa kubaka mtoto. Na yeye akabakwe huko gerezani. Na ingetokea kama Saudi au Iran, natumaini huyu mwanaume ange hasiwa asirudie tena.

Which is what this Mwakilishi wa Zanzibar angejaribu kutilia maanani wakati ana tetea Sharia Law. Angetumia mfano: Wabakaji wa watoto wahasiwe! Ningeunga mkono Sharia Law 100%.
 
Ndugu zangu waislam huwa wanalalamika kuwa wakristo wanapendelewa katika masuala ya maendeleo, mfano shule, ajira n.k.! Hivi kwa hii hoja ya huyu mbunge (sijui ni wa chama gani) kuna mtoto wa kike wa kiislamu anayeweza kufanya maendeleo yoyote? Mbona tunataka kurudishana nyuma jamani?
<br /> <br / wazanzibari wanawaza kuoa/kuolewa na kutoa talaka swala la elimu na umri kwa kuolewa kwao halina umuhimu wwt mradi wapate tende na halua za msaada tk oman, sipendi ubaguzi wa dini wala kabila ila wazanzibari hapana
 
KUMBE NDO MANA PANDE YA PILI % KUBWA NI VILAZA WAPEMBA WANAZAA ASUBUHI MCHANA NA JIONI,TENA WAKIWA NA UMRI MDOGO MNO! BADO WANATUMIA WAKUNGA WA JADi MAENDELEO HAKUNA, KISA WATOTO WANAPIGWA NDOA FASTA KWAHIYO SHUGHULI ZA MAENDELEO NDO BASI !!! KAZI NGONO MIMBA NA WATOTO teeele WACHAFUUU,ACHENI UTANI WAPEMBA WACHAFU SANA!ILA SIWALAUM ATAPATA WAPi MDA WA HATA KUDEKI? USIKU ANAKESHA NA KILA MARA WANA HOMA AJILI YA MIMBA CHANGA? AIBU ZENU AF JITU LINASMAMA KADAMNASINI LINAOMBA NYONGEZA ILI LIzidi kuoa crap
 
watu wanafikiria kuongeza umri wa kuolewa yeye anataka kupunguza......huwez kusingizia dini kwa upuuzi kama huu wakati mwingine unatakiwa kutumia akili yako kufikir badala ya kukomaa na ujinga na kusingizia dini
 
Mkandara kwa mara nyingine tena, elewa msingi wa hoja ni kwamba mbunge anataka ikubalike (kisheria) kwa mtoto wa kike kuolewa mara tu anapofunja ungo. Hivyo hivyo kwa mtoto wa kiume ikubalike (kisheria) kuoa mara anapobalehe. Na basis ya hoja yake ni kwenye sheria za kiislam. Now, kwenye majibu yangu ningependa niamini nilieza vizuri kabisa kuwa kwa siku hizi watoto wa kike wanavunja ungo wakiwa na umri wa miaka 10-12. Je, ni halali kumuoza mtoto katika umri huu kwa kisingizio cha dini? I am basing my argument kwenye haki za msingi za mtoto na madhara ya kiafya na pyscholgical effect.

Hata hivyo, ningetaka kukumbusha kuwa vitabu vya dini i.e Biblia, Koran na hata Tora (kwa wayahudi) viliandikwa miaka zaidi ya elfu moja iliyopita. Na viliandikwa katika mazingira (context) ya nyakati hizo. Hivyo ni busara wakati tunaposoma hivyo vitabu sasa, tusome with TIME REFERENCE. Miaka elfu moja iliyopita watu hawakuwa na saa, waliangalia jua kujua ni saa ngapi. Na hivyo hivyo, miaka elfu moja iliyopita mwanadamu hakuwa na ufahamu/uelewa katika mambo mbalimbali ya afya, hata asprin haikuwepo, watu walitumia miti shamba. Vile vile miaka elfu moja iliyopota watu hawakuwa na ufahamu reproductive health & madhara yatokanayo na early marriges. Na hapa ndio msingi wa hoja yangu kwamba elimu inatusadiai sisi binadamu kuboresha maisha.

Kumbuka ukishatambua kisheria ndoa kwa kigezo cha kuvunja ungo au kubalehe itakuwa vigumu sana kupambana na ubakaji wa watoto. Miaka 10,11, 12, 13 hawa ni watoto kabisa. Lakini kama kisheria kuna mtu kaoa mtoto katika hilo kundi na ikathibitika kuwa mtoto huyo alishavunja ungo then utamshitaki kwa kigezo gani? Na hata kama kuna watoto ambao hawaendi shule hivi jibu ndoa. Akose elimu, akose pia haki yake ya kuuamua ni nani na wakati gani aolewe? Jamii gani katili hivi?

Kwa bahati nzuri, kazi ninazofanya zinanikutanisha directly na wahanga wa haya madudu - yaani watoto wadogo walifikwa na huu unyama, so, I know what I am talking about. It is heart breaking kusikia mateso waliyopata. Ukiwatizama machoni unaweza kuhisi HOFU waliyokwisha pata. Total horror! Victim wa mwisho mimi kuongea nae (miezi michache iliyopita) ilichukuwa 'eternity' kwa huyu binti kusema yaliyomsibu. Aligeuzwa sex slave at the tender age of 9! Sijui unaishi wapi Mkandara, huko Arumeru kuna binti wa miaka 11 kajifungua mtoto! (Miaka 11! she is now a mother). Aliolewa akiwa na miaka 10! Anashindwa hata kumbeba mtoto maana yeye mwenyewe ni mtoto. Na mume wake ana zaidi ya miaka 30. Mama wa huyu binti (binti wa miaka 11) hakuwa na sauti na ukongea naye huyu mama ni kama yuko kwenye msiba anaombeleza. Mara nyingi kwenye hizi 'barter trade' za kuuza watoto kwa hivi vigezo vya kupuuzi hufanywa na baba na huyo mume mtarajiwa. Ukipata nafasi tembelea CCBRT ukutane na wanawake wanaofanyiwa operation ya FISTULA. Hautapoteza muda kuuliza Hansard! Ninochosema hapa ni kimoja, kutumia 'kuvunja ungo' kama kigezo cha mtoto wa kike kuoza na UBAKAJI. full-stop

Hoja yako nyingine ya UMALAYA. Hivi unataka kusema umalaya upo kwa sababu umri wa kuoa na kuelewa uko juu sana? Kwa hiyo kama maoni ya huyu mbunge ya kutumia kanuni za ujima zitakubalika basi UMALAYA utaisha? Hivi una habari UMALAYA upo hata kwa wanandoa? Wengine wanaita 'adultery'. Mtu mzima (sio mtoto) kuamua kuuza mwili wake for whatever purposes, hilo shauri lake na mungu wake, ninachopinga ni kwa watu wazima 'KUMUUALIA na hata KUMLAZIMISHA' mtoto aolewe. Kwa nini hawa watoto wasiachwe wakue wafanye maamuzi wao wenyewe? Pia kwa sababu UMALAYA upo basi tujikite kwenye kutatua umalaya na hili la watoto wadogo kuolewa liachwe? Hii sio sahihi hata kidogo.

Soma nilichoandika kwa makini sana, kisha pima halafu elezea hoja inayopingana na hoja zangu sii kukurupuka na kunipa case isiyonihusu. Halafu wewe unazungumzia maswala ya kujamihiana na sii swala la ndoa kwa sababu sioni sababu ya mtoto wa miaka 10 KUINGILIWA na mtu wa miaka 30 inaingia vipi ktk mada hii kama sii fikra za kijinga kuhusiana na mnavyofundishwa kuhusu Uislaam.

Mada nzima inazungumzia mtoto wa kike kuolewa anapovunja ungo hakuna mahala miaka imekuwa issue isipokuwa mloichagua nyie ndio mmekuja na haya ya watoto miaka 10 ati siku hizi watoto huvunja ungo kwa hiyo walindwe wasiolewe lakini sioni mahala mnawalinda wasitembee kupata mimba au kufanya Umalaya! Licha ya hivyo mtoto wa kike akishavunja ungo huitwa MSICHANA hili la utoto tuliache pembeni..Je, anaweza kuolewa?...

Nimesema ya kwamba njooni na solution ya kuwasaidia hawa watoto sio kupinga tu ili mradi unapinga ati Uovu ni uovu ili hali ni nyie wanaume mnaotembea na hao watoto wadogo kuwatia mimba na wengine kuwalazimu kuuza miili yao na mnawaita MALAYA. Sasa wewe usiyesema nonsense unamsaidia nini msichana wa miaka hiyo 10 na kesha kavunja ungo, unamyima hata elimu ili kujiandaa na maisha ya baadaye unamrahisishia kitu gani?.

Nichokisema mimi ni hali halisi ambayo huwezi kuikana kutokana na kwamba umaskini wetu unatuwazimisha watoto wa kike kwa malaki if not millions each year hawafiki kidato cha kwanza kutokana ana sababu mbali mbali.. Na hatuna kabisa mikakati yoyote ya kuwasaidia hawa mnaowaita watoto isipokuwa kuwatumia kama malaya na udanganyifu wa kiume..Kwa sababu hizo, hili ni swala la dharura ktk jamii yetu na hatuwezi kuchukua maamuzi kama ya Wasomali kukeketa watoto au kuwashona kama ndio njia ya kuzuia umalaya au kuwazuia kutoolewa kama kinga kwao wakati maamuzi yote haya hayawasaidii chochote ktk maisha yao. Kama umewahi kunisoma vizuri, utagundua kwamba siku zote mimi hupinga maamuzi ya kumuadhibu victim ukifikiria unawalinda kwa maamuzi mepesi ili hali hujawaondolea tatizo.
 
Nbunge/mwakilishi ktk Zanzibar amelalamika kuwa Waislam wa bara wananyanyaswa sana na sheria ya ndoa, kuwa inaruhusu kuozesha watoto wao kuanzia miaka 18, kinyume na sheria ya dini inayoruhusu mtoto kuolewa pale tu anapobalehe/kuvunja ungo.

Maswali yangu, Je kama mtoto kabalehe/kuvunja ungo na miaka 12 akiwa darasa la 5/6 atafaa kisheria kuacha shule na kuoa/kuolewa?

Anafikiria kwa kutumia makalio
 
FJM,
Utanisamehe sana kwa sababu sina muda wa kuendelea kubishana. Nimekuomba nipe nukuu ya maneno (copy and Paste) toka site ya bunge au popote alosema huyu Mbunge bado mnaendelea kulalama ovyo - oooh kasema kweli sijui lolo si lolo!...Kuna site ya bunge nipeni ushahidi wa maneno yake niyasome ili nami nipate kujua alichokisema huyu mbunge akiwa bungeni..
Labda niseme hivi - I don't trust any of you guyz! - Kwa sababu watu kama kina Matola wana chuki kubwa sana na Uislaam hali hawana elimu yoyote ya dini wala dunia basi ilio mradi nao wapo JF.

Madai yenu ni kwamba mbunge kasema kwa kutumia quotes za Uislaam, nami nimewambia hakuna kitu kama hicho. Bado mnalazimisha ni Uislaam kwa hiyo sidhani kama tunaelewana au tutakuja elewana.
 
@Mkandara, let me repeat what I wrote yesterday. Hulazimishwi kuamini chochote kilichoandikwa hapa. Hulazimishwi. Muda wote umekuwa unachangia hoja bila kuomba hivi vilelezo i.e Hansard au nukuu, why now? Na kama wewe ni mtu wa vithibitisho why dont you google or use any other search engine and get Bunge website ili upate hicho unachotaka? Au hujui namna ya kutumia google? It's more than 24hrs tangu nimekuwambia u-google or you want to slave people becuase of your laziness? Get real!
 
JF ipo kwa ajili ya kubadilishana mawazo. Wana jamii punguzeni ukali wa maneno,pindi mnapochangia mada. Tuwe na maneno ya busara.
 
Rweye..are you serious? kwamba waolewe tu kisa dini imesema? ili tuendelee kuwataawala hawa wanawake kila siku manake watakua hawana elimu wala kipato.Tunataka tuwaoze ili waendelee kubaki jikoni wkaitupikia sie wanaume tunasoma..baadae tuwaambie ni washamba tuoe wengine wanaoendana nasi..yaani wanawake wanavyonyanyasika kila kona bado unaona haitoshi unashabikia waolewe..huyo Mbunge Zanzibar ina matatizo mangapi kukimbilia watoto waozwe?haki ya nani Tanzania balaa..hii haihitaji wanaharakati kutoa tamko inahitaji kila mzazi na mwananchi mwenye mapenzi mema na akili timamu na utu kusema hapana..Hiyo sheria ya ndoa ya Tanzania bado tunataka ifanyiwe marekebisho yeye anaona ni njema acha watoto waolewe..
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Back
Top Bottom