Ikimura
Member
- Apr 1, 2011
- 22
- 2
Mh. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu, huyu ndie Mbunge anae ongoza kwa taarifa katika Bunge letu, mimi ninachotaka kumuuliza ni kuwa yeye wananchi wake walimtuma kwenda kutoa taarifa Bungeni au kuisimamia Serikali pamoja na kutatua kero zinazo wakabili??? Mh. wito wangu kwako ni kuwa badilika, na mara nyingi taarifa unazotoa huwa ni kama vile ni za kutaka kuwanyamazisha au ku-divert kile wapinzani wanachojadili. Nchi haiwezi kuendelea kwa taarifa nchi itaendelea kwa political commitment zenu pamoja na sisi wananchi kufanya kazi kwa bidii, so, wakati sisi tunafanya kazi huku majimboni nanyi bungeni chakarikeni si kwa taarifa bali kwa hoja nzito na zenye maslai ya Taifa......
Nimemaliza
Nimemaliza