Ningependa kujua sheria inaseamaje kwa mbunge mteule akifa kabla ya kuapa inanakuaje, je 1) uchaguzi mpya utafanyika??? 2) Mshindi wa pili aliye fuatia kwa wingi wa kura ana weza kuchukua nafasi iliyo achwa wazi???:A S 465:
Mbona j. Makamba anasema marehemu alikuwa nae bungeni his seat is a row behind january"s seat??
Aliingiaje bungeni bila kuapa?
Ningependa kujua sheria inaseamaje kwa mbunge mteule akifa kabla ya kuapa inanakuaje, je 1) uchaguzi mpya utafanyika??? 2) Mshindi wa pili aliye fuatia kwa wingi wa kura ana weza kuchukua nafasi iliyo achwa wazi???:A S 465:
kama unamzungumzia Sumari, alishaapishwa, kwa mujibu wa Katibu wa Bunge.Ningependa kujua sheria inaseamaje kwa mbunge mteule akifa kabla ya kuapa inanakuaje, je 1) uchaguzi mpya utafanyika??? 2) Mshindi wa pili aliye fuatia kwa wingi wa kura ana weza kuchukua nafasi iliyo achwa wazi???:A S 465:
Ndio maana tunahitaji kufanya mabadiliko makubwa sana katika katiba yetu, ili izungumzie kila kitu bila kuacha vitu vinaelewa, halafu vikitokea watu tunakuja na maana zetu kutoka mifukoni na kuzifanyia kazi.
Katiba ipo kimya juu ya mbunge aliyekufa kabla hajaapishwa.
Halafu hata hiii ya vyama kuwafukuza wabunge wao na hivyo kusema wamepoteza ubunge wao, katiba inasema hivi inapoongelea mbunge atakoma kuwa mbunge iwapo:-
Ibara ya 71 (1); (e) Iwapo Mbunge ATAACHA kuwa mwanachama wa chama alichokuwamo wakati alipochaguliwa au alipoteuliwa kuwa Mbunge.
Sasa swali langu mimi juha wa sheria na katiba ni hili, Hamad na Kafulila WAMEACHA UANACHAMA au wamefukuzwa? Je? Kufukuzwa uanachama na kuacha uanachama kuna maana moja?
As long as nasoma hii katiba, sioni sehemu ikisema mbunge akifukuzwa kwenye chama chake inakuwaje zaidi ya kusema akiacha.
Hebu tusaidieni wanacheria, kufukuzwa uanachama na kuacha uanachama kuna maana moja?