Mbu

Nzi

:hand:...............................

Jamani muwe na infii njema.
 
MJ1 mbona heading inamuhusu Mbu ndo muzee ? am kiddin' na wewe uwe na weekend njema
 
MJ1 mbona heading inamuhusu Mbu ndo muzee ? am kiddin' na wewe uwe na weekend njema

...mnnnnnnnnh naweeeeee? mbona unaanza na conclusion kisha unauliza swali? labda mwenzio kang'atwa na mbu sasa anajiuguza na malaria.

Kwa niaba ya M.B.U wote, w'end njema kwenu pia.

Weekend ya leo naaza na ulimi wa ngombe wa kuchoma hapa Basiaya - halafu Viola

Karibu MJ1
 
Back
Top Bottom