Mbowe vs Chifupa + CHADEMA vs Family Business

Status
Not open for further replies.
CV's

Wanaotaka CV ya Chinga waanze kuweka zao. Chinga ametoa hoja, sio kumlaumu na kusema ametumwa na CCM. Nyie nani kawatuma? tumshinde mtu kwa hoja, Je, hiyo hesabu ya helikopta ni ya uongo?

CV alizotoa ni za Uongo? Kama nyie mnataka kujibu hoja kama CHADEMA semeni. Hapa tupo kwenye mtandao kwa hoja sio udi-ctator.

Wacha
 
Wazee! kwa nini msijibu hoja za Chinga badala ya kumshambulia. The guy has his own write to post his ideas/views. Lets ponder his points!
 
Wapo wawili humu, Chinga na Mugongo mugongo. Hawa watu kwa mtazamo wangu ni hazina kubwa jambo forum. Ukisoma postings zao kwa jazba utaishia kusema, wamekosa adabu lakini kwakweli wanatoa analysis ambayo inakataka kama msumeno wa pande mbili.....these chaps, I must admit, are smart.

Kama walivyosema waliotangulia, jibuni hoja alizotoa Chinga sio personal attacks.
 
As I said before, I believe on freedom of speech but do not forget that can turn up to be very very destructive to the society. As the family, we have our philosophy so called forum's philosophy.

If you have decided to write your gabages in this forum you have to answer to it. If you have decided to be hermaphrodite just because your lord will pay you, fire will be upon you. If you can not control your bladder and let the forum sink in and marinate, sam will never allow you to do so.

I real respect all of you but I will not be afraid to be terminated out of the forums because of the fools. Let us talk about issues and if you want us to play a dirty game of character assassination you should know better that I am good on that.
 
Wapo wawili humu, Chinga na Mugongo mugongo. Hawa watu kwa mtazamo wangu ni hazina kubwa jambo forum. Ukisoma postings zao kwa jazba utaishia kusema, wamekosa adabu lakini kwakweli wanatoa analysis ambayo inakataka kama msumeno wa pande mbili.....these chaps, I must admit, are smart.

Kama walivyosema waliotangulia, jibuni hoja alizotoa Chinga sio personal attacks.

Is Chinga smart? Hell no. He is just a nut! No need to reply this shit.
 
Sam
Tafadhali nakuheshimu sanaa, nina file lako,wewe hujawahi kuwajadili watu humu? uhuru uliwahi kutumia wewe na mimi natumia.
tena wewe ulikuwa unamwaga matusi kwa wanabodi,wewe ukaenda hadi kutumkutana dada wa kitanzania (masasi) anaishi marekani.
nitakuumiza achana na mimi.

Mikael
uliniomba nianzishe Thread yangu kuliko kuchangia Tamko la chadema, nikakuahidi nitafanya na sasa nimetekeleza ahadi yangu, cha ajabu sioni mchango wako mheshimiwa?
 
Sijui kama Chinga katumwa na CCM au ni mwanaCCM, kwa sababu hakujitambulisha hivyo katika hiyo taarifa aliyoiweka. Lakini kutokana na mashambulizi na matusi aliyotupiwa na wachangiaji wa hoja hii kadhaa, ni dhahiri kuwa wengi wa hawa washambuliaji ni watu wanaoshabikia Chadema.

Sikujua kuwa kumbe Chadema nayo inao wenyehasira kama wale wenye chama ambacho sitapenda kukitaja hapa! Hii haileti sura nzuri sana, maanake mimi ninakichukulia Chadema kuwa ni chama mbadala kabisa wa CCM, ambacho kinaweza kuchukua uongozi wa nchi miaka michache ijayo! Tulieni, na dumisheni chama.

Chinga, ninakushukuru kwa kutuwekea taarifa hii mhimu. Imeniwezesha kufikiria uwezekano wa matumizi ya helkopta hiyo. Je pesa hiyo haiwezi kufanyia kazi mhimu ya kukiimarisha chama huko vijijini kwa njia mbadala ya hiyo helkopta? Je, huu ni uchaguzi wa maana kweli?
 
Jamani mazungumzo baada ya habari yametosha, Chinga ameombwa aanzishe thread maalumu ametimiza, kwa kuuliza swali!

Tulipokuwa BCS siku moja niliwahi kusema kuwa Mzee JK, alikuwa ni the most weakest candidate kati ya wagombea wote wa urais uliopita, lakini akashinda anyway, je ni kitu gani kilichopunguza hehsima ya JK kama rias wetu wa sasa? na hakuna aliyelia, WHY now akilinganishwa Mwenyekiti wa Chadema na mbunge wa CCM, wenye elimu iliyo sawa?

Jibuni swali, au let us move on na next topic, Chinga ametumwa na Makamba na nyinyi mmmetumwa Freeeman?

This is Demokrasia at its best, let it flow na let the chips fall where they may! na hii Forum idumu!
 
Mzee Es,

Uncle huyu Chinga kusema kweli sii bure, maanake kafika mahala watu wanashindwa kufikiri...

Sasa hivi kweli unaweza kupima elimu ya mtu na mtu ili kupata kitu gani hasa? maanake hata watu waliosoma darasa moja huwa na tofauti kibao... kabuntas wapo na wamemaliza madarasa vile vile sijui hasa mada hii inapima kitu gani?...uzito wa sukari against jiwe!...

Freeman atapimwa Elimu yake kulingana na kazi yake. Chifupa hagombei Urais, bado ligi ndogo sana ya daraja la tatu...Anaweza kabisa kuwa anakipiga lakini badoo jamani bado!... mambo ya mtaani ya unga ndio anayaweza..

Chinga,
Kinachonitisha hapa ni kwamba tunashindwa kumtazama Free kama kiongozi na kutafuta mapungufu yake kama kiongozi..

Elimu muhimu sana lakini jamani Afrika imepotea miaka mingi kwa sababu hiyo hiyo. Wasomi wetu wamekuwa Viongozi na tumewachagua kutokana na elimu zao hali huko ktk uzalishaji kumebaki wazi.

Si hawa hawa wasomi wetu wanaowakalisha vijana wetu UDSM chini hali wengi wao wamepitia hapo hapo?..

Mungu alitupa mifano kibao ya kuwaleta mitume wake wasiokuwa na elimu za juu bali elimu ya kazi zao. Sii Moses, Yesu, Budha wala Muhammad -wote hawakuwa na elimu za juu but they lead!..Marais bora wote wa Marekani waliosifika ( Lincon, Rooservelt, Haisenhower) walikuwa na mapungufu mengi sana ya kimwili kuliko hata Hitler!..

Jamani tuzungumze yaliyo na faida kwetu na hasa kijiwe hiki. Toka Freeman ajiandikishe hapa nadhani tunaanza kupoteza uzito wa hoja zetu.

Freeman anatakiwa kupewa maswali mazito yanayomhusu yeye kama kiongozi. Na kama kuna kitu kashindwa kukifanya kutokana na elimu yake, hapo mnaso mzuri.
 
oh my GOD,Chinga una2mai potentials gani kuwalinganisha hawa jamaa?

Una habari kuwa mmoja wao ana2mika kama msemaji wa wanasiasa wengine na mwingine anajenga hoja zake mwenyewe.

By the way u know that MBOWE iz a new future 4 teenegers generation
 
Nyie mnamuonaje Chifupa anayosema mnadhani yanalenga ukweli au ndo kakosana nao? Msishangae kumwona akiwa mmojawapo kwenye list.

Kusimama na kusema anawajua haijampa uhalali wa kulinganishwa na mzee wa helikopta.

Hapa naona mbio za Chifupa ni za baiskeli ya miti.

Mpo!!!!
 
Chinga una hitilafu

Hakuna cha kujadili hapa, na hata hizo gharama za helkopta ni za kubuni. Kampeni nzima za CHADEMA hazikufika milioni mia nane. Hio ni kwa kila kitu pamoja na chopper.

Huwezi kumfananisha mbowe na chifupa. Labda wewe na chifupa,italeta maana zaidi.

Chinga hawezi kuwa hazina ya jambo forum, labda kama lengo la hii forum ni kukuza udaku.
 
Wanabodi,

So far naona Mchangiaji aliyetoa hoja ya maana ni Alles, well wengine akina Jasusi, mzee Es, Mkandara, Kalamu na wengineo siwakumbuki mmejitahidi. Ila kwanini mmnamuandama Chinga?, je zama za kujibu hoja kwa hoja zimekwisha? kama analeta hoja na wewe unaona ni chafu kwanini usijibu the same way au at least andika "mh Mbowe amemaliza Form six lakini Amina hajafika form six" YES ni kweli, kama kuna abishaye a scan cheti cha Amina kutoka baraza la mitihani la form six nami nitatoa Dola 100%. So simple kumjibu Chinga.

Mengine kuhusu Elikopta inatakiwa Chadema watujibu, kuhusu kupiga disco, Jesus! we chinga kweli kichaa na wale jamaa wa spoilt for choices unajua Elimu zao au kazi zao? Disco wengine wanapiga Hobby.. Unfortunately nipo CCM, ningewasaidia akina Mwanasiasa na Mnyika kumjibu huyu jamaa.

Kitendo chenu cha kukasirika akichambuliwa Mh Mbowe huku mkichekelea Jakaya Kikwete akitukanwa hakiwezi kuvumilika, lazima muwe na Broad minds, mkikubali huyu achambuliwe basi wooote rukhsa!, kama ukiona ni majungu au below belt na wewe jibu hivyohivyo, Siasa ni mchezo mchafu. Chinga akicheza NOMA ila rafiki yangu RUFIJI akicheza Ruhksa!!! MIZANI gani hiyo mnatumia?

OLE WENU mshabikio CCM ikitukanwa lakini Chadema aaaa NO!

FD

Ila sikupendezewa na majibu yenu kwa Chinga
 
EO


Hakuna cha kujadili hapa, na hata hizo gharama za helkopta ni za kubuni. Kampeni nzima za CHADEMA hazikufika milioni mia nane. Hio ni kwa kila kitu pamoja na chopper.

Huwezi kumfananisha mbowe na chifupa. Labda wewe na chifupa,italeta maana zaidi.

Chinga hawezi kuwa hazina ya jambo forum, labda kama lengo la hii forum ni kukuza udaku.


Unataka tusijadili unaleta u-dictator? Chadema kama wapo watupe correct figure za hiyo chopper.

Nini maana ya forum hii kama hamtaki kujibu maswali yaliyoulizwa? kama ni maswali ya kipuuzi mjibuni kipuuzi vilevile - lakini mimi sioni ni ya kipuuzi kwa sababu anataka kuongoza taifa letu.

Mzee Es na wengineo wamesema hapo juu hakuna ubaguzi hapa jibuni maswali then we move forward.

Wacha
 
FD,
Mimi sikutaka kujibu hoja kwa hoja kwa sababu naona ni upuuzi. Huwezi kulinganisha mayai na mawe.
 
Eric Ongara

unasema kuwa kampeni za Chadema na kila kitu, ilitumia milioni mia nane?
basi hapo umefanyika usanii na sasa umeweka mambo hadharani!

Chadema mmeliwa.
1-chadema walipeka proposal kwa conservative na kudai Pounds milioni moja kama gharama ya uchaguzi. na wakapewa,
sasa kama unasema mmetumia milioni mia nane ambayo ni sawa na pound laki tatu na nusu, jee pound laki sita na nusu zimekwenda wapi?

nimekuwa nikisisitiza sana kuwa ndani ya chadema kuna washika mapembe kama akina Mnyika,Mwanasiasa,Ndabita na wewe Ongara(ex-Tambaza) na wakamua maziwa akina Mtei. mbowe na ndesamburo.

Eric kuna pesa ya republican nayo ilitengenezewa proposal yake nako wakavuta.

any way naomba zilizobaki mtumie hata kumpa elimu kijana wetu Mnyika ili naye akasome,

mmetumia kigezo gani kumsomesha Mbowe ulaya, na kumwacha Mnyika,?
binafsi naona mnyika anafaa zaidi kusomeshwa akili yake inaelewa na bado mdogo.

Mbowe akili hana na hana uwezo wa kushika chochote darasani.ilitakiwa muwekeze kwa Mnyika.
 
Kitendo cha kumfananisha Mbowe na Chifupa sijakielewa mwandishi alitumia kigezo gani.

Mimi nadhani Mbowe mpinzani wake ni yule aliyefikia level yake yaani naye kagombea urais au anaongoza chama chake.Maana kumfananisha na Chifupa ambaye tunajua ni 'chakula' ya watu kibao CCM,na ndio maana mumewe kaoa mke mwingine bila yeye kujua, na waliomfikisha hapo kwenye ubunge ni wakina Nchimbi,yule mzee wa TOT-Capt Komba...kati ya wachache.

Mbowe ninavyojua mimi alianzia chini,akajipatia Ubunge na mpaka kuwa mwenyekiti wa chama chake kwa jitihada zake mwenyewe.Sasa labda mtu awe anajua zaidi na aseme kuwa Mbowe ni shoga ndio kweli tungeweza kumfananisha na Chifupa.Chifupa yuko kwenye kundi kubwa tu la ma-miss CCM ambao wengine wamepata u-DC n.k.

Mbowe ni kati ya wachache waliojitokeza kutumia haki yake ya kikatiba kutaka uongozi wa juu wa nchi hii,nani hapa kati yetu ambaye akihakikishiwa urais ataukataa? Lakini hapohapo ni wangapi wenye jeuri ya kuutafuta kwa juhudi zao wenyewe? Jibu,ni wachache sana,na mmoja wao ni Mbowe.Mimi sio shabiki wa chama chake wala siasa zake,lakini i do admire the bloke kuweka ukawaida.Kwamba hata urais mtu yeyote anaweza kuugombea,yaani ni kawaida tu.

Sawa katumia helikopta,lakini zile sio pesa za walipa kodi,kazitafuta mwenyewe...kwanza ile helicopter ilikuwa ni ya Nyachae(waziri Kenya) na taarifa nilizonazo ni kuwa hakuilipia ile helicopter,yeye aliambiwa ajaze mafuta na kumlipa pilot tu,huo ulikuwa ni mpango wa baba mkwe wake(inasemekana ana urafiki na Nyachae),ndio maana kulikuwa kuna shemeji yake ndani ya ile helicopter katika kila safari. Kwani ile helicopter si haikumaliza muda,maana ilikodiwa na watu wa mashindano ya magari,angekuwa na yeye kaikodi si ingebaki?

I also admire Mr Mbowe for becoming a member here.Maana wakati akifanya hivyo alijua kuwa atatukanwa na kukashifiwa kwa kila aina.Maana hili pia ni jukwaa,hatuonani wala kusikiana lakini tunawasiliana.Yanayoandika humu yanasomwa na watu wengi sana.Simpingi mtu yeyote kwa lile analosema maana haya ni mawazo yake binafsi na ana imani nayo,lakini pia nadhani kama tunataka kufaidika na hizo forum tungejitahidi kidogo kuwa constructive,ili tuelimike au tuelimishwe na wale wanaojua zaidi yetu.Mimi binafsi nimejifunza vitu vingi sana humu na nawashukuru wanabodi wenzangu kwa hio elimu,na nikiona anaingia mtu kama Mbowe humu natumaini kuwa atachangia ipasavyo na kutupa upeo wake alionao
 
Kama Mbowe au Mnyika hawatakuja kutupa ukweli wa matumizi ya chopper na jinsi wanavyokomba fedha kutoka UK na USA itabidi sisi wenyewe akili kichwani.

Hawa ni wanabodi ambao walituhakikishia kwamba watakuwa wanajibu maswali ambayo yanawatatiza wananchi, sasa imekuwa ni washabiki tu wanatoa majibu ambayo kwa mimi niliye neutral naona sio sahihi. Huwezi kupiga kampeni ya chopper kwa fedha kidogo namna hiyo.

CHADEMA COME UP WITH THE TRUTH, IT WILL SET YOU FREE.

Wacha
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom