Mbunge ajaye wa Mbeya Mjini, Sugu, kusikika Clouds TV 23/11/2023

Yaani tumpoteze Rais wa UPA Kwa Ajili ya kibaraka wa USA Aliyeshindwa kazi Kwa miaka 10? U can't be serious.

Wewe mwenyewe utampigia kura Mwakibete au Tulia na sio huyu mbumbumbu
JamiiForums442997317_236x211.jpeg
 
Mwenendo ungeujua vizuri kama upo ndani, ila kuwa nje utakuwa unacheza bahati nasibu.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Yah ni kweli kuwa nacheza bahati nasibu kwa kujaribu kuyajua mambo ambayo siko ndani yake.

Lakini katika dunia ya leo kuna njia na namna nyingi ya kujua mambo ambayo hauko ndani kwa kupitia vyanzo, dalili, sifa au kauli mbali mbali.

Ni mfano leo kuna asilimia kubwa ya wapinzani ambao hawaamini kuwa Zito ni mpinzani wa kweli. Sio kwamba wanajua kilichopo katika moyo wake, au labda yeye mwenyewe ashawahi kuwambia kuhusu hilo, bali wanasema hivyo au kuhisi hivyo kutokana na mwenendo wake na kauli zake.

So kufahamu kitu au jambo fulani sio lazima mpaka wewe uwe miongoni mwa hicho kitu. Bali unaweza kutumia akili na fikra kwa mbali kuliona jambo ambalo wengine hawalioni.
 
Naona mfano wa Zitto hauendani kwa kiasi fulani na uhalisia wa hiki tunachozungumza hapa.

Hiki tunachozungumza hapa hakihitaji kauli za watu ili kukithibitisha, kinahitaji data pekee.

Mfano tumezungumzia kuhusu idadi ya wanachama Chadema iliyowaandikisha kwenye operation yao, naamini majibu kamili yapo kwenye rekodi zao, wala sio kuishia kuhisi tunadanganywa.

Tukazungumzia tena kuhusu michango ya operation zao mbalimbali kutafunwa, hili nalo halikuwa na ushahidi wowote zaidi ya hisia tu, kwasababu hakuna yeyote toka ndani kwao aliyelalamika akaja na ushahidi wa malalamiko.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom