Mbunge asema sheria ya ndoa ibadilishwe ili watoto waolewe, Je ni mawazo yake au katumwa?

Mwanae akivunja sinia ana miaka 9 (maana ndo trend sikuizi sio kama zamani mika 12 hadi 14 bado) je atamwozesha?. au anatumia masaburi huyu.
Mtume Muhamad alioa kibinti cha miaka 9, kwahiyo huyo mbunge yuko sahihi kwenye mafundisho ya kiislamu.
Na mvulana akibarehe hata kama ana miaka 12 kwa dini ya kiislamu kuoa ni ruksa.
Ndio maana waarabu wanazaana kama panya, wao hawajui kama kuna fomular inaitwa seven, four, two, three, baada ya hapo binadamu ndio anatakiwa aoe/ kuolewa.
Matokeo yake muislamu yeyote anaetaka kuelimika na kuwa na familia bora yenye plan za kisasa ni lazima apuuze mafundisho ya namna hii.
 
Mtume Muhamad alioa kibinti cha miaka 9, kwahiyo huyo mbunge yuko sahihi kwenye mafundisho ya kiislamu.
Na mvulana akibarehe hata kama ana miaka 12 kwa dini ya kiislamu kuoa ni ruksa.
Ndio maana waarabu wanazaana kama panya, wao hawajui kama kuna fomular inaitwa seven, four, two, three, baada ya hapo binadamu ndio anatakiwa aoe/ kuolewa.
Matokeo yake muislamu yeyote anaetaka kuelimika na kuwa na familia bora yenye plan za kisasa ni lazima apuuze mafundisho ya namna hii.
Alaaa kumbe wajua sana wee! ndio maana hao Maaskofu wanabaka watoto wadogo kwa sababu wamesoma ktk biblia ati Yesu alimpenda sana mtoto mdogo akiwa hana mke au sio?... na kumbe ndio maana hawaowi ili wapate kubaka watoto sio!
Ujinga mwingine hauna hata sababu ya kusimuliwa.. Na hakika watu kama nyie mnahitaji sana viongozi kama JK...
 
Wewe usiyekuwa mdini umejuaje kama ni Muislaam na kwa nini uandike Muislaam ktk hoja ilosemwa na Mbunge kwani kutaja jina lake pekee kingepungua kitu gani?.
Leo hii mimi niandike kwenye gazeti lolote kuhusu Regia Mtema (mkristu) kasema - YESU ambaye ni Mungu hufanya pia makosa! nitakuwa na lengo gani kama sii kuanzisha ubishi wa kidini uhusiana na YESU kuwa Mungu mwenye kutenda makosa!...tena unapojua mimi Muislaam ndio inakupa mashaka zaidi hata kama Regia kasema kweli. Kwa nini lazima muwa lebel watu na dini zao ktk kila hoja! lakini akisemwa Dr.Slaa padre na mktistu mnachukia!
Sasa nimeamini rasmi Muislamu hata awe msomi wa phd, lakini likija swala la dini ya ALLAH basi akili na uwelewa wake anauweka pembeni, ni hivi mkuu yule mbunge wa Zanzibar alikuwa anaongelea kile alichokuwa anaamini ni maslahi na haki za waislamu, na hakuwa anaongela maslahi ya Watanzania naomba uwelewe hapo kwanza very clear.
Moja ya madai yake ni swala la mahakama ya kadhi, nadhani ili ujiridhishe inabidi uwekewe video clip na sio hansard maana kwa mawazo haya ya kimujahedeen hata Hansard hautoiamini.
Mwisho Mkandara hivi hujiulizi waislamu ni nani mpaka wao kila siku wawe na mahitaji special kwenye kila kitu nchi hii? kweli sasa naweza kuamini kauli ya Profesa mmoja aliwahi kusema kwamba kuna matatizo 10 duniani ambayo ni human nature, lakini tatizo la 11 ni lakujitakia mwenyewe nalo ni kuwa............. Takbiiiiiiir.
 
Sawa umeona majibu yangu ni total nonsense & irresponsible! - Umetumia kipimo gani kama sii cha elimu ya wazungu ulofundishwa?..

Soma nilichoandika kwa makini sana, kisha pima halafu elezea hoja inayopingana na hoja zangu sii kukurupuka na kunipa case isiyonihusu. Halafu wewe unazungumzia maswala ya kujamihiana na sii swala la ndoa kwa sababu sioni sababu ya mtoto wa miaka 10 KUINGILIWA na mtu wa miaka 30 inaingia vipi ktk mada hii kama sii fikra za kijinga kuhusiana na mnavyofundishwa kuhusu Uislaam.

Mada nzima inazungumzia mtoto wa kike kuolewa anapovunja ungo hakuna mahala miaka imekuwa issue isipokuwa mloichagua nyie ndio mmekuja na haya ya watoto miaka 10 ati siku hizi watoto huvunja ungo kwa hiyo walindwe wasiolewe lakini sioni mahala mnawalinda wasitembee kupata mimba au kufanya Umalaya! Licha ya hivyo mtoto wa kike akishavunja ungo huitwa MSICHANA hili la utoto tuliache pembeni..Je, anaweza kuolewa?...

Nimesema ya kwamba njooni na solution ya kuwasaidia hawa watoto sio kupinga tu ili mradi unapinga ati Uovu ni uovu ili hali ni nyie wanaume mnaotembea na hao watoto wadogo kuwatia mimba na wengine kuwalazimu kuuza miili yao na mnawaita MALAYA. Sasa wewe usiyesema nonsense unamsaidia nini msichana wa miaka hiyo 10 na kesha kavunja ungo, unamyima hata elimu ili kujiandaa na maisha ya baadaye unamrahisishia kitu gani?.

Nichokisema mimi ni hali halisi ambayo huwezi kuikana kutokana na kwamba umaskini wetu unatuwazimisha watoto wa kike kwa malaki if not millions each year hawafiki kidato cha kwanza kutokana ana sababu mbali mbali.. Na hatuna kabisa mikakati yoyote ya kuwasaidia hawa mnaowaita watoto isipokuwa kuwatumia kama malaya na udanganyifu wa kiume..Kwa sababu hizo, hili ni swala la dharura ktk jamii yetu na hatuwezi kuchukua maamuzi kama ya Wasomali kukeketa watoto au kuwashona kama ndio njia ya kuzuia umalaya au kuwazuia kutoolewa kama kinga kwao wakati maamuzi yote haya hayawasaidii chochote ktk maisha yao. Kama umewahi kunisoma vizuri, utagundua kwamba siku zote mimi hupinga maamuzi ya kumuadhibu victim ukifikiria unawalinda kwa maamuzi mepesi ili hali hujawaondolea tatizo.

Hujaeleweka hebu fafanua:
1. Mbunge wa Zanzibar kwa maneno yale, katetea sheria ya nchi/ya dini au kwa kumdhalilisha mtoto au kwa kumtetea mtoto? Kwangu mimi naona victim ni msichana mdogo au mtoto mdogo ndiyo victim. Lakini wewe unaona victims ni WaIslamu kweli si kweli?

2. Kwangu mimi naona kumfanya mtoto ajue haki zake, asome shule hadi kufikia umri ambao atakuwa na maamuzi yake mwenyewe ni vema kuliko kumfanya aoelewe tu anapopevuka. Uoni kuwa mbunge anataka tuishi zama za kale? Na huoni kuwa ni exploitation ya mtoto au msichana kama wewe unavyotaka tuseme?

3. Elimu ya Wa-zungu: Tatizo lako si elimu ya wazungu wala kutetea Elimu unaoijua wewe- call it African or any; but as you mentioned; hapa watu wengi wanafuata elimu ya kizungu, huoni kuwa yote tunayotenda Tanzania ni against hizo elimu unazosema? Islam haifundishi uanyosema; ukienda Iran 100% ya wanawake wanenda shule, na wengi ni 90% gruduates from universities, nenda Turkey ni hivyo hivyo; hizo nchi ni 99% moslems; wewe unachukulia mifano ya Yemeni na Tanzania ndiyo unaona elimu mbadala ya Uislam?

Nasema ueleweki kwa sababu kwenye comment ya kwanza umeona ni kweli kuna section ya population ipo victim kwa sheria za nchi. Lakini vile vile hujacondemn root cause ya hiyo victimisation. Wewe umecondemn elimu lakini umeacha kabisa wale wanaovunja sheria, yaani Waislamu, wakristu hata Wapagani wa Tanzania (kama wewe) wanaotaka watoto wadogo waoelewe wapevukapo bila kuwa na maamuzi yao.
 
Nbunge/mwakilishi ktk Zanzibar amelalamika kuwa Waislam wa bara wananyanyaswa sana na sheria ya ndoa, kuwa inaruhusu kuozesha watoto wao kuanzia miaka 18, kinyume na sheria ya dini inayoruhusu mtoto kuolewa pale tu anapobalehe/kuvunja ungo.

Maswali yangu, Je kama mtoto kabalehe/kuvunja ungo na miaka 12 akiwa darasa la 5/6 atafaa kisheria kuacha shule na kuoa/kuolewa?

Na jee umeshafikiria watoto wa umri huohuo na madarasa hayohayo wanaotiwa mimba bila kuolewa inakuwaje?
 
Sasa nimeamini rasmi Muislamu hata awe msomi wa phd, lakini likija swala la dini ya ALLAH basi akili na uwelewa wake anauweka pembeni, ni hivi mkuu yule mbunge wa Zanzibar alikuwa anaongelea kile alichokuwa anaamini ni maslahi na haki za waislamu, na hakuwa anaongela maslahi ya Watanzania naomba uwelewe hapo kwanza very clear.
Moja ya madai yake ni swala la mahakama ya kadhi, nadhani ili ujiridhishe inabidi uwekewe video clip na sio hansard maana kwa mawazo haya ya kimujahedeen hata Hansard hautoiamini.
Mwisho Mkandara hivi hujiulizi waislamu ni nani mpaka wao kila siku wawe na mahitaji special kwenye kila kitu nchi hii? kweli sasa naweza kuamini kauli ya Profesa mmoja aliwahi kusema kwamba kuna matatizo 10 duniani ambayo ni human nature, lakini tatizo la 11 ni lakujitakia mwenyewe nalo ni kuwa............. Takbiiiiiiir.


Kuwa na PhD sio kuwa na taaluma. Hata Slaa anayo na hana digrii hata moja!
 
Iwapo waislamu wanataka watoto wao waolewe wakiwa na miaka 9 waruhusiwe tu! Ruksa msiwazuie! Ugomvi wa nini? Ndio maendeleo walo nayo! Wanataka kufaidi mabikra wa mbinguni na duniani. Ha! ha! ha! ha!!

Maadam Korani haiwahusu wengine, watoto wa Wakristo wenyewe wataendelea na elimu hadi watakapotimiza miaka 18. Nyerere alitaifisha mashule ya wakristo akataka watoto wote wasome bila kujali dini. sasa wanataka kurudi walikokuwa mwanzo? Wameona elimu ni gharama sasa wanajaribu ujinga! Ha! ha! ha! ha!
 
Hujaeleweka hebu fafanua:
1. Mbunge wa Zanzibar kwa maneno yale, katetea sheria ya nchi/ya dini au kwa kumdhalilisha mtoto au kwa kumtetea mtoto? Kwangu mimi naona victim ni msichana mdogo au mtoto mdogo ndiyo victim. Lakini wewe unaona victims ni WaIslamu kweli si kweli?

2. Kwangu mimi naona kumfanya mtoto ajue haki zake, asome shule hadi kufikia umri ambao atakuwa na maamuzi yake mwenyewe ni vema kuliko kumfanya aoelewe tu anapopevuka. Uoni kuwa mbunge anataka tuishi zama za kale? Na huoni kuwa ni exploitation ya mtoto au msichana kama wewe unavyotaka tuseme?

3. Elimu ya Wa-zungu: Tatizo lako si elimu ya wazungu wala kutetea Elimu unaoijua wewe- call it African or any; but as you mentioned; hapa watu wengi wanafuata elimu ya kizungu, huoni kuwa yote tunayotenda Tanzania ni against hizo elimu unazosema? Islam haifundishi uanyosema; ukienda Iran 100% ya wanawake wanenda shule, na wengi ni 90% gruduates from universities, nenda Turkey ni hivyo hivyo; hizo nchi ni 99% moslems; wewe unachukulia mifano ya Yemeni na Tanzania ndiyo unaona elimu mbadala ya Uislam?

Nasema ueleweki kwa sababu kwenye comment ya kwanza umeona ni kweli kuna section ya population ipo victim kwa sheria za nchi. Lakini vile vile hujacondemn root cause ya hiyo victimisation. Wewe umecondemn elimu lakini umeacha kabisa wale wanaovunja sheria, yaani Waislamu, wakristu hata Wapagani wa Tanzania (kama wewe) wanaotaka watoto wadogo waoelewe wapevukapo bila kuwa na maamuzi yao.
Napenda sana kulumbana na mtu mwenye kuelewa kama wewe na pia maswali yako yamejijenga ktk hoja ambazo tunaweza kujadili na sii hawa mabaradhuli walokosa heshima...

Kwanza ni lazima usome kichwa cha mada na mwanzilishi wamada hii alikuwa akitafuta kitu gani na hakika tumefikia pale alipotaka haswa tufike. I played all along kuona mtafika wapi na hakika mmeonyesha rangi zenu pale nilipowagusa panapowauma zaidi..

Turudi nyuma, Inavyodaiwa huyo Mbunge kasema sijui Waislaam Bara wanaonewa kutokuoa watoto wa kike hadi wafike umri wa miaka 18 wakati uislaam unaruhusu mtoto kuolewa kisha vunja ungo!. Mimi nachosema hapa sii swala kabisa la umri wa msichana kuolewa kuwa kichwa cha mada isipokuwa kujaribu kuukosoa Uislaam kwa lugha ya Ukristu wa kuokoteza. Kwa sababu hakuna kitu kama hicho ndani ya Uislaam, isipokuwa knachoendelea hapa ni Udini na ndio maana mwandishi kauliza kama mbunge huyo katumwa bila kusema katumwa na kina nani! Na nimeomba hansard au hata hiyo tape inayoonyesha nini kasema huyo mbunge badala yake nimepewa majibu ya hearsay muda wote - Stupid is as stupid does!.

Mkuu wangu, hakuna sura wala mahala popote ndani ya Quran kunaposema UMRI unaotakiwa kwa msichana kuolewa - Hakuna! isipokuwa Kuran inasema vipengele viwili vya mwanamke kuwa tayari kuolewa ni 1. sexual maturity na 2. Sound judgement/ capability of managing one's affair..

Hivyo msichana anaweza kuwa kavunja ungo lakini bado hana uwezo wa kutoa maamuzi ya busara (sound judgement), kwa hiyo swla la ndoa sii la umri bali maturity both ktk kuvunja ungo na kiakili..Na ndio maana vitabu vyote iwe Kuran au Biblia havikutaja umri wa msichana kuolewa mahala popote.. Hilo kwanza.

Pili kuna watu hapa JF wamekuwa na tabia ya kuzungumzia sana Muhammad na ndoa yake ya msichana sijui alikuwa na Umri wa miaka 9..Believe me none of all scholars can prove that - HAKUNA. Asia mke wa Muhammad could have been any age pengine hata 20 yrs old hakuna mtu anajua kwa uhakika.. Isipokuwa ni hadithi ambayo imepambwa na wenye chuki na Uislaam ili mradi kuonyesha ubaya wa Uislaam kupitia mtume wetu..Na naweza kujaza kurasa za mabaya ya Yesu ikiwa nitanukuu kutoka vitabu vya Wayahudi ambao hawamtambui Yesu na wala hawataki kumsikia. lakini aghlab kumsikia Muislaam akimzungumzia Yesu kwa mabaya kutoka vitabu vya propaganda kwa sababu tunamheshimu na kumuamini kama anavyostahili kuheshimika. Sasa haiwezekani mtume huyo huyo alokataza ndoa kwa kutoa guideline ambazo zimesema wazi conditions and situations ambazo zinatakiwa kuzingatiwa kabla ya ndoa awe ndiye wa kwanza kuzivunja.. Labda nitoe nukuu yake hapa..

The Quran does not state a specific legal age of marriage, however it does give a guideline and mentions situations and conditions that should be considered before marriage:
  • Determining mutual attraction/compatibility [2:221, 2:235, 30:21, 33:52]
  • Ascertaining whether the potential partner is of similar beliefs/faith [2:221, 60:10]
  • Discussion of and agreeing to the level of dower and other terms (if any) [4:4, 4:24]
  • Understanding and mutual acceptance of marriage as a solemn/strong oath/contract [4:21, 2:232, 2:237, 24:33]
  • If male, capable of providing for the family/household [2:228, 2:233, 4:34, 65:6]
  • To have physically matured / post-puberty [4:6, 24:31, 24:58-59]
Kwa hiyo hadi hapa nashindwa kuwaelewa watu mnapokuja na quotes za Uislaam ktk issue ambazo hawa wazee wetu wanatumia mila na asili zao kuzifanya sheria za kiislaam kama vile Pombe na Nguruwe ni haramu lakini mnahalalisha - utasikia wasiokunywa ni Waislaam wakati Wasabato na Walokole hawayafanyi haya! sijui wao nao kama ni Waislaam...

Mkuu wangu, kwa makusudi nimewataka wanionyeshe hiyo hotuba ya huyo mbunge ili nami nipate kuisoma kwa sababu siwezi ku rely on hearsay kumhukumu mbunge huyo ambaye kwa madai ya mtoa mada kasema ati Waislaam bara tunaonewa na sheria ya ndoa sasa nilitaka kujua huko Zanzibar visiwani wao wanasheria ipi..Lakini hadi sasa hivi nazungushwa tuuu hakuna mwenye kuileta hiyo hotuba isipokuwa Uislaam hivi Uislaam vile wakati hawa hawa wanaouponda Uislaam ndio wabakaji wa watoto wadogo na record zipo tena kanisa linawalinda wabakaji wasifikishwe mahakamani...

Halafu umekuja na hoja kwamba mimi nawaona Waislaama ndio victim ktk swala la ndoa badala ya wasichana! - Hapana! utakuwa unayaweka maneno mdomoni mwangu kwa sababu nimesema sii mara moja ya kwamba victim ni msichana ambaye anatakiwa kuwa shule badala yake serikali haimwezeshi mtoto huyo kuwa shuleni isipokuwa sisi wote tunafikiria kumpangia sheria ambazo hazimsaidii kitu ktk kuboresha maisha yake.

Kumwekea kinga pasipo kutafuta njia mbadala za kutatua matatizo yake ni sawa na Msomali aliyefikia hatua ya kukeketa watoto na kuwashona wakifikiria kinga kwa wasichana wao hali kama kweli wanawajali watoto hao, kilichotakiwa kufanywa ni kubooresha maisha ya watoto hao na hakika swala la ndoa litakuwa sii issue tena. Ndivyo tunavyotakiwa ku deala na matatizo yote sugu iwe umeme au maji badala ya kutafuta mchawi inatakiwa tujenge mikakati ya uzalishaji umeme na maji na sii kufikiria njia za mkato hata kama haziwasaidii wananchi. na ndio maana tumeletewa Richmond na sijui mvua za sayansi - You can tell who is stupid by looking at his actions!

Nitarudia tena kusema kwamba tunapo waprotect watoto wetu tunaweka umri ambao hawatakiwi kujihusisha na maswala ya kujamihiana sas iwe ndani ya ndoa au nje kwa sababu lengo ni mtoto huyo apate kuwa na muda ktk maisha yake kujijenga na hasa kwenda shule. Ni Ujinga mkubwa kuzuia ndoa za wasichana ambao tunatembea nao wakiwa wadogo hivyo hivyo na sheria haiwalindi tena wengine utawakuta corner bar wakiranda randa Usiku kufanya Umalaya, watoto wadogo wadogo wakiomba barabarani kazi kusimamisha magari na wengine wakilala chini ya miti na vibaraza vya nyumba..Noo bob huu ni Unafiki kutazama hotuba ya mbunge ili hali sisi wenyewe ndio mafisadi wakubwa wa hawa hawa watoto tunaojaribu kuwa protect - We are not helping them!

Jesus said:- By their fruit ye shall know them..Methew 7:16- 20..Kwa hiyo hawa watoto ni matunda ya matendo yetu na kuonyesha imani na kusema sana hakuwezi kuondoa ukweli kwamba sisi wenyewe ndio washenzi.. hao watoto wasingekuwa Malaya ama washindwe kuendelea masomo kwa asilimia zaidi ya 70 kisha tunajidai kuonekana tuna huruma sana..Kuua ni dhambi lakini ndio wa kwanza kwenda vitani tena tunaua kwa maelfu, akifanya Muislaam atapewa jina kuwa ni gaidi na dini yao inafundisha kuua watu!..
 
ujue kamjaza mimba mtoto wa shule so anataka kihalalishwa,we subiri mvua yako tuu,30yrs in cell."ulafi mwingine mbaya, hawa waliokomaa wameisha?, duh, huyu jamaa hata kifaranga cha kuku cha wiki 1 atachinja ale"
 
Mtoto ni mtu ambaye ana miaka chini ya 18. Tukiangalia chanzo ktk waislam kutaka hiyo sheria ni kutoja kwa muhamad..alikuwa na mke wa miaka 6! Miaka ya siku hizi hii sio haki kuoa watoto wadogo jamani! Watoto wana haki ya kusoma sasa atasomaje huku ameolewa? Mimi siungi mkono hoja ya mbunge huyo. Hata kama dini inasema ni haki lakini sio haki ktk maisha ya sasa. Na cthan kama itapitishwa kwani UN ktk taasisi ya haki za watoto hawaruhusu early mariages.
 
Huyu Mbunge ana pepo la ngono mwacheni tu .Watu wanaongelea sheria za Nchi yeye anasema sheria za dini alidhani Bungeni ni msikitini ?Kweli hawa vilaza wa wa upande huu na imani zao wanataka kutupeleka kubaya sasa .Alaaniwe huyu
 
Swala sio mimi nitachukua hatua gani, bali nataka nimsome huyu mbunge kasema nini!.. Sitaki maelezo yako kwa sababu ulichosema hapo juu ndio kinanipa wasiwasi na hasa lengo lako kuanzisha mada hii?.


Mkandara mimi nakueleza ni kweli kasema na kama unataka hansard ukija Tanzania karibu Dodoma kumbuka tarehe ya mtoa hoja bungeni utajionea mwenyewe hakuna fishy ideas hapa .
 
Hii nchi tutaipeleka pabaya kama tutaiweka kidinidini! Kwa nini huyu mbunge anataka kuiweka hii nchi ktk sheria za kidini? Hapa sio zanzibar...bara kuna wakristu wengi kuliko waislam. Kama anataka hiyo sheria aitumie nyumbani kwake..atoe mfano kwanza. Amwachie mwanae wa kike(kama anaye) ndio aone mwanae atapata vp elimu akiwa amejazwa. Kisayanc mwanamke under 18 ana risk kubwa ya kupoteza maisha akizaa. Wanawake nao wana haki..sio kuolewa tu hata kupata elimu bora. Ataipataje wakati ameolewa?
 
Hiyo yaweza kuwa kweli sio kweli bado ni hearsay! Hoja uangu naomba hansard tuone kasema nini?...Aliposema Waislaam Wa bara wanaonewa una maana Waislaam wa Zanzibar wanaruhusiwa?.. hadi hapa ni hearsay nataka nimsome mimi mwenyewe kasema nini huyo mbunge..<br />
<br />
Besides, yawezekana kasema - mtoto akisha barehe anaweza kuolewa!..Kwa maana ya kwamba kipimo cha mtoto wa kike kuolewa kiwe kuvunja Ungo badala ya kutumia miaka. Kisha usipende sana kutazama sheria za wazungu ukaziweka zitumike kwetu kwa sababu wazungu wamesema... Kati ya watoto millioni mbili hadi tatu wanaojiunga na shule za msingi ni asilimia chini ya 30 humaliza masomo ya darasa la saba na asilimia zaidi ya 50 hushindwa kuendelea hadi sekondari..Kifupi, kielimu nchini ni asilimia ndogo sana hupata kuendelea na masomo na kibaya zaidi waathirika zaidi ni watoto wa kike. Sasa kama tunashindwa kutazama jinsi tunavyoshindwa kuwaendeleza watoto hao lakini wepesi wa sheria kuzuia ndio hayo yaliyopelekea Watu wa nyanda za juu kuwakeketa na kuwashona watoto wao wa kike wa miaka 3 hadi 4 wakifikiri ndio wanawalinda wasianze haya maswala mapema...<br />
<br />
Ni muhimu sana kukatafuta njia bora ya kuwasaidia badala ya kufiiria tu kwamba miaka 9 na 14 wanatakiwa kuwa shule wakati hizo shule haziwezi kuchukua asilimia kubwa ya watoto haohao tunaowataka waende shule. It's very Okay kwa mswahili kwenda Corner bar na kutembea na mtoto wa miaka 14 lakini aibu kwa mtoto huyo huyo kuolewa! Huu ndio unafiki naozungumzia. Yes, hatuwezi kuweka sheria ya ndoa kwa watoto wakike wa miaka 9, 14 au 18 as a fact hatutakiwi kuweka sheria yoyote kuhusiana na umri wa ndoa kwa sababu hata miaka 18 au 20 inaweza kutokuwa sawa vile vile inategemea na case ya mwanamke na mwenyewe..<br />
<br />
Katika mazingira tulokuwa nayo, ukuaji wa population, Inflation na umaskini unavyopelekea hali mbaya ya maisha ktk jamii nzima ya Kitanzania hasa kwa watoto wetu wa kike INATISHA tunaelekea wapi! sidhani kama hili mumewahi kulitazama kwa makini zaidi ya kusoma maandishi ya wazungu kuhusiana na mazingira yao..Muhimu kwetu ni kujiuliza tutafanya nini kuwasaidia waotot wa kike ambao maisha yanawalazimisha kufanya mambo mazito kuliko umri wao.. Tunaelekea kuwa Thailand ya Afrika na wala sii aibu tena kumwona mzungu miaka 50 au 60 akitembea na mtoto wa miaka 18 hadi 20 ati wapenzi.. Hakuna kitu hii Ulaya wala Amerika! <br />
<br />
Majuzi nilivyokuwa Bongo nilishuhudia watoto wa shule wakikataliwa kuingia ktk Daladala, wenmgine wakiomba ride barabarani kwa watu wasiowajua, watoto wengine sidhani kama walifika shule...Maajabu ya Mungu basi ktk kila gari niloliona likipita almost all cars has one person driving tunashindwa hata kuwasaidia watoto hawa, tumeshindwa kuweka mabus ya shule na tunashindwa leo tunataka kuzungumzia sheria ya mambo ambayo hatuna kabisa uwezo nayo!!.<br />
<br />
Kwa hiyo naomba tena hiyo hansard kwa sababu hapa JF watu wanaandika vitu kwa sababu wanajisikia tu kuuchukia Uislaam na sijui ndio fashion iloingia Bongo kuchukia Uislaam na kuulani ndoa zake wakati baba zenu wenyewe wana wake zaidi ya mmoja, mama zenu waliolewa wakiwa na umri wa miaka 15 au 16 na pia baba zenu wamezaa nje ya ndoa lakini husikii wakisema ndio Ukristu!.
<br />
<br />

Its shocking aiseee,kumbe kuna wengi mnaoamini katika hii kitu duh.
 
Serikali ya Tanzania haina dini.Na ni lazima Dini zote kufuata sheria za nchi ambazo kwazo wanaishi/Sasa yeye kama anafuata Dini na aoe mtoto wa miaka 12 leo na Serikali isikie kama atatoka.Huu uhuni.Dini isitumike kuleta maafa katika Nchi.Na hata Mahakama ya Kadhi...Ule nao ni mhimili ambao serikali ni lazima iusimamie.Sasa mahaka za tanzania ina maana zitengwe kiimani ?? hapa sijui kama inawezekana..Mimi ninasema Imani za Zanzibar hukuhuku na serikali yao na mambo yao na Bara yabakie bara..
 
Back
Top Bottom