Mbunge anayeongoza kwa taarifa

Ikimura

Member
Apr 1, 2011
22
2
Mh. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu, huyu ndie Mbunge anae ongoza kwa taarifa katika Bunge letu, mimi ninachotaka kumuuliza ni kuwa yeye wananchi wake walimtuma kwenda kutoa taarifa Bungeni au kuisimamia Serikali pamoja na kutatua kero zinazo wakabili??? Mh. wito wangu kwako ni kuwa badilika, na mara nyingi taarifa unazotoa huwa ni kama vile ni za kutaka kuwanyamazisha au ku-divert kile wapinzani wanachojadili. Nchi haiwezi kuendelea kwa taarifa nchi itaendelea kwa political commitment zenu pamoja na sisi wananchi kufanya kazi kwa bidii, so, wakati sisi tunafanya kazi huku majimboni nanyi bungeni chakarikeni si kwa taarifa bali kwa hoja nzito na zenye maslai ya Taifa......

Nimemaliza

Umemuona eeeeh. Nilifikiri ni mimi peke yangu ninayemshangaa. Isingekuwa na tabu basi kama taarifa zenyewe anazozitoa zingekuwa na maana, utakuta ni utumbo mtupu. Anyway, huyo ndio alikuwa the best kwa upande wa magamba. Hebu watu wa Singida next time leteni kichwa kingine, sio hili galasa.

Useless cabinet .... kikubwa wanachochadili ni rules na regulation za bungeni... na kuonyesha who is who....kama huyo Mwigulu.... vitu visivyo na tija kwa taifa vinakuwa presented husikii akiuliza mwongozo wa spika au kutoa positive contribution... Yaani by design bunge halina changamoto kwa wabunge sheria haziwabani kuhusu uwakilishi wao kwa wananchi bali kuna sheria nyingi za namna ya kujadili.. a real wastage of tax payers money.

Mimi nilifuatilia session ya jana huyo mbunge contrary na expectations za kuletwa kwa hoja ya mpango wa maenedeleo kwa maana ya kuifanyia improvements yeye amekuwa aki-recite yaliyoandikwa ktk hicho kitabu na kutoa maelezo marefu..... Kwa kifupi hakuna guidance nzuri kwa wabunge wanapojadili hoja nyingi... people speak anyhow hawako constructive ndio maana tunaona issue kama ya umeme mbali na kuwa inapelekwa bungeni lakini hakuna real progress mambo ni yale yale tu.. What matters most ni posho ya kikao. SHAME

Mh. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu, huyu ndie Mbunge anae ongoza kwa taarifa katika Bunge letu, mimi ninachotaka kumuuliza ni kuwa yeye wananchi wake walimtuma kwenda kutoa taarifa Bungeni au kuisimamia Serikali pamoja na kutatua kero zinazo wakabili??? Mh. wito wangu kwako ni kuwa badilika, na mara nyingi taarifa unazotoa huwa ni kama vile ni za kutaka kuwanyamazisha au ku-divert kile wapinzani wanachojadili. Nchi haiwezi kuendelea kwa taarifa nchi itaendelea kwa political commitment zenu pamoja na sisi wananchi kufanya kazi kwa bidii, so, wakati sisi tunafanya kazi huku majimboni nanyi bungeni chakarikeni si kwa taarifa bali kwa hoja nzito na zenye maslai ya Taifa......

Nimemaliza

Wanamagamba wamechimba choo mjengoni wanajisaidia tuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Mimi nadhani utakuwa huna sababu zako binafsi na huyo mbunge sijui amekupora demu wako, mbona wabunge wengi tu pumba wewe umemuona huyo mmoja tu

kama kuna ishu yoyote uliyonayo juu ya huyu jamaa ni bora ukaileta kuliko kuanza kuzungukazunguka mkuu...mie sioni kutoa taarifa bungeni kama ni jambo linalostahili kujadiliwa hapa.

Mimi nadhani utakuwa huna sababu zako binafsi na huyo mbunge sijui amekupora demu wako, mbona wabunge wengi tu pumba wewe umemuona huyo mmoja tu

we utakuwa gamba,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,, ila sura yako mmmmm au ndio ulivua gamba domo likaongazeka

hivi huyu mheshimiwa atapimwa miaka mitano kuwa katoa taarifa ngapi? labda kama yupo kamati ya zimisha hoja za wapinzani kile zinapotokea,wananchi makini hawatakuwa na sababu za kumrudisha kutoa taarifa badala ya kusemea kero zao,zinazowatafuna kila kukicha

Mh. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu, huyu ndie Mbunge anae ongoza kwa taarifa katika Bunge letu, mimi ninachotaka kumuuliza ni kuwa yeye wananchi wake walimtuma kwenda kutoa taarifa Bungeni au kuisimamia Serikali pamoja na kutatua kero zinazo wakabili??? Mh. wito wangu kwako ni kuwa badilika, na mara nyingi taarifa unazotoa huwa ni kama vile ni za kutaka kuwanyamazisha au ku-divert kile wapinzani wanachojadili. Nchi haiwezi kuendelea kwa taarifa nchi itaendelea kwa political commitment zenu pamoja na sisi wananchi kufanya kazi kwa bidii, so, wakati sisi tunafanya kazi huku majimboni nanyi bungeni chakarikeni si kwa taarifa bali kwa hoja nzito na zenye maslai ya Taifa......

Nimemaliza

Hivi we ulitegemea mbunge wa CCM akaisimamie serikali ya CCM, kweli?

Mimi nadhani utakuwa huna sababu zako binafsi na huyo mbunge sijui amekupora demu wako, mbona wabunge wengi tu pumba wewe umemuona huyo mmoja tu
Sasa kama angekuwa hana sababu zake binafsi dhidi ya mbunge huyo kama unavyodai, angeandika alivyoandika?

Mh. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu, huyu ndie Mbunge anae ongoza kwa taarifa katika Bunge letu, mimi ninachotaka kumuuliza ni kuwa yeye wananchi wake walimtuma kwenda kutoa taarifa Bungeni au kuisimamia Serikali pamoja na kutatua kero zinazo wakabili??? Mh. wito wangu kwako ni kuwa badilika, na mara nyingi taarifa unazotoa huwa ni kama vile ni za kutaka kuwanyamazisha au ku-divert kile wapinzani wanachojadili. Nchi haiwezi kuendelea kwa taarifa nchi itaendelea kwa political commitment zenu pamoja na sisi wananchi kufanya kazi kwa bidii, so, wakati sisi tunafanya kazi huku majimboni nanyi bungeni chakarikeni si kwa taarifa bali kwa hoja nzito na zenye maslai ya Taifa......

Nimemaliza

Mkuu ungeanza wewe ku walk on your words get off the JF and work.

Ndicho magamba walichobakiza kufanya wapo kwa ajili ya maslah ya kwao wenyewe na chama kwanza then taifa kwao ni la mwisho

Tatizo la CCM huwa hawajui kutafuta ma-SPIN DOCTOR wenye AKILI wanaoweza kukabiliana na CDM kwa hoja.
Kama wamekaa wakaona huyo Mwigulu ndiyo anafaa kukabiliana na akina Tundu Lissu basi huko CCM kuna matatizo makubwa.

Mimi alinishangaza wakati anajadili mpango wa maendeleo ya miaka mitano kwamba uliwakilishwa kwa mara ya kwanza bungeni,
wakati JK alipozindua bunge, lakini CDM wao walisusa. Ukiangalia hansard za bunge hakuna kitu kama hicho.

Halafu kuhusu huo mpango akasema kwamba lazima rais a-sign kwasababu hata kadi za michango ya harusi zina sainiwa
(poor thinking).

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom